Nicolae Ceausescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Execution by Firing Squad )
Nicolae Ceausescu akiwa pamoja na mzee Rashidi Mfaume Kawawa.
Picha kadhaa zilizopigwa kwa kukosa utaalam mahususi zinaonyesha...
Kutoka mwaka 1995. Baada ya mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM.
Akiwa anatoa hotuba ya kukubali matokeo, Rais mstaafu Kikwete aliongea maneno ambayo yalionekana kumgusa kwa furaha Rais mstaafu Nyerere hadi akanyanyuka na kuanza kupiga makofi huku akitabasamu.
Jionee mwenyewe jinsi mambo...
Najikumbusha tu namna viongozi wa umma walivyoishi kwa maadili yasiyotia shaka enzi za awamu ya kwanza ya JK Nyerere.
Waziri kununua pikipiki 25 kwa fedha taslimu wakati wa kuelekea uchaguzi lazima angeitwa na tume ya maadili pale jirani na Avalon cinema kujieleza.
Yote kwa yote namuunga mkono...
Mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki.
Jiko la mkaa ukilikumbatia ama litakuunguza au kama halina moto litakuchafua kwa masizi.
Mama Samia alikuwa akizindua kampeni jijini DSM katika viwanja vya...
Wakuu salam leo nilikuwa nafuatilia kwa kalibu kampeini za Magufuli kule mkoani mara mara baada ya kupanda kaka wa taifa kama alivyoitwa na katibu makongoro alitiwa mifano mingi mizuri ila miwili tu mifano iliyo nivutia
1. Alisema huwezi kukumbatia jiko la makaa ya moto
2. Alitowa mfano wa...
Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa.
Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa...
Wakuu mama Nyerere alipoamushwa kuja kuzungumza kwenye mkutano wa Ccm, katoa Kari ya Mwaka, kasema kuwa yeye hana LA kuongea Kwa sababu amelazimishwa kuja kwenye mkutano huu.
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa...
Sina hakika kama unafiki na upotoshaji wa ukweli kwa wanasiasa ni kitu cha kawaida, lakini inakera zaidi wakati upotoshaji na unafiki huo unapo kithiri na kuvuka mpaka.
Iko on record kwamba huko nyumba Tindu Lissu amekuwa ni mkosoaji mkubwa wa Baba wa Taifa kiasi cha kumwita dictator...
Eti wameonyesha kipindi cha historia ya ukombozi wa Afrika, ambapo wametaja wapambania uhuru kama akina Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba na Nelson Mandela, Jomo Kenyatta miongoni mwa wengi.
Lakini cha ajabu walipofika kwenye ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika wameishia kumtaja Mandela tu na...
Ni vizuri kwa vijana ambao hawakuwepo mwaka 1991 wakati wa kongamano la mageuzi Diamond Jubilee wakasoma hii habari na kugundua kwanini upinzani hauna nguvu kwa Tanzania ukilinganisha na nchi nyingine.
Kama tulisambaratika baada ya miezi tu je tutafika kweli tulikodhamiria kufika pale...
Kuna shida mahali.
Pamoja na watu kumnanga (very incorrectly and unfairly) Mwalimu Nyerere (RIP mzee wetu) kuhusu sera zake za uchumi, inaonekana dhahiri kuwa alikuwa akifanya vizuri zaidi kiuchumi kwa kuchukulia nchi ya Kenya kama benchmark. Nimeichukulia Kenya kama benchmark kwa vile ndiye...
Wakuu habarini za majukumu! Ni karibu miezi 2 sasa toka nilipotoka Dar na kujielekeza Morogoro eneo la Kisaki kutafuta riziki ya familia kwenye Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Umeme.
Wakuu huu mradi ni mkubwa sana ila utaratibu wa kuchukua wafanyakazi hasa get la Kisaki ni mbovu sana.
Wajumbe...
Picha: Lissu akihutubia Karatu muda huu
Leo Tundu Lissu anasema kuwa katika uchaguzi wa kwanza kabisa Tanganyika mwaka 1960, Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere alipoteza jimbo moja tu la Karatu kwa mtu anayeitwa Sarwatt kisha baadaye akaja kuwa mkulima maarufu aliyekamata ndege ya Tanzania...
Enzi za Nyerere hamna mwaka ulipita bila nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi kufanyika. Inasemekana kuna wakati Nyerere mwenyewe aliwahi kujipunguzia mshahara kidogo lakini nyongeza ya kawaida ilifanyika. Sasa Tundu Lissu katika hotuba zako kumbuka sana kuendelea kuorodhesha yote mageni...
Sabato ya leo nimejikuta najikumbusha kizungumkuti cha Uchaguzi Mkuu wa 1995 katika jimbo la Iringa Mjini.
Wagombea wetu walikuwa Ben Mkapa ( CCM) vs Lyatonga Mrema ( NCCR mageuzi) kwa urais.
Mwalimu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa ( NCCR mageuzi) vs Kachero mbobezi Dr Hassy Kitine ( CCM) kwa...
Kwa kumheshimu Mwl Julius Nyerere nchi ya Guinea iliamua kukiita chuo kikuu cha nchi hiyo jina la Rais wa awamu ya kwanza Tanzania.
Mimi nilikua sijui niliambiwa na rafiki yangu wa Guinea niliyekutana naye hapa ughaibuni.
Nilivyo mweleza kwamba natokea Tanzania alinipokea kwa ukarimu mkubwa...
Kauli Mbiu Kuu Ya Kongamano Hilo.
Wanawake Wanaweza,Waliweza Na Wanaendelea Kuweza.
Mwezeshaji:Ndg.Humphrey Polepole
Hakika Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimepata Katibu Wa NEC Itikadi Na Uenezi Mwenye Uwezo Mkubwa Mno Katika Kujieleza,Kuelezea,Kufafanua...
Hii ilikuwa ni siku ya mwisho ya ziara yake ya kitaifa aliyoifanya huko Uingereza mwaka 1975. Hii ilikuwa ni siku ya Ijumaa, tarehe 21, Novemba 1975.
Hivi Rais Mkapa mwaka ‘75 alikuwa na wadhifa gani serikalini?
Hao wengine sijawatambua ni akina nani.
Hii ziara niliwahi kuianzishia uzi humu...
Kwa kuwa Tayari tuna Nyerere day, siku ambayo hutumika Kama kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Tanzania, napendekeza pia kuwe na Mkapa Day ili kila mwaka Taifa liweze kusherehekea kumbukumbu ya kifo cha Rais huyu wa awamu ya tatu.
Wote walikuwa Marais hivyo lazima tuwaenzi bila ubaguzi
Katika hali ya Kawaida, msikitini ni pahala patakatifu pa kumwabudu mungu na kanisani ni pahala pa kumwabudu Mungu.
Tangu tupate uhuru 1961, December, Tanganyika haijawahi kutokea Nyerere akiwa Waziri mkuu wa Kwanza, mpaka akafikia urais, Mwinyi kuanzia 1984-1995, Mkapa 1995-2005, Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.