The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.
Jiulize nyumbani kwenu huna nyumba ya gharama, mara fuko la pesa za rushwa hizi hapa, ni wachache sana wanaweza kukataa. Zile pesa Abdul alizojaribu kumuhonga mwamba, zingebadili maisha ya ukoo wa lissu haraka mno, ila akazikataa .
Katika dunia ya Leo ya ubepari, wengi wangeona hiyo ni fursa...
HAKI inaanzia NGAZI YA FAMILIA. ANZA HARAKATI ZA HAKI NYUMBANI KWAKO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watu wengi hasa wanaharakati hupenda sana kuzungumzia suala la haki. Kusema, tunataka haki, haki haki ifanyike. Lakini huitaka haki wakiwa nje. Nje ya milango ya nyumba zao.
Kwa sisi...
Mamlaka nchini Paraguay zimemhamisha rais wa zamani Santiago Pena hadi kwenye kambi ya jeshi kwa ajili ya usalama wake, na kuhitimisha siku yenye sintofahamu kubwa mjini Asuncion. Awali, alikuwa amewekwa chini ya ulinzi wa nyumbani kufuatia kuanguka kwa benki ya UENO.
======
Paraguayan...
Mwenyezi Mungu ajalie yatoke maamuzi yanayotarajiwa na wengi.
sisi tuliopo huku mtaani kila mtu sala yake anaomba lisu achiliwe , si kwa maslahi yoyote isipokuwa ya taifa na hatma nzuri kwa taifa letu.
mi nakajiuliza ikiwa itakuwa hivyo ambapo pia ni dua yangu kwa Mungu awe huru,sasa alivyo...
Ukienda pale High Court masijala ndogo DSM ukumbi mmoja (open Court)
Hauwezi chukua watu zaidi ya 200, hivyo kuhamasishana kwenda pale ni kusababisha demand kubwa ya nafasi kwa kila mtu ambayo inaweza leta mambo mengine yasiyotabirika.
Sasa niwaase tu ndugu zanguni tutulie majumbani mwetu...
Kwa kweli Marekani ni model wa demokrasia duniani. Uchaguzi imefanyika ndani ya masaa sita washindi washajulikana na walioshindwa wamekubali kushindwa na maisha yanasogea. Hadi Rais kichaa Trump kakubali kushindwa na kuahidi kufanya kazi na democrats.
Kwa marekani usipotekeleza sera zako...
List ya bidhaa za nyumbani zenye mauzo makubwa sana hapa nchini kwetu.
1.Unga wa sembe na dona.
2. Michele
3. Nyanya(Tomatoes)
4. Vitunguu(Maji na swaumu)
5. Mafuta ya kupikia
6. Sukari
7. Maharage
8. Chumvi
9. Dagaa
10. Unga wa ngano
11. Mkate(Bread) na skonzi
12. Mayai
13. Maziwa
14. Viazi...
Serikali ilijua hamna mvua ila kuna joto, kwanini waliamuru watoto warudishwe nyumbani mapema?
Kwanini waliamuru nyumba zibomolewa mabondeni na watu wahame?
Hizo bil 739 zinazuiaje joto?
Kwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni
Britanicca
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Terry Bukuku, kupitia video inayosambaa kwenye mtandao wa TikTok, ameomba msamaha kwa aliyekuwa mume wake, Juma maarufu kama Baba Ivone, huku akieleza kuwa anatamani warudiane na kuendelea kulea watoto wao watano.
Katika ujumbe wake, Terry amekiri kuwa kiburi...
| ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
Mtoto anaeritadi yaani kutoka uislam kuingia dini nyengine hatakiwi kubaki nyumbani.
Anatakiwa atafute pakukaa.
Huu ndio msimamo wa Uislamu, sio matakwa yangu. Kama umeamua kuwa mwanachama unatakiwa uufuate.
Surat Al-Baqarah 2:217
وَمَن يَرْتَدِدْ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَيَمُتْ وَهُوَ كَافِرٌ...
Habari wadau,
Natumai mko poa
Nimekuwa nikifanya uchunguzi mdogo baada ya kuona watu wengi humu JF mna-post picha za magari mnayouza, nyumba mnazopangisha, na hata watoto wenu.
Je, mnajua kila picha mnayopiga na simu yenu ya mkononi inabeba siri 3 ndani yake bila ninyi kujua?
1. Mahali...
Hahaha, hii ndiyo Tanzania bana kubabeki, raha tupu! Tumempokea Jihan, tumeshangilia ushindi wake na kusema huyu ni wetu, Tanzania imetisha Wale wasiopenda unity watajaza nafasi zilizo wazi wenyewe sisi tumepitisha, na tunampenda mwenzetu pamoja na nchi yetu.
Sisi tunaitangaza Tanzania kwa...
Je, unahitaji mwalimu wa ziada kwa ajili ya mtoto wako au wewe mwenyewe? Tunakuunganisha na walimu wenye uwezo kwa ajili ya kujifunza nyumbani au sehemu mnayokubaliana.
✅ HUDUMA ZETU ZA HOME TUITION
1️⃣ Watoto wa Nursery na Kindergarten (KG).
2️⃣ Wanafunzi wa shule za msingi.
3️⃣ Wanafunzi wa...
Familia ya Urassa imesema haitaruhusu ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao Kijiji cha Nkuu Sinde, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa Jane Urassa, ikieleza kuwa wanaotaka kumuaga wataruhusiwa kuhudhuria ibada itakayofanyika kanisani pekee.
Msemaji wa familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.