ofisi

  1. ChoiceVariable

    Maopareta wameamua kama mbwai na iwe mbwai, Mwingine abomoa Ofisi ya Serikali Kwa Excavator.

    Baada ya yule wa Bongo ku trend Kuna mwingine huko China nae amekiwasha Kwa kubokoa jengo la serikali kabla ya Polisi kuwahi na kumtia nguvuni. https://www.instagram.com/reel/Dfl_hKuitVJ/?exln=bnpiazE2Y2pzbWVp My Take Hawa wapuuzi Huwa wanaua na kufukia wenzao chini.Wasimamizi kuweni maskini...
  2. O

    Wakazi wa Naivasha Wavamia Ofisi za Kenya Power Kupinga Kukatika kwa Umeme na Bili Kubwa, 14 Wakamatwa

    Wakazi wenye hasira mjini Naivasha, Kaunti ya Nakuru, wamevamia ofisi za kampuni ya Kenya Power wakipinga kukatika kwa umeme mara kwa mara na ongezeko la bili za stima licha ya huduma duni wanazodai kupokea. Maandamano hayo yalifanyika Jumatano, Novemba 11, 2026, ambapo wakazi na...
  3. Nguva Jike

    Mwalimu atoa malalamiko ya mwajiri ofisi ya makamu wa raisi Dodoma

    Leo tarehe 12.11.2026 mwalimu mmoja kutoka wilaya ya Kilindi Tanga apeleka kitini Cha malalamiko ofisi ya makamu wa raisi Dodoma. Ameahidiwa kupata majibu ndani ya siku 14 za kazi.Naomba msifute thread yangu ni muhimu kukomesha waajiri wababe tafadhali.
  4. Nguva Jike

    Kitini cha malalamiko ya mwalimu wa Kilindi Tanga chatua ofisi ya makamu wa raisi Dodoma Leo tarehe 12.11.2026.

    Habari za asubuhi wana jukwaa. Ni habari njema sana katika harakati za utumishi salama makazini katika sekta ya Elimu wilaya ya Kilindi Tanga.Na ni historia ya kipekee wilaya ya Kilindi Tanga katika kuhakikisha waajiri wanatimiza wajibu wao Kwa waliowaajiri bila vitisho. Moja ya maelezo...
  5. A

    KERO Mazingira magumu ya Kazi ya Watumishi wa Idara ya Uchimbaji walitokea RUWASA na kwenda ofisi za Bonde

    MAZINGIRA MAGUMU YA UTENDAJI KAZI YA WATUMISHI WA IDARA YA UCHIMBAJI WALIOTOKEA RUWASA NA KUHAMISHIWA OFISI ZA BONDE. Watumishi wa Idara ya Uchimbaji tuliokuwa ofisi za RUWASA kutoka mikoa mbalimbali tulipatiwa barua za kuhamishiwa katika ofisi za Mabonde kama Bonde la mto Rufiji, Bonde la mto...
  6. G

    Ofisi inauzwa

    Habari wana Jamii forum. Nauza ofisi yangu ya Juisi na Bites ipo Dar kijichi. Kodi ya frem bado haijaisha. Bei ni 2M Ofisi Ina vitu vifwatavyo: 1. Freezer 200L 2. Blender na jagi 3. Mashine ya popcorn 4. Counter ndogo na shelf ndogo mbili 5. Viti viwili virefu 6. Benchi za mito nne 7. Meza ndogo...
  7. Deus Jovin

    Mnyika na Mgomo wa Kitaifa Kulinda Katiba: Mwaliko wa Kisiasa Kutaka Marekebisho ya Mikakati ya Kiusalama Inayotekelezwa na DPP, DCI na DGIS

    Ndugu Raia wa Taifa la JF, Hujambo? Leo tarehe 24 Oktoba 2026, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki migomo kwa lengo la kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kuanzishwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, Jumatatu, Oktoba 26, 2026. Wito huo unakuja...
  8. A

    KERO Ofisi za BM vyoo vya wanaume Shekilango, jionee mwenyewe

    Ofisi za BM vyoo vya wanaume Shekilango, hali yake hairidhishi wahusika wachukue hatua.
  9. Kefaville

    KERO Ofisi nyingi za umma, hususan masijala zinakabiliwa na tatizo la rushwa

    Ofisi nyingi za umma, hususan masijala za wazi na za siri, zinakabiliwa na tatizo la rushwa. Kwa mfano, katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, unapohitaji huduma inayohusisha faili lako, unaelekezwa kwenda masijala. Ukifika huko, unaambiwa kuwa faili lako halipo. Hata hivyo...
  10. Q

    CHADEMA yalaani uvamizi wa ofisi yake Jimbo la Hai.

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026. Hawa UVCCM baada ya kuumbuliwa kudai rushwa wanataka kumalizia hasira zao kwenye...
  11. H

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari (CSEE) 2026.
  12. U

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Dar iboreshwe

    Salute. Naomba niende kwenye mada binafsi naishi Dar es salaam kiukweli OFISI ya mkuu wa mkoa Dar ningependekeza serikali ijaribu kuboreshea iendane na hadhi ya Jiji kiukweli ukipita pale ni aibu majengo ya kizamani ukiangalie na vile vigae hadhi inapungua ningeshauri mfanye jengo lenye...
  13. instinct desire

    Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  14. Roving Journalist

    Responded Diwani wa Ilemi, Baraka Zambi: Vijana wote ambao wapo tayari kuacha uhalifu, ofisi ya Kata ipo tayari kuwapokea

    Wakazi wa Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wakizungumzia hoja ya kuzorota kwa hali ya ulinzi na usalama katika eneo hilo. Diwani wa Kata ya Ilemi, Baraka Zambi pamoja na viongozi wa serikali za mitaa wamesema kuwa licha ya kuwahi kutokea kwa baadhi ya matukio ya uhalifu, hali ya usalama imeendelea...
  15. H

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.
  16. DexterLab

    Ofisi za NIDA wilaya ya Kibiti zipo wapi?

    salamu wakubwa, kama heading inavyojieleza, ofisi za NIDA wilaya husika zipo maeneo gani?
  17. A

    DOKEZO Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Kanda ya Magharibi (Tabora) inachelewesha Hati

    Kuna migogoro na kampuni binafsi za upimaji hali inayopelekea majalada kurundikana ofisini bila sababu. Ofisi ya Msajili haitoi hati mpaka wale wadada (maafisa) wapewe kitu kidogo. Hili jambo linakera sana na linatia hasira, Serikali itume watu wake wafanye kazi yao ya uchunguzi.
  18. S

    Ofisi imenikatalia kwenda Mbeya kwa ndege kwa sababu ya ukubwa wa nauli - ATC sio lile shirika la Watanzania masikini alilolikusudia Magufuli!

  19. U

    Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati. Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri...
  20. Roving Journalist

    Dkt. Rogers Shemwelekwa akabidhi Ofisi kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Warda Abeid Maulid

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha Dkt Rogers Shemwelekwa amekabidhi ofisi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, Warda Abeid Maulid ambaye ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kushika nafasi hiyo baada ya kukamilisha mchakato wa kuteua wakurugenzi wa Halmashauri...
Back
Top Bottom