nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Biashara haramu zina hela nyingi sana.

    madawa ya kulevya...Bangi,unga Uuzaji wa viungo vya binadamu Figo,bandama, uuzaji wa silaha kwa vikundi vya waasi, Usafirishaji wa binadamu kwa ahadi ya kwenda kuwapatia maisha mazuri kumbe ni kwenda kuwauza, Kuforge bidhaa fake kama pombe kali, electronics devices...nk Hapo hela imelala ya...
  2. Ogopa watu ambao mara nyingi wanatus wenzao "wewe *****/shoga", tafiti zinaonesha mtu anaependa kuongelea taharuki fulani mara nyingi nae ni mhanga

    Hio ndio saikolojia ya mwanadamu Sasa inaweza kuwa yeye ndio mtumiaji wa mashoga, anafir wanawake, yeye ndio shoga mwenyewe au anapenda kuangalia pornographia za mashoga.
  3. M

    Ni tamaa za wahindi walioanza kuwa ceo wa makampuni ya tech au? kwanini sikuhizi software nyingi unalipia kila mwezi au mwaka badala ya moja kwa moja?

    Hapo zamani softwares nyingi zilikuwa za kulipia moja kwa moja, sikuhizi ni monthly / Annual. Na ukiangalia makampuni mengi sikuhizi ya Tech, Ma Ceo ni wahindi
  4. M

    Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  5. Umechapwa na maisha si kwa sababu huna elimu, bro umekosa connection. Kazi zipo nyingi

    Kama huna connection lazima ubebeshwe vyombo na wale wahuni wanaoweka matangazo ya kazi kwenye nguzo za umeme. Hivi umewahi kujiuliza mwonja chakula cha Rais kasomea kozi gani na ana elimu gani? Kama huna connection subiri matangazo ya kazi ya SEKRETERIETI YA AJIRA, na hicho Kiingereza chako...
  6. Unataka kufanya biashara ya kukodisha nguo za harusi? Usikurupuke kununua nguo nyingi…Jifunze hii kwanza!

    Biashara ya kukodisha nguo za maharusi inaweza kuwa na fursa kubwa kwa sababu harusi, send-off na sherehe mbalimbali zinaendelea kufanyika kila siku. Lakini kuwa na nguo nzuri pekee hakutoshi kukufanya ufanikiwe. Unahitaji kuielewa biashara yako na kuisimamia kwa mfumo. 1. 🎀 Chagua nguo...
  7. X

    Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  8. Akili ni kama mimba tu, eidha una akili au hauna. Hamna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  9. Akili ni kama mimba tu, aidha unayo au huna. Hakuna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  10. D

    Baraka Nyingi - Falsafa

    https://vm.tiktok.com/ZSVcwXmem/
  11. Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

    Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
  12. S

    D Rax ajifananisha na Marioo kimavazi

  13. Uchawi upo wa aina nyingi sana!

    Sijui tuite mapinduzi katika sekta ya ulozi na uganga!? Haya yanafanyika na yanatokea kila siku mitaani na katika jamii zetu,yaani mtu anafanya kitu ndivyo-sivyo alimradi to inakuwa ametimiza kusudio la bwana mganguzi. -Upo uchawi unaotumia kupatwa kwa jua au mwezi,mti uliopigwa radi,kamba...
  14. Kabla ya maendeleo ya mitandao watu dini bongo walikuwa na chai za ajabu sana za kutisha watu

    Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa...
  15. Maisha yana surprises nyingi sana

    Nikiwa kijana mkubwa wa secondary,kama unavyojua kuna kipindi kinafika unaona kabisa hapa wazazi inabidi wasiendelee kuzaa sasa,kwanza kutokana na umri wao lakini pili ile kuona inakuwaje bimkubwa na umri huu anabeba mimba Ilikuwa inanipa shida kidogo,lakini sikujua kwamba Mwenyezi Mungu...
  16. A

    KERO Watumishi Halmashauri ya Kakonko wameambiwa wataliwa fedha nusu ya walizosaini

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
  17. Swali kwa mods; nyuzi ni nyingi na comments zinaongezeka, Je siku JF servers zikijaa itakuaje? Ni mwisho wa JamiiForums?

    kwa hii hali ya sasa nyuzi zinavyoanzishwa kwa fujo halafu bila mpangilio na maana yoyote halafu nyuzi zenyewe za hovyo nyingi zikiwa ni za wanafunzi walioko likizo na vijana wanaokaa kwa dada zao hali inayopelekea comments kuwa nyingi pia. hii hali si itapelekea siku moja servers za JF zijae...
  18. Kipa atatupa sare nyingi sana, kwa huyu straika ni bora Mstaafu John Bocco arudishwe tena kikosini

    Simba ina watu kama si wajuaji kupitiliza basi ni wazembe sana... kuna vitu kwenye mpira vinaonekana wazi na havihitaji kuwa na degree ya sayansi ya mpira wala kuwa kocha. Msimu wa 2024/25 wakati unatamatika kipindi kile kila mtu aliona kuwa genge la Mutale na nduguze kwenye safu ya kiungo...
  19. Zijue sababu zinazowafanya wagonjwa wengi wa bawasiri kutumia dawa nyingi bila mafanikio

    ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO. Pandex(+255 743 549 126) Pandex Herbal Clinic Dar es salaam ILALA BOMA. PANGANI & UTETE STREET Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
  20. Kwa nini Tanzania bado ni maskini ikiwa imejaliwa raslimali nyingi kiasi cha kutosha

    Salamu kwa wote. Bado naendelea kutafakari ni namna gani taifa litaondoka kwenye huu umaskini na ufukara ukiopo kati ya wananchi dhidi ya utajiri wa rasilimali zake. Kwa mfano nchi ya Luxembourg ina square km 2,600 nchi nzima na ni moja ya nchi tajiri zaidi duniani . Kwetu Tanzania mwambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…