nyerere

  1. J

    Taasisi ya Kavazi la Mwalimu Nyerere imefungwa rasmi baada ya kukamilisha majukumu yake

    Prof Issa Shivji aliyekuwa Mwenyekiti wa taasisi ya Kavazi la Mwalimu Nyerere amesema taasisi hiyo imefungwa rasmi baada ya kukamilisha majukumu yaliyosababisha ianzishwe. Shivji amesema sasa fikra za mwalimu Nyerere zitaendelea kusomwa kupitia vitabu mbalimbali vilivyotayarishwa na taasisi...
  2. J

    Tumeshahama sasa tujikite kwenye ndoto ya Nyerere ya kuwa na serikali moja kwani Dodoma ni katikati ya Kagera na Zanzibar

    Baada ya Rais wetu mpendwa Dk. Magufuli kutimiza ndoto ya baba wa taifa ya kuhamia Dodoma ni wakati sasa wa kufikiria ndoto ya pili ya Mwalimu Nyerere ya kuwa na muungano wa serikali moja. Dodoma ni katikati ya ramani ya muungano wetu hivyo serikali kuhamia katika jiji hilo ni ishara nzuri ya...
  3. SONGOKA

    Nyerere angekuwa Nyerere ndani ya miaka 10 tu?

    Mimi si mshabiki sana wa madikteta lakini pia si mshabiki wa demokrasia ya Ulaya na Marekani Nimekuwa nikijiuliza sana hivi uongozi wa Mwalimu Nyerere ungeishia mwaka 72 Je angekuwa na umaarufu huu wa sasa? Au muda wa kutosha aliopewa ni kigezo pia cha kutekeleza mengi zaidi? Je, angeishia...
  4. KIBESENI

    Nchi yangu, je Nyerere angekuwapo angenyamaza?

    Sipati jibu ninapowaza juu ya nchi yangu 🇹🇿 Tanzania. Nashindwa cha kufanya, naishia kusema: Je, Nyerere angekuwepo angenyamaza kama hawa Wastaafu walivyonyamaza utadhani hawapo? Mbona huyu mwenye majina mengi anabomoa, nani atakayeijenga tena Tanzania ya Watanganyika na Wanzibari? Nauliza...
  5. Mwl.RCT

    Kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Arts Festival)

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere linalofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini...
  6. G

    Jakaya Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere - Sehemu ya sita (6)

    KIFO CHA AKUKWETI,MIKAKATI YA LOWASSA,KARATA YA KIKWETE NA UTEUZI WA MEMBE. Habari za siku wasomaji wangu mnaofuatilia "series" yenye "episodes" zinazoelezea historia ya maisha ya kisiasa ya kiongozi nguli nchini Tanzania Bernard Kamilius Membe. Katika "episode" iliyopita niliahidi kuwaelezea...
  7. Boniphace Kichonge

    Uteuzi: Chuo cha Kumbukumbu ta Mwalimu Nyerere chapata Mkuu mpya. Wenyeviti wa Bodi nne waendelea na nyadhifa zao

    Mhandisi Emmanuel Korosso anaendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Pia, Dkt. Alexander Lugatona Kyaruzi ameteuliwa kuwndelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Wakati huo huo, Joseph Odo Haule anaendelea...
  8. J

    Upinzani ulioasisiwa na mwalimu Nyerere umefeli, Je turudi kwenye mfumo wa chama kimoja?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa Upinzani tulionao uliasisiwa kwa baraka za baba wa taifa mwalimu Nyerere baada ya 80% ya watanzania kutaka mfumo wa chama kimoja uendelee. Ndio nawauliza wanabodi, je huu ndio wakati muafaka wa kuheshimu maoni ya wale 80%? Au ifanyike kura ya maoni kuukubali au...
  9. Barbarosa

    Mwalimu Nyerere kwanini alichagua Twiga? Ni Mnyama dhaifu sana!

