nyumba

  1. Nyumba inauzwa, ipo Mbezi Beach Ramada. Bei ni Dola milioni 1.3

    Nyumba Ya Gorofa 4 bedroom all ensuite Swimming pools, GymSolar Servants quarter CCTV Camera Electrical Fence Plot area 1,800 sqm With clean title deed Hati safi ya wizara Asking Price USD 1.3M Call/WhatsApp +255758844717
  2. NYUMBA INAUZWA,IPO MAKUMBUSHO,BEI NI TSH BILLION1.5

    Eneo linauzwa Square meters 371 Location Dar es salaam - makumbusho Bei Billion 1.5 Maongezi yapo ofisini Hiyo nyumba ina family house 2 ziko hivi unaingia sitting room, dining, kitchen, choo na store kisha unapanda ngazi juu kuna vyumba vitatu vya kulala vyote master ila chumba kimoja ni...
  3. Ex mchezaji wa Yanga aingizwa mjini, atapeliwa NYUMBA na mbongo, kataa ndoa kichekoo, tusali sana wajameni

    Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu. Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto mzuuri alikua ameshikilia viatu vya mukoko, mi nilidhani yule demu ni mkongo mwenzake kumbe la hasha...
  4. H

    Mcongoman na Kiungo wa Zamani wa Yanga Tonnombe Mukoko atapeliwa nyumba na mkewe mbongo

    Tonnombe Mukoko aliyewahi kukipiga na Yanga atapeliwa nyumba na mkewe mrembo wa kibongo ajulikanae kwa jina la Trish. Tonnombe Mukoko alimuoa huyo dada pisi Kali kipindi anacheza Yanga na ndoa yao ilifungwa Congo. Kiungo huyo alipokea offer ya kucheza Libya iliyomfanya awe mbali na mkewe...
  5. H

    Kiungo wa zamani wa Yanga Tonnombe Mukoko atapeliwa nyumba na mwanamke wa kibongo

    Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo. Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema...
  6. Maboss wetu makazini, watunga sera na wadau wengine, mna nafasi kubwa ya kutuokoa sisi watumishi tusisitafie kwenye nyumba za serikali

    Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors. Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni: • kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
  7. S

    Polisi na zimamoto wanaposema walifanikiwa kuzima moto wakati moto huo umeteketeza kabisa nyumba au gari, wana maana gani? Si moto ungezimika wenyewe?

    Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya basi lililoungua ni kama hapa chini. Kauli hizo ni sawa na zile nyingine kauli potoshaji za Polisi...
  8. Kwanini Nyumba za Kisasa Hazina Grill Milangoni?

    Kwanini nyumba za kisasa uwa haziwekwi geti (grill) nazungumzia kwenye mlango wa kuingia sebuleni na mlango wa nyuma fensi inakuwepo na geti moja au mbili Lakini kwenye mlango ya kuingia kwenye nyumba hawaweki grill wakati kwenye madirisha Kuna vyuma vya kutosha. Naamini Kuna mafundi humu...
  9. P-SQUARE SAGA: PETER OKOYE AFUNGUKA KILA KITU — FEDHA, JUDE, PAUL, EFCC, NYUMBA, NA MIGOGORO YA FAMILIA

    Sakata la P-Square limechukua sura mpya baada ya Peter Okoye, maarufu kama Mr P, kuamua kufunguka hadharani kuhusu kile anachodai kuwa ndicho kilichosababisha kuvunjika kwa moja ya duo kubwa zaidi za muziki Afrika. Peter ametoa simulizi yake kupitia mfululizo wa video unaofikia Part 8/8b...
  10. Ukimpangisha Mpemba nyumba yako, mwisho wa siku anainunua?

