Sasa leo kwa mfanyo Malaika mkuu kaagizwa na mbingu mkiambiwa muunde serikali mtawezaje wakati ham a hata mbunge mmoja? Si bora mngeingia kwenye uchaguzi angalao mngeambulia wabunge wachache
Huo ndiyo ukweli hata kama mtanuna
Jioni njema
Moderator chondechonde usiunge uxi huu kwani lazima tuambiane ukweli tuache kulishana matango pori
Pangueni hoja za msingi na soon atakuwa huru vinginevyo mtaishia kumlia vihela vyake na asitoke huko ndani
Rejea Kifungu cha 319 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Criminal Procedure...
Humu jukwani si pahala pa vita ni leta hoja ujibiwe kwa hoja bila kuchopeka matusi.
Tunashambuliwa sana na matusi kutoka kwa wafuasi wa chadema hasa tukisema chadema kwa sasa haina mwenyekiti chagueni mwingine kwani ni uongo?
Niwaombe tuache matusi tujikite kwenye kujenga hoja.
Nangalia CGTN Professor ana shelves nzuri za textbook akihojiwa kuhusu modern transport between Jakarta and Bandung ambapo safari ya saa 3 imefupishwa na kuwa 46 minutes with Rapid trains.
Sasa kwenye teaching in classrooms itakuwa sahihi kutumia njia za "mkato".....AI, and other techs ..etc etc...
Kuna level ya Uoga na kujali maneno ya watu nilisha ivuka, so kama mnadhani hizi nyuzi zenu za kimkakati wa kunipakazia ujinga humu jukwaani zitanitoa mchezoni mnajidanganya sana
Naona mnakazana sana, ila tambueni yaani ndo mnanifanya nione kazi ya kuwanyoosha inazaa matunda maana vilio...
Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari.
Je kwa upande wenu huwa inakuaje?
Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa...
Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo.
Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna maandamano, kwa hiyo harakati zao zitakwenda fresh.
Siwezi directly kusema inatokana na mitikasi ya...
Ndiyo, hili ni swali kubwa sana la kijamii na kihistoria. Lakini kuna jambo moja muhimu: si sahihi kulifanya kuwa “Waafrika dhidi ya wazungu” pekee. Tatizo kubwa ni kwamba Afrika imekuwa na changamoto katika kujenga mifumo inayozalisha na kueneza sayansi, teknolojia, mitaji na taasisi imara kwa...
Nimeshangaa sana kumbe madereva wa mabasi na malori wanajitambua.
Wanamchikia rais huyu dhalimu ambae alijipa madaraka kibabe akiwa kwenye poli la nyika huko Dodoma.
Jibuni swali langu, maana naofia huyo elininyo inavyotangazwa yaweza kuwa gharika kwa Tanzania baada ya dhambi za kuteka watanzania na kuwaua.
You bera watch your back
Wanawake na wanaume wanaoshiriki kwenye filamu za ngono hawana tofauti sana na baadhi yenu; tofauti ni kwamba wao hurekodi video na kuziweka hadharani.
Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15. Vivyo hivyo kwa kijana wa kiume mwenye...
Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute.
Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe...
Nyie sio dini,
Mlitengeenezewa category ya dini na institutions za kidunia baadae sana ila hakuna mahala Yesu, Petro na Paulo walisema wanaanzisha dini mpya au waliacha maagizo mji-organize kama dini, hapana, walichowahimiza nyie ni kufuata ya njia ya Bwana Yesu Kristo.
Hizi zinazoitwa dini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.