The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.
Mshambuliaji wa Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang amevamiwa na wahalifu wenye silaha nyumbani kwake asubuhi ya leo Agosti 29, 2022 ikidaiwa pia wahalifu hao walimpiga mchezaji huyo.
Taarifa za awali zinaeleza walikuwa wahalifu wanne wenye silaha za moto na nondo ambapo walifanikiwa kuondoka...
Neno dogo lakini lenye marefu na mapana yake.
Hivi ni kweli kwamba unaweza ukawa na rafiki kumbe ana mipango ya Siri ya kukuangamiza kabisa! Na wewe huna hata taarifa na unaendelea kucheka nae tu?
Je, ni kweli watu wenye upendo uliopitiliza wanaweza kuwa na mipango ya Siri ya kukuangamiza...
Jengo la mahakama ya West Meru lililotekelezwa
Wananchi wa Meru wameoimba serikali kufufua mahakama zilizotelekezwa ili kurahisisha usikilizaji wa kesi katika Kata zote zinazoizunguka Meru kutokana hali halisi ya jiogrofia ya maeneo yao ikiwemo umbali, na ubovu wa barabara kwenda kwenye...
Hali ya unyanyasaji wa Watoto Nchini imetajwa kuchangiwa na mmomonyoko wa maadili katika jamii, wengine wakisingizia hali ngumu ya kiuchumi inawafanya kutokuwa na muda wa kulinda na kutoa malezi chanya, ambapo asilimia 60 ya unyanyasaji wa Watoto unatokea nyumbani.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
Salaam Wakuu,
Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi
Natambau wengi wetu tunatamani kuwa wafanya mazoezi, lakini kwa sababu mbalimbali tumekuwa tunakosa muda kwenda uwanjani au...
Nawaza kama siku ya sensa haitakuwa siku ya mapumziko, Je zoezi la sensa litaenda vizuri kweli? Nawaza kitofauti kwamba endapo watu hawatabaki nyumbani hasa hasa watumishi ambao baadhi ya familia hawana mtu anayebaki nyumbani hii imekaaje kupata taarifa za familia husika.
Hii siku waifanye iwe...
STAMICO kusherehekea miaka 50, imezalisha makaa ya mawe rafiki kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Makaa yana ufanisi mkubwa na huwaka kwa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida.
Pia husaidia katika utunzaji wa mazingira maana yatazuia ukataji wa miti hovyo.
BEI yake ni rafiki pia kwani yatapatikana...
Mwaka mmoja baada ya Maafisa wa Idara ya Usalama kuondolewa kwenye makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto na nafasi yake kuchukuliwa na Maafisa wa Polisi wa Utawala, leo wamerejeshwa rasmi.
Kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi, Rais Mteule William Ruto anapewa ulinzi wa maafisa 200...
Maafisa wa FBI waliopekua nyumba ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump iliyopo Florida maarufu kwa jina la Mar-a-Lago wamedai kupata nyaraka 11 za siri, zikiwemo ambazo zilistahili kupatikana katika vituo maalum vya Serikali.
Upekuzi huo ulitokana na tuhuma za ukiukwaji wa Sheria ya...
Ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, yamemkuta Mwanaume mmoja huko nchini Zambia amejikuta anapoteza fahamu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye mwenye nyumba aliyokuwa analipia kodi kwa miaka 15.
Nyieee hahaha wanawake mnasiri kubwa daah,Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Martin...
Vyombo mbalilmbali leo asubuhi vimereport taarifa ya uvamizi wa FBI katika jumba la aliekuwa Rais wa marekani Donald Trump. Kupitia vyanzo mbalimbali vya taarifa vimebainisha kuwa Rais huyo mstaafu huenda akawa na ( white House record ) hivyo kuhatarisha Siri za serikali ya marekani. Kwanini...
Habari zenu wakuu,
Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet.
Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na umeme, network imejaa 4g huwa inashika vizuri sana, nataka niweke portable wifi router ndogo hizi...
Watu wa Soka,
Tunapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wetu kwamba Jumatatu ya Agosti 01, 2022 timu yetu iliwasili salama Makao Makuu mkoani Singida, ikitokea jijini Arusha ilikoweka kambi kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23.
Ratiba ya mazoezi ya kuinoa timu...
Mtwara. Madiwani watano wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mkoa wa Mtwara wamebakia na mshangao baada kukuta barua zenye ujumbe zilizoandikwa kwa maandishi mekundi nyumbani kwao.
Ujumbe hizo zinazosomeka ‘Munatualibia maisha yetu na nyinyi mujiandae kuhalibiwa kwa namna yoyote maisha yenu’...
Soma kwa utulivu mkubwa...
Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na nikamwambia sitaweza kupumzika kazi mwezi mzima. Lakini aliniambia mwezi mmoja wa kung'ang'ania kazi naweza kuujutia maisha...
Kwa mahitaji ya huduma ya Masomo ziada majumbani (Home tuitions) ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam wasiliana na walimu mahiri kupitia namba zifuatazo:
0716600198 au 0758120535.
Masomo ni kama ifuatavyo:
SEKONDARI: Physics and Mathematics
MSINGI: Science, Mathematics, English and Social studies...
Kuna madai kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 taslimu baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana...
Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe.
Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari)
Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.