nyumba

  1. DalaliMsumiKigamboni

    NYUMBA INAUZWA 💰 38M TZS 📍 KIGAMBONI MIKWAMBE 🥉 0652180400

    NYUMBA INAUZWA 💰 38M TZS 📍 KIGAMBONI MIKWAMBE 🥉 0652180400
  2. Jannatul Firdaus

    Mwijaku: Mke Wangu Alikuwa Akiniomba Hela Namwambia Sina Anivumilie, Leo Tuna Nyumba Mbili Za Ghorofa

    Mwijaku, amefichua siri ya mafanikio ya familia yake hivi karibuni kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, akieleza jinsi uvumilivu wa mke wake ulivyowawezesha kumiliki nyumba mbili za kisasa za ghorofa. Mwijaku alieleza kuwa katika safari ya maisha yao, mke wake alipokuwa akimwomba...
  3. OMKEIT 93

    Je, kujenga nyumba ya makazi bila kibali ni kosa? Kwanini watu wengi hufanya hivyo bila kusumbuliwa?

    Wakuu, Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania. Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye kiwanja chake anatakiwa kuwa na kibali cha ujenzi kabla ya kuanza kujenga? Kwa sababu ukienda mikoani...
  4. Wizara ya Ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Malias

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Maliasili na Utalii katika mkutano wa hadhara kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu unaohusu mipaka ya kiutawala na mpaka wa msitu wa Kazimzumbwi...
  5. Wizara ya Ardhi

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo lashiriki One Stop Centre

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo limeshiriki katika zoezi la One Stop Centre linalofanyika katika Kata ya Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi. Zoezi hilo limeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Halmashauri ya Mji Bagamoyo...
  6. cocastic

    Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo. Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo...
  7. the ostrich eggs

    Simulizi katika Picha: Ukiulizwa unajenga Nyumba ili iweje usijibu

    Ni mshahara nilikuwa najenga ili nisiwe "homeless" lakini naishia kuwa "homeless" bonge la movie Ni mshahara nilikuwa matadors kazi ili nisiwe "unemployed " lakini naishia kuwa "Unemployed " bonge la movie Ni mshahara nilikuwa nafayakazi ili nisiwe "Hela" lakini naishia kuwa "kufa...
  8. nzalendo

    Nyumba ndogo zina faida/msaada sana ki Afya

    Naam hasa afya ya akili.. Hawa wake zetu kwa kiasi fulani wanachangia sana kututanguliza mahala pema peponi. Hivyo mkombozi ni nyumba ndogo,,,huko hupata vitu ambavyo mke hawezi kukupatia, Wanaume tunahitaji heshima tu,,ukiambiwa jambo sikiliza. Mke akiwa na jeuri na kujibu kwa dharau hufanya...
  9. Mwizukulu mgikuru

    tumalize mjadala leo...mafanikio ni kumiliki gari na nyumba?😊😊

    kwamba nina miaka 40 sina gari wala nyumba lakini leo chuo kikuu cha mzumbe nimehitimu shahada yangu ya tatu na kutunukiwa PHD....je haya sio mafanikio?.... nina umri wa miaka 40 nimeowa na nina watoto watatu wa kwanza kamaliza shahada ya udaktari kcmc...
  10. bakari khalidi

    House4Sale NYUMBA YENYE MADUKA 12 INAUZWA KINONDONI ROAD BEI BILLION 3.5 (SQM 1343) PHONE:+255 719 377 649

    NYUMBA YENYE MADUKA 12 INAUZWA KINONDONI ROAD BEI BILLION 3.5 (SQM 1343) PHONE:+255 719 377 649 ARDHI YA THAMANI INAUZWA! 🏢🏠 Kiwanja chenye maduka 12 ya biashara, pamoja na nyumba ya kuishi, kikiwa kando ya barabara ya lami. Eneo bora kwa uwekezaji na Hati safi .
  11. bakari khalidi

