nguvu

  1. R

    Vijana nguvu mnayoiweka kwenye Derby mgeliiweka kwenye liberation struggle ya Tanganyika, tungelikuwa huru kitambo!

    Mtaa wote kelele, hakukaliki. Najiuliza nguvu hii ingelitumika kuikomboa TANGANYIKA, tungelikuwa huru mudà kitambo. Tumelogwa na nani!
  2. Maandamano Makubwa Yazuka Ufaransa na Spain huku Polisi wakitukia Nguvu kubwa kuyazima. Je, huko hakuna Katiba Mpya na Demokrasia wanayodai CHADEMA?

    Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya. Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
  3. S

    Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
  4. Korea Kaskazini: nchi ilyoinuka kutoka kwenye majivu na kuishangaza Dunia

    Mwaka 1953, Pyongyang ilikuwa mrundikano wa majivu na kifusi. Marekani ilikuwa imedondosha tani elfu kadhaa za mabomu hivi kwamba hakukubaki hata jengo moja refu lililokuwa salama. Leo, taifa hilo lililowekewa vikwazo vikali zaidi duniani si tu kwamba linatengeneza makombora ya nyuklia, bali...
  5. Siri za Kistaarabu za Kujenga na Kulinda Heshima ya Ndoa: Nguvu ya Kusamehe na Kusahau

    Habari za wakati huu ndugu zangu wana-jukwaa. Katika mada iliyopita, tulijadili misingi ya kistaarabu ya kutatua migogoro na umuhimu wa kuzuia maneno ya dharau. Leo tunaongezea nguzo nyingine muhimu sana ambayo ndiyo nguzo kuu inayoshikilia ustawi na maisha marefu ya ndoa yoyote iliyofanikiwa...
  6. Nguvu ya Mke:

    Makala ya Pili: Nguvu ya Mke: Jinsi Heshima na Utii Vinavyoijenga na Kulinda Ndoa Katika ulimwengu wa ndoa, kama ambavyo mume anapaswa kuwa mboreshaji mkuu, ndivyo ambavyo mke anasimama kama mlinzi mkuu wa ngome ya nyumba. Mwanamke ana nguvu kubwa sana ya kiakili na...
  7. Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  8. Serikali kuipa nguvu sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi

    DODOMA Serikali imesema imeanza kuweka msisitizo zaidi katika sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi ili kuimarisha upatikanaji makazi bora, salama na yenye kuzingatia mipango miji, sheria na viwango vya ujenzi nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi...
  9. Kuna viashiria na uwezekano mkubwa kwamba chadema wanaandaa, kuratibu na kupanga fujo siku ya hukumu ya Tundu Lisu.

    Hii ni kutokana na hali ilivyo, baada ya maelezo ya mwisho ya mtuhumiwa wa uhaini kuibua hisia mseto, ikiwa ni pamoja na hatima maisha yake na siasa. