nyumba

  1. Nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma Yenye Historia Kubwa ya Mwalimu Nyerere Imevunjwa

    https://youtu.be/x2tRI9JFItw?si=TPN2hXKMkti1RaR7
  2. Msaada anataka kunyang'anywa nyumba yake na kuuzwa kutokana na deni la sh 96,000

    Kuna dada ameniambia nyumba yake ipo mbioni kuuzwa baada ya kukopa hela kausha damu na baadaye akapata shida ya kuuguliwa na mtoto akashindwa kurejesha marejesho kwa wakati Kampuni ikamtaka atoke nyumbani kwake ili nyumba iuzwe na kibao cha kutangaza kuuzwa kwa nyumba hiyo wanategemea kukiweka...
  3. Nimeamua kuigeuza nyumba ya ghorofa banda la kuku

    Mimi kwa sasa naishi mkoani. Kuna nyumba ya ghorofa nilikuwa naijenga jijini Dars'lama! Nikapiga mahesabu nikiimalizia na kuipangisha ntaambulia milioni moja. Nikawaza nikiweka cages nikaweka kuku wa mayai naweza kupata faida ya hadi Tsh milioni tano kwa mwezi! Sasa nimeona niiezeke kawaida...
  4. Kigoma: Upepo mkali waezua paa za nyumba.

    Upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo umesababisha mapaa ya nyumba 15 kuezuliwa huku baadhi ya nyumba zikibomoka katika Vijiji vya Kasana na Nyarugusu, Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma. Tukio hilo limetokea Oktoba 21 na 22, 2026, ambapo upepo huo pia...
  5. E

    Nyumba inapangishwa Arusha Sanawari

    Nyumba inapangishwa Arusha sanawari ya juu. Ni vyumba viwili doble self ina chumba na sebule na choo. Hakuna jiko lakini unaweza kufanya partition ya jiko. Pia ni karibu na barabara. Kwa mawasiliano zaidi piga 0768 368 574 karibu.
  6. M

    House4Sale Godown na nyumba 4 za kuishi ndani ya fence zinauzwa Mnada Mpya - Dodoma TZS. 150m

    Godown na nyumba 4 za kuishi ndani ya fence zinauzwa Mnada Mpya - Dodoma TZS. 150m . Eneo: sqm 1300 Umbali: Mita 500 kutoka mnada mpya stendi Nyumba 4....mbili vyumba vitatu master zote, mbili zingine master na sebule Eneo kubwa nje ya fence kujenga hata fremu 7 za biashara Documents ni...
  7. Nyumba za kupanga Mbezibeach,Dsm

    Chumba Masta na Sebule Tshs 180,000 Umbali wa kutembea Call 0716442950
  8. Hivi kuna mkoa unaongoza kwa wizi wa kusafisha Nyumba nzima kama Mbeya?

    Nimeishi mikoa zaidi ya 8 hapa Bongo ila hakuna mkoa ulijua kuninyoosha kama Mbeya. Nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kufika 2018 iyo nilikaa Lodge kama wiki hivi nikitafuta Chumba cha kuishi nikabahatika kupata maeneo ya Checkpoint-Forest ya Zamani huwezi amini baada ya wiki tu nikaibiwa...
  9. Buriani Nyumba ya Ali Msham Tawi Kubwa la TANU 1954

    https://youtu.be/paeQDjVYfGY?si=qiQyz_-zbVFr1Xr0
  10. M

    Sijamuelewa huyu wakili juu ya chumo la pamoja. Mwanamke akukute umeshajenga ukiishi nae tu kwenye hiyo nyumba ni mali yenu wote!

    Huyu wakili anachochea mauaji ya wanandoa👇
  11. R

    Ni upuuzi mtupu, hakuna El Nino. Mnavunja nyumba za watu bure

    El Nino iko wapi? Mnavunja vibanda vya wabebwa kwenye malori kujaza uwanja, leo mmewageuka. Wanalalamika hawjalipwa fidia.
  12. Tanzania House Bank (THB) irudi sasa tuwe na makazi bora

    Habari Tanzania !... Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii. 1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?. Ombi langu; Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni haraka sana hii kitu, itatuondolea changamoto za ujenzi holela wa nyumba, mikopo ya kuumiza kwa...
  13. A

    KERO Wananchi wa Kipunguni B, tunazungushwa kurasimisha ardhi yetu, nyumba zetu zipo kwenye eneo la viwanda

    Habari JF, Sisi ni baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Machimbo na mitaa jirani, Kata ya Kipunguni B, jijini Dar es Salaam. Tumekuwa tukizungushwa kwa muda mrefu kuhusu urasimishaji wa makazi yetu, bila kupata majibu ya uhakika kuhusu hatma ya nyumba na viwanja vyetu. Kwa zaidi ya miaka minane sasa...
  14. Nyumba inauzwa Victoria nyuma ya Tanzanite house

    Nyumba Inauzwa. -Iko Mita 100 kutoka kituo cha abiria Victoria. -Iko nyuma ya Tanzanite House na barabara ya Uporoto. Maelezo; -Nyumba yenye Sebule, Vyumba viwili kimoja Master bedroom, public toilet, jiko na baraza na baccon, choo cha nje, chumba cha kufulia na chumba cha stoo, CCTV camera...
  15. Hii sio AI. Haya ni matokeo ya kumchokoza mpasua mawe wakati wewe unaishi nyumba yenye madirisha ya vioo.

  16. Nyumba Inauzwa Kinondoni Msisiri

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa. Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni. Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa. Ukubwa wa Eneo: SQM 326. Bei: Tzs...
  17. M

    Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

    Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- "Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa...
  18. Serikali kuipa nguvu sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi

    DODOMA Serikali imesema imeanza kuweka msisitizo zaidi katika sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi ili kuimarisha upatikanaji makazi bora, salama na yenye kuzingatia mipango miji, sheria na viwango vya ujenzi nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi...
  19. Chanjo wanazochomwa watoto kwa kila nyumba ni kwa ajili ya nin

    Toka mwezi uliopita kumekuwa na zoezi la kuwapatia watoto chanjo, hususan wale wenye umri wa miaka 10 na chini, ambapo wahudumu wamekuwa wakifika kwenye nyumba mbalimbali. Kesho zoezi hilo linaendelea, na hata kwenye baadhi ya makanisa limetolewa taarifa kuhusu utoaji wa chanjo hizo. Hali hii...
  20. 80% ya vijana Tanzania wenye miaka 35 hawana akiba ya kueleweka, hawana ardhi au asset yoyote na hawajajenga nyumba ya kuishi

    Source: Tomato Sauce Uchumi wa Mandoo ndooo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…