nyumba

  1. Wizara ya Ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi Mjini alipopewa nafasi ya kuwasalimia wakati wa ziara ya kikazi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania , Mhe. Deogratius Ndejembi...
  2. bless on

    Mpangilio wa nyumba yako

    Kila nyumba inastahili kuwa na sehemu maalum ya kulia chakula— haijalishi ukubwa wa nyumba yako! Watanzania wengi tunaamini ili uwe na sehemu ya kulia, lazima uwe na nyumba kubwa yenye chumba maalum na meza ya viti 6 au 8. Matokeo yake? Tunajikuta tunakula kwenye makochi, kwenye coffee table...
  3. Corticopontine

    CCM kutoa pesa kwa ajili ya kujenga nyumba ya kisasa nyumbni kwa Marehemu ALUTE LISU MGHWAI, kumuenzi mwanaccm mwenzao

    Kwa Taarifa zilizonifikia ni kwamba Chama cha Mapinduzi kitatoa tsh million 200 kwa ajili ya kujenga nyumba, nyumbani kwao ALUTE LISU MGHWAI ili kuenzi mchango wake ndani ya CCM, pamoja na kwamba TUNDU LISSU amekuwa mbunge kwa miaka 10, na amefanya nafasi kubwa kubwa za kimataifa na hajawajengea...
  4. C

    Wananchi waishukuru Serikali kwa “kuwabomolea nyumba”

    Wakati baadhi ya wakazi wa eneo la Maili Mbili, Kata ya Kiwanja cha Ndege jijini Dodoma wakikabiliwa na huzuni kufuatia zoezi la ubomoaji wa nyumba na majengo yao, baadhi ya vijana wanaofanya biashara ya bodaboda wamepongeza hatua hiyo ya Serikali, wakisema itasaidia kuboresha miundombinu ya...
  5. Nyani Ngabu

    Hiyo inayodaiwa kuwa nyumba ya akina “Lissu”

    Watu waliofilisika ki hoja na ki fikra, huishia kufanya mambo ya kitoto na ya kipumbavu. Hiyo wanayodai kuwa ni nyumba ya akina Lissu, ina ubaya gani? Asilimia kubwa tu ya Watanzania wanaishi katika nyumba kama hizo. Hakuna lolote lililo la ajabu kuihusu hiyo nyumba. Kuishangaa na kuanza...
  6. Q

    Zanzibar kuvunja nyumba zote za umma za zamani na kuzijenga upya. Sisi tuendelee kutekana

    Watanganyika tuendelee kutekana na kufungana, akitokea mwingine kutetea maliasili zetu afungwe tu, machawa nao waendelee kushangilia na kutetea hilo. ==========/========= The Zanzibar Government plans to demolish and rebuild all public housing estates constructed in the years following the 1964...
  7. radhiya

    Eneo lenye Nyumba linauzwa Ubungo Kibangu

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Ubungo Kibangu. Eneo liko mita 100 kutoka barabara ya mandela, mita 2 kutoka barabara ya Makoka. Nyumba iliyoko ndani ya eneo ina vyumba 26, mbele ina fremu 4 za biashara. Ukubwa wa Eneo: SQM 626. Bei: Tzs 450M. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka...
  8. Manyanza

    Video: Mume alipia kodi ya nyumba miaka 14, nyumba ya mkewe

  9. 100 others

    Afrika: Tunaongoza Kwa Kusali Na Kuwa Nyumba Za Ibada Nyingi Lakini Tunaongoza Kwa Umasikini

    Hii imekaaje? Hivi kuna watu wanaongoza kwa kuomba na kusali kama watu kutoka Afrika kweli? Nyumba za ibada kila baada ya mita kadhaa, nadhani bara hili hata kwenye wingi wa nyumba za ibada tunaongoza duniani, huko mitaani makanisa na misikiti vimesongamana mno, nimeona nyumba za ibada...
  10. figganigga

    Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijengea Tanganyika japo Banda la kuku

    Ndani ya Mwaka Mmoja, Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijenga hata Banda la kuku Tanganyika. Samia Suluhu ungozi wake utakumbukwa kwa Utekaji, Mauaji kubambikia Watanganyika kesi. Kwenye uongozi wake, Watanganyika wengi wamefunguliwa kesi za...
  11. Alexido jz instagram