    House4Sale Nyumba yenye maduka 12 inauzwa Kinondoni Road, bei bilioni 3.5 (sqm 1,343)

    ARDHI YA THAMANI INAUZWA! 🏢🏠 Kiwanja chenye maduka 12 ya biashara, pamoja na nyumba ya kuishi, kikiwa kando ya barabara ya lami. Eneo bora kwa uwekezaji na biashara yenye kipato.
  12. Echolima1

    Wafuga Midevu na Majini wauana kwenye nyumba ya IBADA huko Khyber Pakhtunkhwa Pakistan

    Pakistan: Takriban watu 31 wamepoteza maisha, wakiwemo maafisa 16 wa polisi na majeruhi wasiopungui 100, katika shambulio la kujitoa mhanga kwa gari lililokuwa na vilipuzi kwenye msikiti ulioko ndani ya kambi ya polisi ya Kohat (Kohat Police Lines) huko Khyber Pakhtunkhwa wakati wa sala ya...
  13. Expensive life

    Uchawi kwenye ujenzi wa majumba upo, umeshawahi kukutana nao?

    Kule kijijini kwetu Singida ukijenga nyumba nzuri, lazima ujipange kweli kweli kama ni mlonzi basi loga sana, kama ni mcha Mungu basi omba sana. Unaweza maliza nyumba yako na ukadanja ukaiacha, husda ni hatari kule.
  14. Gunner11

    Natafuta Apartment DSM: Ghorofa, AC, Jiko <300K

    Nataka ni sake apartment kabisa, hiyo 200k sio shida tena kwangu. Labda ni waambie tu. Mazingira unayoishi yanaku shape in subtle ways ambazo wewe mwenyewe huwezi kujua Nataka ni sake apartment, Wajuvi ni ipi bei chee kwa DSM na iwe below 300k yaani iwe ghorofani, iwe na air condition, na...
  15. Jannatul Firdaus

    Aliomba Iphone kwa wapenzi wake 20, kisha akaziuza na kununua nyumba

    Mwanamke mmoja nchini China, aliyetambulishwa kwa jina bandia la Xiaoli, alizua gumzo mtandaoni mwaka 2016 baada ya kuripotiwa kuwa aliwaomba kila mmoja wa wapenzi wake 20 kumnunulia simu aina ya iPhone 7. Kwa mujibu wa ripoti zilizochapishwa na vyombo mbalimbali vya habari wakati huo, Xiaoli...
  16. Kinoamiguu

    Kingai aliyejenga nyumba ya Mungu kijijini kwao kesho anakwenda kuchuma dhambi

    Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
  17. Jannatul Firdaus

    RC Chalamila; Kila nyumba Dar iwe na Dustbin

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, ameagiza kila nyumba kuwa na kifaa cha kuhifadhia taka (dustbin) angalau mbili kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam linakuwa safi na mazingira yanatunzwa. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Septemba 17...
  18. Wizara ya Ardhi

    Fahamu mfumo wa Baraza la ardhi na nyumba la Wilaya

    https://m.youtube.com/watch?v=8Mw7LJ6EwEc&t=1764s[/URL]
  19. Mla Bata

    Tusiibomoe nyumba kwa sababu ina kasoro, lakini pia tusikatae kuikarabati kwa sababu tumeizoea

    Wasalaam, kuna msemo mmoja ambao naamini una nafasi kubwa sana katika mjadala wa siasa za Tanzania. “Tusibomoe nyumba kwa sababu ina kasoro. Lakini pia tusikatae kuikarabati kwa sababu tu tumeizoea.” Tanzania ni kama nyumba ambayo imejengwa kwa miaka mingi. Ina historia yake, imepitia vipindi...
  20. Wizara ya Ardhi

    Haki za mlalamikiwa katika baraza la ardhi na nyumba la wilaya

    https://youtu.be/8SBsWi-SQHE?si=UWsuLLh2v3L1dOzq
Back
Top Bottom