The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla amempongeza Rais Samia kwa kazi Nzuri anayoifanya ikiwemo tukio alilofanya leo kuendelea kuboresha huduma za Afya.
Makalla amemuhakikishia Rais Samia, yeye kama mkuu wa Moka wa Dar na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama kwamba Mkoa uko Salama na kazi...
Majirani zetu wameanza sisi Passport unahojiwa kama unataka kuingia Vaults ya BOT
=======
PostMaster General Dan Kagwe and Immigration Director General Alexander Muteshi during the signing of an MoU on May 3, 2021. PHOTO / COURTESY
By Vincent Anguche
Kenyans will now have their passports...
Karibu sana Yusuph Manji na Wadau wengine ambao iliwabidi muondoke nchini kutokana na kuwa na mazingira magumu wakati ule.
Sasa kumenoga. Tumempata Rais ambaye hana neno na mtu. Mpole,mama na dada pia. Huu ni wakati wa kurudisha kile kilichopotea.
Na watu wengine mlio nje njooni mje muwe...
Habari wadau!
Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani.
Hakika Manji ni Mtanzania mzalendo. Yaani licha ya yote...
Kwa usalama wa nyumbani na usalama wa ofisi yako Black Horse Africa tupo kwaajili yako. Tuna kamera za kisasa zenye uwezo mzuri wakuona hata kizani bila kupoteza taswira halisi
Karibu tukuhudumie .gharam zetu ni nafuu sana wamasiliano 0782719980
Msaada, kuna jirani yangu Kaingiliwa na nyoka mazingira ya nyumbani kwake, huyu nyoka ana week tangu aonekane mara ya kwanza, ila upo uwezekano ni zaidi ya week maana kabla ya hapo ilikua inatokea tu kuku kapotea, kelele za kuku bandani, usumbufu dirishani akiwa amelala n.k n.k.
Baada ya muda...
Kaandika hivi kupitia twitter:
Mwenyeketi Freeman Mbowe Karibu sana Arusha, ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja katika ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda ya Kaskazini tutaendelea kuwa mstari wa mbele kujenga na kuimarisha demokrasia Tanzania...
Uteuzi wa mabalozi wapya leo ni dhahiri utaendana na mabalozi hao kupangiwa vituo vipya na kwa maana hiyo mabalozi wazee wanastaafu na kurudi nyumbani.
Ni wazi Balozi Slaa, Balozi Migiro na balozi Masilingi watakuwa wameanza kufungasha.
Kazi Iendelee!
Utumishi wa Umma ni kama mbio za kupokezana vijiti , unakimbia umbali wako baadaye unamwachia mwenzio naye aendelee , huo ndio ustaarabu
Haiwezekani watu wamezeeka lakini bado tunaendelea kuwaachia kazi zilizozidi uwezo wa ubongo wao , Nothing lasts longer , tubadilike , mbona kuna vijana...
Natumai hamjambo nyote
Kama Kuna kitu nakichukia hapa duniani
1:uchafu
2:uchafu
Jamani kiufupi uchafu Ni tabia na si Kama inavyodhaniwa kuwa uchafu Ni kwa wale watu wa Hali ya chini tu
Ila ukweli Ni kuwa uchafu Ni tabia
Haijalishi una maisha gani
Jiulize unafika hospital kuanzia...
YUSUFU HAKUKUMBUKA NYUMBANI, HII INAMAANA GANI?
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Moja ya mambo yanayonitafakarisha ni kuhusu kisa cha Nabii Yusufu katika Biblia.
Kisa hiki Leo tutakiangazia katika pembe nyingine tofauti kabisa na vile tulivyozoea kufunzwa Makanisani na nyumba za Ibada.
Muhtasari...
HAPA NDIPO ILIPOJADILIWA BARUA YA JULIUS NYERERE KUCHAGUA SIASA AU UALIMU
Hapo liliposimama jengo hilo ndipo ilipokuwa nyumba ya Clement Mohamed Mtamila katika miaka ya 1950 harakati za TANU kudai uhuru zilipopamba moto.
Huu ni Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Kleist Sykes) na unaokatiza ni Mtaa...
Kama Rais Samia anafurahia kurudi nyumbani kwa wanachama waandamizi wa CCM, basi ajipange kweli kweli, wanakuja kuimba nyimbo zisizoimbika ugenini.
Wengi sidhani kama mumeelewa dongo alilolipiga Nyalandu kuhusu NYIMBO ISIYOIMBIKA UGENINI?
Huyu aliendea Urais Chadema akajitahidi sana kutaka...
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge, amewataka vijana waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2020/2021 na kurejeshwa nyumbani mwezi Februari mwaka huu kurejea makambini.
Kaimu mkuu wa utawala wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kanali Hassan...
Wahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani.
Pale juu anaweza kubaki Mbowe...
Timu ya Taifa ya Uganda inatarajiwa kutumia Uwanja wa Taifa wa Tanzania kama uwanja wao wa nyumbani kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la 2022.
Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) limelijulisha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya msaada wanaohitaji wa kutumia Uwanja wa Mkapa kama uwanja...
Kuna ongezeko kubwa la mabinti kuzalia home kwa wazazi kabla ya kuolewa.
Nimefanya utafiti ,majibu yangu yamejuwa na ukweli, Lakini sababu kubwa ni kutokana na
1. wanawake wengi kukata tamaa, 2.umri mkubwa,
3.lakini pia nimekutana na majibu ya wanawake waliamua kushika mimba baada ya...
Mimi nakumbuka familia yetu wazazi hawakuwa strict sana kivile kiasi cha kuogopwa na watoto. Ila kuna Sheria 3 kuu ambazo watoto hasa wa kiume ilibidi tuzifate na kuzitii kama tulihitaji kuendelea kuishi kwa amani na utekelezaji wake ulikuwa unasimamiwa kwa hali ya juu sana.
1. Hakuna kula kama...
Niliondoka kidogo nikaenda Sweden, Canada, USA, UK, Egypt, Dubai na South Africa. Nikarudi tena Canada kwenye moja ya nyumba zetu.
Nilipata habari za msiba kabla haujatangazwa sababu Ubalozi uliona ni vyema kuwaambia Raia zake kinachoendelea. Hivyo tukaondoka kuepuka matatizo kama yangetokea...
Nyiee hivi mlishawahi kwenda Kigoma kuna gari zinaitwa Cassablanca ukiingia ndani picha linaanza kwanza hitakiwi kuvaa tshirt au nguo nyeupe maana utafika kibondo kama umetoka kumuibia mchina madini kule Buzwagi.
Ok sasa Tv za mule ndani ni flat screen Lg zimechomelewa juu ya dali la gari kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.