nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini watoto wa marais au viongozi ndio wanaharibu nchi?. Hili limeonekana nchi nyingi

    Mimi nikitaka kujua kiongozi au raisi naanza kuangalia mwanae tu maana nitapata CV zake zote.Nchi ambazo zilikuwa na utawala wa hovyo utaanza kupata historia ya watoto wao.
  2. Tahadhari: Energy drink nyingi za Metl huku mtaani zimeexpire halafu wanaandika expired date kihuni kuhalalisha ujinga wao

    Za mchana Hii kampuni kama inaongozwa na mataahira yani expired date kwenye bidhaa yao ya Mo energy huwezi isoma hata utumie darubini au microscope ya umeme. Huu uhuni wanafanya kwa ajiri ya kumkomoa nani? TBS mpo wapi mpaka watu wafe au wapate madhara kwa wakati mmoja ndo mtawachukulia sheria...
  3. PostGE2025 Muda huu wangekua wanapitisha Ma vifaru ,na ma vitisho mengi mengi, nguvu nyingi akili Kisoda. Tutaelewana Dec 9

    Dec 9, wote tutoke, tukadai Haki na Ndugu zetu WALOULIWA.
  4. PostGE2025 Video nyingi za CNN kuhusu mauaji Tanzania ni AI

    Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja. Ili kutoa habari kama ile kwa weledi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni...
  5. M

    Madaktari mnaolipua kushona wanawake wanaojifungua kwa operesheni mnachangia ndoa nyingi kuharibika

    Hili ni jambo ambalo watu wengi wanaogopa kulizungumzia lakini ni tatizo kubwa, kwenye magroup ya maisha ya ndoa kuna post nyingi (Kwa ID za kujificha) wanawake hulalamika waume zao kukosa hisia baada ya kushonwa vibaya na wanaume wakilalamika hivyo. (Kwa ID za kujificha) Kuna baadhi ya mishono...
  6. Kelele ni nyingi kuliko ukweli

    Kwanza naomba kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na mwenye uhai wetu kwa kutuweka tuwe hai hadi sasa. Pili nipongeze jitihanda mbalimbali za serikali, asasi za kirai, taasisi za kidini, jumuiya za kitaifa na kimataifa kwa kuwa mstari wa mbele kutafuta suluhu na mstakabari mwema wa taifa...
  7. PostGE2025 Si tu walichoma na Kuzika Maiti za Walouliwa, Maiti nyingi zimehamishwa Wilaya to Wilaya ,Mkoà to Mkoà ,ili Ndugu wasipate Maiti zao

    LENGO ni lilelile Moja, Ndugu waendelee kubakia NJIA PANDA !.
  8. Ujumbe Mahsus kwa Watu Mahsus Kuhusu Watekaji, Watesaji na Wauaji 'Wasiojulikana' wa Watanzania!, Machozi, Jasho na Damu, Inakulilia!, Itoshe!, Iishe!

    Wanabodi Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma. Kila tukio wanalofanya, wakifanya mchana mbele ya watu, wanakuja na silaha nzito na magari kama ya polisi, na...
  9. Marekani imevamiwa na Magaidi siku nyingi!!

    Ugaidi wa Jihadi nchini Marekani Huko New York, magaidi waliandaa mkesha wa kuwaombolezea viongozi wao ambao waliangamizwa wakati wa vita na Israeli na katika operesheni mbalimbali zilizopita. Bendera za vikosi vya Hamas Al-Qassam, Saraya Al-Quds, Hezbollah, Houthis na zaidi zilikuwepo kwenye...
  10. GE2025 Mara nyingi sisi CCM Vijana huwa tunachagua viongozi wa aina hii. Sijui kwanini?