    ZHC YA ZANZIBAR IMENITUMIA SMS, NINUE NYUMBA, ZANZIBAR, MI NI MBARA SIRUHUSIWI KUMILIKI ARDHI ZANZIBAR, SIJAWAELEWA,

    Napenda kutii Sheria bila shuruti, napenda kuheshimu mamlaka, NACHUKUA Fursa hii kumpongeza rais wangu dkt mwinyi, asee hunambii kitu kwa huyu rais, NAMPENDA SANA, nashukuru pia rais wangu wa JMT. Ndugu mheshimiwa rais, nimetumiwa sms ZHC NINUE NYUMBA zenji nilipo kwa sasa, nikasema sawa mara...
  12. U

    Mhubiri mtata Nigeria, Yahaya Masussuka, aliyepinga hadithi za Mitume mohamed na kusisitiza kuwa quran tukufu inatosha auawa kwa kupigwa risasi

    Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria. Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake. Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
  13. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Jengo la Ofisi ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ni moja ya majengo ambayo yamesanifiwa na kujengwa kwa ubora na muonekano maridhawa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Jengo hili limejengwa kwa usanifu wa kisasa wa ghorofa lenye muonekano wa kuvutia ambao kwa pamoja na...
  14. F

    Mbwa mwitu awafugao Mwaipopo wataachiliwa waingie nyumba za ibada, tuongeze umakini

    Amani iwe nanyi. Shehe Mwaipopo anaye kiongozi aliyemtuma kuanzisha ufugaji wa mbwa mwitu. Na kauli zake ni za wazi kabisa, anatamani nchi iwe Islamic state,kwamba utasilimu Kwa kupenda na usipotaka utalazimishwa au uuwawe Na ukiunga dots Kwa mamlaka kumpa support aseme ayasemayo, aminini ni...
  15. technically

    PostGE2025 Tunduma kila nyumba Leo wameomboleza

    Leo nimekuwa Tunduma kila nyumba wanaomboleza mtu mmoja au wawili waliouwawa October 29 2025. Ni huzuni Sana Mimi binafsi kaka yangu kaniachia majukumu yake kutunza familia yake watoto 2 nasomesha Alipigwa risasi alitoka ATM kutoa pesa mida ya saa 1 jioni kibo complex tegeta tarehe 29/10/2025...
  16. radhiya

    Eneo Lenye nyumba ya Kuvunja Linauzwa Ubungo Kibangu

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Ubungo Kibangu. Eneo liko mita 100 kutoka barabara ya mandela, mita 2 kutoka barabara ya Makoka. Nyumba iliyoko ndani ya eneo ina vyumba 26, mbele ina fremu 4 za biashara. Ukubwa wa Eneo: SQM 626. Bei: Tzs 450M. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka...
  17. A

    Naomba muangalie bajeti wiring ya vyumba viwili je ni sawa

    Habari wanaJF! Nieende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Nimemuita mfunga wiring anifanyie mahesabu ya vifaa na gharama zake, na imekuwa kama ilivyoambatanishwa apo chini kwenye attachment. Je izo gharama ni kweli? Jumla imekuja 215K Ahsante!
  18. M

    Sio kwamba wanawake wa Kinyakyusa ni wagumu, bali taasisi ya ndoa inahitaji mwanamke kujishusha, kutii na kukubali mwanaume kuwa kichwa cha nyumba

    Kuna mtazamo hasi sana umekuwa ukisambazwa kuwa wanawake wa Kinyakyusa wana kiburi, ni wababe, Lakini, je, umewahi kujiuliza kuna nini nyuma yake ? Ndoa inamuhitaji mwanamke kujishusha (Submissive), Ndoa inamtaka mwanamke kumtii mme wake, ndoa inamtaka mwanamke kukubali mwanaume ndie kichwa cha...
  19. Lagrange

    Chukua Tahadhari, Dodoma Kodi Za Fremu Ni Kubwa Mno

    Habari ,, Huu mji wa Dodoma umekuwa na kodi kubwa sana za fremu zisizo endena na uhalisia wa kibiashara , mfano mwaka Huu 2026 nyumba zilizo rekebishwa maeneo ya mjini katikati Kodi ni 4m,3m,2.5m ,2m na 1.5m kwa mwezi . Walio kuwepo hakuna hata mmoja aliye weza kurudi wamekuja wapya Hizo Kodi...
  20. radhiya

    Nyumba ndogo inauzwa Kimara temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
Back
Top Bottom