nyumba

  1. Dalali_wa_kimataifa

    House4Sale Nyumba inauzwa, ipo mtoni Kijichi, bei ni milioni 650

    6- ROOMS (4-MASTER BEDROOMS) MTONI-KIJICHI USHUANI GHOROFA INAUZWA BEI; MILLIONI 650 SQM 1.500 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #houseforsale #tiles #realestate #tanzania
  2. realMamy

    Je, una utaratibu wa kuhudhuria nyumba za Ibada?

    Kuna utaratibu mzuri umewekwa na baadhi ya Dini namna nzuri ya kuhudhuria Ibada. Kuna Dini zenye Ibada zaidi ya Moja Ili kuhakikisha Kila mtu anapata nafasi ya kupata mawili matatu kutoka kwenye neno la Mungu. Mojawapo ya maana ya Neno Ibada ni kumheshimu, kumshukuru, na kumuabudu Mungu kwa...
  3. Traxtion

    Kwanini nyumba nyingi Tanzania zina mabati marefu?

    Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high. Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati linakuwa tu na mwonekano mzuri lakini still unaweza kunotice kuwa ni refu ukifananisha na nyumba...
  4. Kilawo

    Mke wangu anawasifu wanaume waliojenga nyumba

    Mimi nimeoa miaka 6 iliyopita tuna mtoto mmoja na tunaishi nyumba ya kupanga lakini mke wangu anawasifu Sana wanaume waliojenga nyumba zao. Wanajukwaa, mliwezaje kujenga kwa biashara ndogo ndogo, kama ninazofanya mimi? Maana kiwanja kipo tatizo lipo kupata pesa ya kuanzisha ujenzi, nyie...
  5. The Palm Beach

    Kumbe hii nyumba ya John Heche ndio ushahidi wa tuhuma wanazotengeza? Looh!.. hawa watoa tuhuma ni vilaza kwelikweli, hawamjui Heche wa nje ya siasa!

    Eti hiki kijumba ambacho actually is very contemporary sawa na ramani ya choo cha Shule ya Msingi Temeke Wailes ndio ushahidi wa mabilioni ya shilingi ambayo wanadai John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameyatia mfukoni mwake na kuyatumia binafsi kujengea kama... Haya ndio madai ya chawa wa...
  6. MamaSamia2025

    Heche anapeleka wapi hela anazotafuna? Nyumba anayojenga haiendani na hela zinazotajwa kutafunwa

    Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii...
  7. instinct desire

    Heche amekaa bungeni 10yrs Leo anasaidiwa na Maria Sarungi kuchangisha watu amalizie nyumba yake, serious?

    Kwani Hela wanapeleka wapi? Au wanacheza kindenge🤣 Watu tunaposema Hela za chadema zinagongwa na wakulungwa wa Chama muwe mnaelewa. imagine mtu aliyepata kiinua mgongo cha ubunge Leo hii ndo anasaidiwa na Maria Sarungi kukamilisha boma lake hii ni aibu. NA HATUJAWAHI SIKIA AMEGOMEA POSHO...
  8. D

    Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Wakuu habari, ninaishi kwenye upangaji kwa sasa hivyo naendelea kupambana na adha za baba mwenye nyumba lakini kwa bahati nzuri nimeweza kununua kiwanja na sasa najipanga na ujenzi lakini wakati huo mawazo ni mengi kichwani mwangu nikiwaza kujenga nyumba ya ndoto yangu ambayo itanichukua muda...
  9. Fbn

    Serikali ya Tanzania ina wananchi wazuri kupenda nchi yao ila imefanywa kuwa nyumba za watu wachache kuwa nchi yao

    Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli. Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa wanajeshi wapo wamejazana. Leo pale dodoma kuna uranium ya kutosha mshapeleka urusi. Kuna makahaa ya...
  10. M

    Inakuwaje unajenga nyumba ya makazi karibu na higway? Hujali usalama wa familia yako

    Unakuta mtu kajenga nyumba ya kuishi 40m kutoka bara bara kuu tena imejitenga na centre hivyo magari kwa maeneo hayo yanatembea spidi kubwa. Angalau 100m kutoka barabara kuu ni salama kwa makazi endapo gari litaacha njia.
  11. Sonship