    Nimeona wamekuwa wakijipenyeza sana hawa watu kwenye uongozi miaka ya hivi karibuni. Najua watasema nao ni haki yao lakini inaleta picha mbaya sana kwa jamii. Tukumbukeni yule mama wa Tanga alisema kitu kuhusu hawa watu kuwa wanajiingiza sana kwenye uongozi. Na kwa sasa ndo wanapata sana...
  11. V

    Ujuzi Wa Kuwa Nao Ili Utengeneze Pesa Nyingi Mtandaoni

    Kati Ya Ujuzi Muhimu Zaidi Unaotakiwa Kuwa Nao Ili Utengeneze Pesa Mtandaoni Ni Huu Ujuzi Wa Aina 3 Hapa Chini... "Digital Marketing Skills,Copy Writing Skills & Closing Skills" ...Huu Ujuzi Huwa Napenda Kuuita Triplet PACKAGE Skills...
  12. M

    Mtwara ilipaswa kuwa Business Center nchi hii na je kilichomfanya ndugu Nyerere aiondoe Reli ya Mtwara ni nini?

    Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
  13. Nchi za Magharib zitageukia kuongoza kimabavu na ubabe, na zimeshaanza

    Umoja na utulivu wa nchi za magharib zilitokana na iman zinazofanana kama Ukiristo, kua na adui mmoja kama ugaidi (islam), au kipindi cha uadui na Soviet Union. Hili lilifanya propaganda za utawala kuaminika na umma wote na wananchi wote kua na agenda moja. Kutokana na muingiliano wa kijamii (...
  14. M

    Kibinadamu ilinibidi nilimrudishe binti wa dukani baada ya kujifungua lakini kibiashara nahisi nilikosea heri ningempa mtaji

    Katika moja ya duka kuna binti nilimweka alikuwa na uwezo wake wa kipekee, nilitokea kumkubali sana sio tu kwenye mauzo lakini hata kwenye kujitoa, uaminifu, kunipa ideas, kuweza kuvutia wateja, n.k. Akiwa na mimba ya miezi 7 nilimwacha aende kupumzika kwao huku nikiendelea kumlipa, niliweka...
  15. PICHA: Unadhani mwamba hapa anatoa ahadi gani?

    Ahadi nyingi zinamwaga hapa😂, Sio mbaya ukatupia angalau ahadi moja ambayo itasemwa hapa "Kuna mchongo nausikilizia ukitiki tu nakuchukulia yale mawigi unayoyaona instagramu"
  16. Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

    Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua, Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa...
  17. B

    GE2025 Kuelekea Sep 15: Macho yote kumchuzi, nyuzi nyingi kuhusiana na Lissu humu ziko kupima maji. Tujipange kusuka au kunyoa!

    Si haba kujua wahuni wamejaa kote mtaani na wengine mitandaoni wakitumia VPN, wakipima maji. Wenyewe wakiita wakiusoma mchezo. Kwa hakika kama uraiani kutakuwa hakusomeki na ni salama zaidi kwao, TAL ataendelea kubakia korokoroni. Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu na kinakachotokea Sep 15 wala...
  18. Je ofisi nyingi za umma zile kubwa ziko bugged na vinasa sauti na kamera za Siri?

    Hapa naulizia swali tu Kwa hapa Ethiopia.
  19. F

    Kujichua, faida kiafya na kisaikolojia na mambo ya kuzingatia

    😊, kujichua (masturbation) kwa mwanaume kuna faida kadhaa kiafya na kisaikolojia, ingawa pia ina mambo ya kuzingatia. Faida zinazojulikana Kupunguza msongo wa mawazo (stress) – Wakati wa kufika kileleni mwili hutoa homoni kama dopamine na oxytocin ambazo huleta hisia za furaha na utulivu...
  20. Rwanda yashika nafasi ya 38 duniani kwa kuanzisha biashara. Yaizidi Portugal, Belgium, Netherlands na nchi nyingi

    Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa. Tanzania imeshika nafasi ya 141 huku majirani Kenya wakiwa nafasi ya 56 na Uganda nafasi ya 116...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…