nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Dunia hii siwezi danganywa jambo nimeyapata maarifa sana kwa njia nyingi sana

    Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura ! 1. Soma sana makala , vitabu na majarida ya topic kadhaa hii ni tabia yangu toka shule Mpaka nikaitwa encyclopedia ya shule (Britanicca) dawati langu lilijulikana hata kwenye hoja za kikanda na...
  2. Habari za siku nyingi wakuu

    Habari za sku nyingi wakuu
  3. Biashara ya mazao ya kilimo, kwanini mara nyingi maslahi yake huonekana kutegemea upepo wa kisiasa?

    Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla. Leo soko limefunguliwa, kesho limefungwa au masharti yamebadilika. Je, hii inatokana na nguvu za...
  4. A

    KERO Hivi NHIF Imefilisika? Hospitali nyingi na Vituo vinalalamika kutolipwa!

    Ukiachana na kuporomoka kwa ubora wa huduma na kupewa dawa za bei ya chini kabisa, NHIF inaenda kusababisha janga jengine la kufilisi hospitali na vituo kwa kuendeleza mchezo wao wa kushikilia malipo. Mpaka sasa wafanyakazi wa sekta ya afya binafsi wengi hawajalipwa, na sababu kubwa wakiuliza...
  5. Simba wana akili nyingi sana. Baada ya usajili kubuma wameamua kujivunja

    Kwakifupi si Moo wala Magori, wote wanaogopa sana kipigo cha kihistoria watakachopata tarehe 12/08/2026 hivyo wameona watengeneze mgogoro ili ionekane Yanga kaifumua Simba magoli 15 - 0 kipindi Simba haijakaa sawa.
  6. Afrika nchi nyingi kuna kikosi cha raisi wakatl teyari idara ndani ya ikulu

    Siku ya kupatikana katiba mpya inaweza kuondoa raisi kuwa na kikosi kama chake. Kwa afrika kinatumika vibaya ukilinganisha na nchi kubwa. Rais anapounda kikosi chake ina maana anaweza kumuweka hata mwanaye au rafiki kumlinda yeye. Mifano hipo tokea kwa Idd Amin,Museveni, Tanzania, Zimbabwe...
  7. Ndoa nyingi hazidumu kwasababu watoto wengi wazazi wao walikuwa mashangingi.

    Hellow wana JF. Ukioa/olewa na mtu ambaye mama yake au baba yake ni shangingi yani hawajui chochote kuhusu ndoa there is no way kwamba hiyo ndoa yenu inaweza kudumu. Ndiyo maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu, ndoa zimekuwa cancer kwasababu watu wengi wametoka kwenye mikono ya wazazi...
  8. Nani Mtanzania mwenye karma nyingi huko Reddit?

    habari, kama heading inavyosema nataka kujua mtamzania anayeutumia huo mtandao kisawasawa 💯, watumia wa reddit kama mpo humu uwanja ni wako.
  9. V

    Nafasi nyingi za kazi mpya ajira portal usiache kuomba

    Ukipata changamoto ya kuomba kama kusahau password, email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  10. V

    Nafasi nyingi za kazi ajira portal kwa kada za elimu,uongozi nk usiache kuomba

    Kama una changamoto kama kusahau password, kusahau email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  11. Kwanini vilabu vya Tanzania haviingizi sokoni jezi zenye majina ya mastaa wao? Je, ni ukosefu wa mipango ya kibiashara?

    Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu. Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
  12. Kwanini nyumba nyingi Tanzania zina mabati marefu?

    Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high. Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati linakuwa tu na mwonekano mzuri lakini still unaweza kunotice kuwa ni refu ukifananisha na nyumba...
  13. V

    Ajira nyingi ajira portal omba sasa

  14. Je Dar es salam ni jiji lenye fursa nyingi?

    Dar es Salaam ina vyanzo vya mapato ambavyo bado havijaguswa. Tatizo si ukosefu wa fedha, bali ukosefu wa ubunifu. Kila mwaka tunazungumzia namna ya kuongeza mapato ya halmashauri na kuboresha huduma za wananchi. Mara nyingi mjadala huishia kwenye kuongeza ushuru au kodi. Lakini je, tumeshawahi...
  15. Mfumo wa Usalama wa Tanzania una kasoro na unatakiwa kugawanywa na kuboreshwa kwa sasa ni kama umekwama kabisa.

    Tuseme ukweli hii idara kama hakuna kitu imebaki kama ilivyounda tokea kupata uhuru. Ni kama idara iliyochakavu hakuna jipya wala mapya. Idara ya usalama imebeba mambo ya kizamani sana na mtindo wa kizamani kwa dunia ya sasa hakuna idara kama hizi. Leo mataifa yenye kulinda nchi idara ya...
  16. K

    Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  17. Tunapoteza mwelekeo: Kwa nini kelele nyingi kwenye michango ya Tonetone, lakini kimya kwenye fedha za umma?

    Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari kwa kina. Katika kipindi hiki, mjadala mkubwa umeibuka kuhusu tuhuma zinazomhusisha kiongozi wa CHADEMA, John Heche, kuhusu fedha za michango ya wananchi. Tuhuma hizo zinapaswa kuchunguzwa kwa haki na kwa kufuata taratibu za chama na sheria...
  18. Ni kitu gani unaona kinahangaisha watu ila wewe hutumii nguvu nyingi?

    Ciao..! waswahili wanakwambia maisha hayako na hayatokaa yawe fair. kuna vitu sisi kama binadamu tunakua na matamanio navyo lakini no matter how hard you try unabakia tu kusema one day yes au unakata tamaa kabisa kwamba kitu fulani mimi hapana. Mfano huko mashuleni tumesoma na watu wao...
  19. Kuna njia nyingi za kufanikiwa tatizo polisi

    Kimsingi kupitia elimu ngumu sana kufika pale unapotaka, je unadhani njia zipi za kutoboa tobo bila kujali vyombo vya usalama nichukue hatari huko.
  20. Matumizi mabovu ya pesa na nguvu nyingi msionekane kuwa mjakosea kwa ufupi mna mawenge

    Natarajia lile deni la taifa trilioni 114 litafika trilion 900 kama watafikisha 2030. Nguvu kubwa na pesa zinazowekwza kujionesha hawana tatizo na kulipa watu hata kuwapandia dau ili mradi kupunguza joto. Hali hii sasa inaonyesha wazi walipofikia ni wazi wakabizi nchi kabla ya kuzidi kujitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…