    House4Sale Nyumba inauzwa Kibamba shule (Hondogo), Dar es Salaam

    NYUMBA INAUZWA – KIBAMBA SHULE (HONDOGO), DAR ES SALAAM 💰 Bei: TZS Milioni 27 tu Sifa za nyumba: ✅ Kiwanja ukubwa wa mita 23×25 ✅ Umbali wa km 3 kutoka barabara ya lami ✅ Vyumba 2 vya kulala: Master Bedroom 1 Single Bedroom 1 ✅ Sebule ✅ Jiko ✅ Public Toilet ✅ Plasta ya ndani...
  12. M

    Tuhuma nzito zalitikisa Baraza la Ardhi na Nyumba Maswa

    Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Maswa, Joseph Timothy Kaare, anakabiliwa na malalamiko yanayodai kuwa amekuwa akiendesha shughuli za baraza hilo kwa kutumia maamuzi binafsi yanayokiuka taratibu na miongozo ya Serikali. Baraza hilo, ambalo lipo chini ya Wizara ya Ardhi...
  13. ZirlovimovicZirkov

    Je, tumeamua kumfuga huyu chatu na kumruhusu atawale nyumba yetu?

    Wakuu heshima kwenu. Baada ya muda mrefu kuwepo nje ya jukwaa Leo nimeamua kurudi kutoa maoni yangu na kushirikiana na wanajukwaa katika kujenga na kukosoa yale yasiofaa. Kama kichwa Cha habari kinavyouliza hapo juu, Wakuu, Je! tumeamua kumfuga huyu chatu na KUMRUHUSU...
  14. Sonship

    Nyumba inauzwa Kibaha Loliondo

    NYUMBA INAUZWA – KIBAHA LOLIONDO 1. Vyumba 3 2. Sebule 3. Dining 4. Jiko 5. Master Bedroom 📐 Ukubwa wa kiwanja: Mita 20×20 Bei: TZS Milioni 17.5 maongezi kidogo yapo 📞 Wasiliana: 0675 065906
  15. R

    Biashara ya mapazia na vyomno vya nyumbani inalipa. Angalia nyumba za wafanyabiashara hao

    Mungu ni mwema. Twende China tulete vyombo vya nyumbani na mapazia. Mchongo mzuri FACT: SIMPLE:- UKITAKA KUJUA MCHONGO GANI ,PATA MAJINA YA YA WAMILIKI Video
  16. M

    Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

    Hapa wazee napigwa? Nyumba ina vyumba vitatu na iko mstatili ameniambia milioni moja na laki mbili, vifaa vyote ni vyangu maeneo ya Dar iko sawa? Na mwingine kaniambia laki nane na nusu lakini ananiambia ninunue mbao buguruni eti mbao moja 18,000/= hapo vipi?😀 Ukubwa wa nyumba mita urefu mita...
  17. Etwege

    Kwa wale wanaowacheka watu waliojenga nyumba badala ya kufanya biashara

    Tangu zamani watu waliojenga nyumba kabla ya biashara wamekuwa wakiulizwa maswali ya kwa nini wasijenge biashara kubwa kwanza alafu ndio baadae wajenge nyumba, wanaouliza hayo maswali wanadai kujenga ni kuzika pesa! Dhana ya kwamba ukijenga unazika pesa siku hizi imeshika kasi baada ya...
  18. Best home tutor

    Ni sheria gani ya nyumba za kupanga ambayo haiwezekani kufuata licha ya kurudiwa mara kwa mara?

    Kwenye nyumba za kupanga bana kuna Mengi unakutana na sheria mbalimbali ,kudeki vyoo na kufuagia uwanja ,mwisho wa kurejea nyumbani ,marufuku ya kubadilisha mabinti ,Sheria ya mziki ulipotiliza nk Kwa upande wako ni sheria gani ngumu sana uliwahi kukutana nayo?
  19. excel

    Ila nyumba za Chanika..Nyumba inapigwa make up inawaka kinoma

    Nyie.. au rangi wanapewa bure? Nyumba inapakwa rangi 7 tofauti hadi raha😂😂
  20. Mung Chris

    Kiwanja kinauzwa Bunju B kina nyumba za self

    Kiwanja chenye nyumba kinauzwab Bunju B Beach maeneo ya kwa Mjeshi. Kina hati. Sqm 600. Kuna self 3 double na single 2 zina vyoo nje. Wapangaji wapo. Kuna pagala halijaisha. Bei ya mwisho mil 90. Kwa anaye hitaji apuge simu 0796538437 mmiliki wa kiwanja
Back
Top Bottom