Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums,
Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto wakasome shule za gharama (wengi ada ni 2.5M+), ilihali wao uwezo wao kiuchumi ni wastani na wakijikamua...
Kuna hii tabia ya hivi viemolo kupenda show off mbele ya wapenzi/wake zao pindi vinapokua viko karibu na sisi wanaume warefu,hapa hotel nilipo kuna kimoja kimeingia na sijui mke au mpenzi wake huyu eti kinajitutumua kimemshika kiuno na kisivyo na akili hakijui kuwa me nishachukua number ya huyo...
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema.
Watanzania wengi matumaini yao yapo kwa chadema chini ya mh Tundu Lisu, nasikia mmejifungia chumbani mlete ajenda nzito nzito kweli kweli zidi ya wapinzani wenu.
Rushwa
Ufisadi
Ajira kwa vijana hii iwe ajenda kubwa sana
Kutowajibika kwa viongozi...
Wapwa habari ya jion boss mkubwa majizzo amatoa sound zake zinaitwa jizo sound nimesikia zimeanza kuuzwa pale palm village
Je Kwa mliotembelea shop pale vipi Bei yake ipoje na pia sound yake ipo vipi
Jizo sound speark kama zitakuwa na mfumo mzuri wa hi Fi basi anaweza pindua soko la sound speaker
Eti nyie wazazi mnajisikiaje yaani watoto wenu wamesoma kwa gharama kubwa, halafu huko maofisini walipoajiriwa wanazidiwa Mishahara na watoto wa ST KAYUMBA.
Hivi hamuumii kama watu waliochoma Chanjo ya corona, wakituona ambao hatujachanja tunaishi vizuri?.
Maana huku ofisini naona watu...
Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira.
Ujumbe kwa wazazi.
Wazazi anzeni kujiandaa mapema. Watoto wenu watafaulu sana, tena kwa marks za juu. Wataingia vyuoni watafaulu sana kwa marks za juu.
Baada ya hapo, kinakuja kilio cha ajira.
Wazazi anzeni kujiandaa mapema juu ya hatma ya watoto...
Wanapinga kitu wasicho kijua. Nimefanya utafiti WA Kina kuhusu New World Order . Nimesoma vitabu ishirini kuhusu " New World Order" .
Ninasema hivi dunia hii Ina ihitaji New World Order Kuliko unavyo weza kufikiria.
Mngejua New World Order mngetamani ianze hata kesho.
Mnadanganywa sijui...
Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.
Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
Kwa muda wa miaka zaidi ya 1000 kinywaji cha kahawa kimendelea kushika chat kwa kunywewa duniani
Wauza kahawa wa vijiweni sasa wameanza kukimbia gharama ya unga wa buni. Kwa sasa kuna mambegu fulani yanaitwa maharo au maharage nayo yana uchungu ila harufu yake mbaya.
Wanachokifanya hawa wauza...
Habari zenu wakuu, Based on True story!!
Sikuwahi kufikiria kuwa siku moja ningeweza kujikuta katikati ya mchezo hatari uliopangwa kwa ustadi wa hali ya juu.
Ilianza kama jambo la kawaida tu — ofa ya kuvutia na ahadi za mafanikio ya haraka.
Lakini kadri nilivyozidi kujihusisha, nilitambua...
Nahitaji ushauri kuhusu jinsi ya kuishi na mpenzi aliye mbali (distance love). Kiukweli, naona kama tunadanganyana tu. Kila mara ni "nakupenda, nakupenda," lakini mimi ninahisi hali ni tofauti, kwamba huko aliko, labda anahusiana na mtu mwingine.
Mwanamke huyu si wa kumuamini kabisa, ila mimi...
Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3.
1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu.
Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
Habari ndugu wanajamvi.
nitoe pole pole za dhati kwa watanzania WOTE ,kutokana na msiba na janga La kuanguka kwa jengo La kariakoo.
Baada ya pole hiyo, nipende kutoa malalamiko YANGU kwenda kwa mtandao WA laini za simu, kampuni ya HALOTEL.
Kampuni hii imeshindwa kulinda wateja wake kwa...
Just imagine umekaana na mshikaji miaka mi 4
Mmetambulishana Kwa familia Ujanja wote mshikaji anakufundisha akijua kabisa wewe sio mzuri ila kaamua kukuheshimu tu hakufanyiii usenge
Ghafla unapagawa na msela mwenye Subaru unaongoka Kwa aliye vumilia ubaya wako Kwa dharau na kebehi
Unazani...
Nimeamini kumbe wajinga ni wengi sana aisee na wala hauwezi kuona watu wanaojielewa wapo thread za kubishania dini na huu ndiyo mtaji mkubwa wa wanasiasa uchwara kwa sababu watu wanaojielewa wapo bize na constructive topic na sio hizi mada za kujimbwafai kwamba dini fulani ni mbaya na dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.