    Katika wapangaji wazuri ni wapemba maana kwenye kodi wanalipa kwa wakati. Ila najiulizaga na nimeona sana sehemu nyingi,Mpemba akipanga nyumba yako au fremu na kama kaipenda. Anakufikia dau mwisho unashangaa unaiuza. Na kama kapanga kwako mpaka uje mkutoa basi mpaka ufanye visanga sana.
  11. Nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi ? Nione kama naweka mjengo wa 3

    Ninauliza vyanzo mbali mbali kuchakata Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035 Nimependa muonekano wake ! Je inaweza cost vipi leta mchanganuo Britanicca
  12. Nyumba (pagale) inauzwa marambamawili karibu na shule ya msingi king’azi

    Habari wakuu nyumba ( pagale). Linauzwa …. ipo mbezi marambamawili karibu na shule ya msingi kingazi jirani na tank la dawasco … Ukubwa wa eneo ni sqm400…… Mauziano serikari za mitaa… Bei sh 21m(bei inapungua).. (Lina vyumba 6 (sio vikubwa) 0692669235 N:B.. amna udalali (karibuni)
  13. A

    KERO Utitiri wa Makanisa huku Salasala umekuwa kero kwa kelele, utaratibu wa vibali uangaliwe upya

    Nikiwa muumini wa Mungu, naiomba Serikali iangalie upya mfumo wa usajili na usimamizi wa baadhi ya makanisa. Badala ya kuwa sehemu ya kutatua changamoto za jamii, baadhi yamekuwa kero kutokana na kufanya mikesha kwa kutumia sauti kubwa zinazowanyima wananchi usingizi. Hali hii imekuwa...
  14. O

    Mwanaume anafaa kurudi saa ngapi kwa nyumba?

    Jee mwanaume aliyekuwa kwa ndoa anafaa kurudi saa ngapi kwa nyumba Njoo tujadiliane
  15. A

    Mimi ni Mtumishi wa Umma, nilikopa 20m, nimejenga, kulipa imekuwa mtihani, sijui cha kufanya, nisaidieni

    Mwaka 2025 nilipitia changamoto kubwa sana maishani mwangu, hali iliyosababisha kupata msongo mkubwa wa mawazo. Kutokana na hali hiyo, nilifanya uamuzi wa kuchukua mkopo wa shilingi milioni 20 ili kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba, nikiwa na lengo la kupunguza gharama za maisha na kupata sehemu...
  16. Ramani nzuri ya nyumba

    Ndugu habari.. Angalieni hii ramani alafu mtoe maoni yenu ni nini cha kuboresha wakubwa
  17. S

    Natafuta kazi ya Kupaka rangi Nyumba ndani na nje karibuni

    TANGAZO LA KUTAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA NATAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA – MUSOMA Natoa huduma za kupaka rangi nyumba za makazi, ofisi, maduka na majengo mbalimbali ndani ya Musoma na maeneo ya jirani. Ninafanya kazi kwa umakini, uaminifu na ubora wa hali ya juu. Napaka rangi za...
  18. Nyumba za Polisi zateketea kwa moto Tanga

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea na uchunguzi wa tukio la moto lililotokea Julai 29, 2026 majira ya saa 7:35 mchana katika nyumba za Polisi Msambweni zilizopo eneo la Mapinduzi “A”, Kata ya Ngamiani Kusini, Wilaya ya Tanga. Moto huo umeteketeza baadhi ya mali zilizokuwa ndani ya nyumba...
  19. Nyumba za polisi zateketea kwa moto Tanga

    Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijafahamika, umeteketeza nyumba za askari wa Jeshi la Polisi katika eneo la Msambweni, Mapinduzi A, Kata ya Ngamiani Kusini, Tanga. Moto huo umeteketeza baadhi ya mali mbalimbali zilizokuwa ndani ya nyumba hizo, huku thamani ya mali zilizoharibiwa ikiwa...
  20. Nafurahishwa sana na mlipuko wa ujenzi wa maghorofa Kariakoo, wenye nyumba za chini mliobaki pisheni, acheni ubishi

    Najua kwamba kuna uwezekano mkubwa pesa zinazotumika kununua viwanja na kujenga maghorofa Kariakoo ni pesa za upigaji (pesa zenye kona kona) , lakini nimetafakari na kuona kwamba ni bora anaeiba Tz na kujenga Tz , kuliko wanasiasa na wahindi wanaopiga pesa nchi na kwenda kuzificha uingereza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…