    Nijuavyo mimi Dunia nzima Kihistoria nchi zimekuwa zikichagua Wanyama kama alama inayowawakilisha, yaani unaweza kusema mnyama wa nchi, na wengi hapa huchagua mnyama mwenye sifa ya UKUU na UTAWALA, ndo maana nchi nyingi kubwa kama Ujerumani, USA, na Falme nyingi kubwa Duniani wamekuwa wakichagua...
  10. lee Vladimir cleef

    Nyerere alijenga vyuo vingapi? Watu wa mwanzo wamewarahisishia watu wa sasa

    Nchi yetu ina maendeleo kidogo sana ukilinganisha na rasilimali zetu, maliasili zetu, hali ya hewa yetu na utulivu wetu. Hata hivyo maendeleo haya madogo yameletwa na kila mtu kwa nafasi yake, Hata hivyo walioleta Maendeleo mwanzo wamesababisha wa leo kuendeleza kwa vile huwezi kurudia kufanya...
  11. britanicca

    Picha za ndege alizonunua Mwalimu Nyerere

    Siyo kwamba hawakufanya, walifanya ila kimya kimya Angalia midude Kikwete Anaeleza kwamba tuliachiwa ndege 14 na Nyerere https://www.jamiiforums.com/threads/jakaya-kikwete-mzee-nyerere-alituachia-ndege-za-taifa-14-kuna-kipindi-zimeisha-hapa-kati.1504952/ Kuna Upotoshaji wa Hali ya Juu...
  12. G

    Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere, Sehemu ya tano 5

    MAMBO 10 YA KIPEKEE USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD KAMILIUS MEMBE. Tunaendelea tulipoishia.. Hii ni "episode" ya tano katika mwendelezo wa "series" yetu juu ya historia na wasifu wa mwanasiasa na mwanadiplomasia wa muda mrefu Bernard Kamilius Membe. Kama nilivyoeleza katika "episode" iliyopita.Leo...
  13. MsemajiUkweli

    Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa, Mwl. Nyerere hakuwa mwanademokrasia!

    Nimejiuliza maswali mengi baada ya kumewasikia wachangiaji karibu wote kwenye kusanyiko linaloitwa ‘’ kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere’’ wakitoa mchanganuo wa maisha ya Mwl. Nyerere kama raia wa kawaida na Kiongozi Mkuu wa Tanganyika na Tanzania. Miaka 29 ni...
  14. G

    Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere, Sehemu ya nne (4)

    JE KIKWETE NA MEMBE NI NDUGU WA KUZALIWA TUMBO MOJA? Nichukue fursa hii kuwashukuru wasomaji,wakosoaji,wauliza maswali na watoa maoni wote wa jukwaa hili kwa kila ninachoandika na kukiweka humu. Ikumbukwe kwamba dhumuni kuu la simulizi hizi ni kuwajulisha watu juu ya wasifu au historia ya...
  15. G

    Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl. Nyerere, Sehemu ya tatu (3)

    HAWA NDIO WATU WATANO WANAOUNDA KUNDI LA "WANAMTANDAO" Asalaam aleykum, Tumsifu Yesu Kristo, Wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu marhaba. Nichukue fursa hii kuwashukuru wasomaji wa simulizi hizi zihusuzo wasifu wa mwanasiasa Bernard Kamilius Membe(BM)mwenye asili ya kabila la Wamwera...
  16. G

    Rais Kikwete alimtuma Membe kwa Mwalimu Nyerere, Sehemu ya Pili (2)

    Jana niliahidi kuendelea na simulizi kuhusu mambo kadhaa yamhuhusuyo Ndugu Bernard Kamilius Membe na siasa za nchi yetu. Simulizi hizi zipo katika mtindo wa "series".Kila "episode" ya "series" hizi itahusisha matukio muhimu yasiyo maarufu kwa watu wengi lakini yana mvuto wa kipekee katika wasifu...
  17. J

    Kushabikia siasa za upinzani Tanzania yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu

    Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu. Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za...
  18. G

    Mzee Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere

    JK ALIMTUMA MEMBE KWA MWL.NYERERE. Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mwl.Julius Kambarage Nyerere alifanya ziara ya kikazi na kimatibabu katika nchi mbili tofauti bara la Amerika nazo ni Canada na...
  19. PRJ2012

    Rais Magufuli: Miaka 20 ijayo sidhani kama kuna watu tutakuwa hai

    Alichosema Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo katika maadhimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mkoani Lindi. "Miaka 20 iliyopita baba wa taifa alikuwa hai lakini sasa ametangulia mbele za haki. Miaka 20 ijayo sidhani kama kuna watu tutakuwa...
  20. Kaka Pekee

    Is Tanzania discarding Nyerere’s freedom-fighting legacy?

    Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania’s former President Julius Nyerere. Tanzania’s stance on Palestine suggests its history of fighting global injustice could be making way for a more pragmatic “economic diplomacy”. In November 2018, representatives of...
Back
Top Bottom