nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Biashara nyingi hazipotezi wateja kwa bei, zinawapoteza kwa utaratibu wa kuuza

    Utaratibu wa manunuzi katika baadhi ya maduka, kampuni na taasisi unachangia kupunguza mapato yao bila wao wenyewe kujua. Mimi ni mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi, nafanya biashara katika level ya retail. Hii inanifanya ninunue bidhaa mara kwa mara kutoka kwa wholesalers, maduka makubwa na...
  2. Prof.Mbarawa: Bandari ya Dar yavunja rekodi Kwa Kuhudumia mzigo wa Tani Milioni 30.Atoa kongole nyingi Kwa DP World.

    Bila uwekezaji wa DP World hii volume ingekuwa ndoto maana target ilikuwa kuhudumia Tani mil.30 by 2030 lakini target imefikiwa miaka 4 kabla . Kwa sasa Bandari ya Dar ni Kimbilio sio njia mbadala Mombasa ikifeli. Haya Sasa ndio maamuzi ya Tija Kwa Nchi, Serikali ingesikiliza zile kelele za...
  3. Ukweli mchungu wengi tunaopigia kelele ufisadi, wizi , rushwa. Ni kwamba hatuko kwenye hizo position ndo maana kelele ni Nyingi.

    Huu ndo ukweli mchungu watanzania 90% tuna toka kwenye familia zilizo jaa umaskini wa kupindukia. Ndugu zetu vijijini wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha ndo maana zikitokea chance watu wanazitumia vizuri hakuna tuzo ya Utesekaji bora ...
  4. B

    Ulishawahi kukutana na Mpenzi/ Mchumba mwenye Chale nyingi kwenye Mwili wake? Nini kilikushangaza? Ulichukuliaje?

    Binafsi BushDokta naamini ktk tiba ya mizizi na mimea kama ilivyokuwa hapo kale. Kamwe siamini ktk ushirikina au mambo ya mauza uza. Mwaka fulani nilikutana na Msichana Mrembo mzuri anavutia, Mpole, na tabia njema shape kama loote( kwa wale mnaopenda mitulinga). Kilichonishangaza ni wingi wa...
  5. Kwanini kumekuwa na story nyingi sana za kutunga mtandaoni Tanzania?

    Nini kimetokea kuanzia JamiiForum, Facebook, Twitter na Instagram raia wengi wa Tanzania hasa vijana wanaposti visa au story nyingi mbalimbali za matukio ya uongo tu ya kutunga ya mahusiano, ndoa, uchawi n.k ?
  6. Kuna siku mtasikia pesa imelipwa kampuni ya META ambayo inashutuma kubwa sehemu nyingi.

    Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu. Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
  7. Wakati wa maandamano ya ukombozi simu nyingi za wazazi zililia kuwaambia watoto wao wasitoke na wabaki ndani wasije wakauawa

    Hamjambo Wote! Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani. Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani. Nakumbuka...
  8. O

    Taifa linaloutukuza ujinga na kuudharau maarifa hujichimbia kaburi lake lenyewe; mara nyingi uhai wake hauzidi karne moja.

    Mnakaribishwa!
  9. Kwanini wanaume wengi kutoka mataifa ya asia haswa ya kiarabu wana kesi nyingi za ubakaji na unyanyasaji kingono huko uingereza?

  10. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa Wasichana na kusahau Wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni

    PRESHA WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni. Tofauti ni kwamba wavulana wengi wamefundishwa kuficha maumivu yao. Wamefundishwa: “vumilia.” “kuwa mwanaume.”...
  11. Nini Hupelekea Ndoa Nyingi Kuvunjika Ama Mahusiano?

    Je, sababu kuu huwa ni usaliti na matamanio, kukosekana kwa uwazi, au kuchokana ?
  12. Bado mnatumia Excel kufuatilia mali (Asset) za kampuni?

    kampuni nyingi bado kufuatilia laptop, printer, furniture au vifaa vya kazi kwa makaratasi au Excel. Changamoto inaanza vifaa vinapopotea au kukosekana kwa taarifa nani anatumia kifaa gani. Asset Management System inasaidia, 1. Kufuatilia vifaa vyote kwa urahisi 2. Kujua nani amepewa kifaa...
  13. M

    Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  14. Q

    Peter Msigwa: Tawala nyingi zilizofanya mauaji ya halaiki dhidi ya raia wake ziliporomoka

    Historia ya dunia ina mifano mingi ya serikali au tawala zilizohusika katika mauaji ya halaiki dhidi ya raia wao au makundi fulani ya watu. Mara nyingi matokeo yake yalikuwa: • kuporomoka kwa tawala, • majeraha ya kizazi kwa kizazi, • migawanyiko ya kitaifa, • hukumu za kimataifa, • au viongozi...
  15. M

    Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  16. M

    Ni kwa familia nyingi au ni chache tu nazozijua yule mtoto aliekuwa hapewi mategemeo makubwa ndie anakuwa tegemezi hapo baadae.

    Huenda walikuwa watundu sana, au wakaonekana wenye kiburi, au wazazi waliwapuuza hata walipokuwa watiifu na wenye heshima. Lakini ukubwani, mambo yanakuwa tofauti, unakuta wanabeba mizigo ya familia kuanzia uchumi hadi usimamizi wa kila jambo.
  17. Rais Samia: Utalii Waneemesha Sekta Nyingi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aua ndege wawili kwa jiwe moja. ◇Kazi zake katika utalii zaanza kuneemesha sekta zingine ◇Ndege Ulaya kuleta watalii moja kwa moja kuja Tanzania ◇Matunda, mboga mboga, maua, samaki kupelekwa ulaya
  18. K

    Angalieni wenyewe siasa nyingi mbipango mibovu

    https://youtu.be/mVPnfyiLJaI?si=yHScuM1kZJdb9zxM
  19. Kwanini ChatGPT ukimuambia achague random namba, kati ya 1 na 100, mara nyingi atachagua 73?

    Kavurugwa. Gemini yeye anapenda 42.
  20. M

    Bei sio kigezo tena cha kutambua bidhaa original, Bidhaa feki zimejaa sokoni na tunapigwa kwa bei original

    Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…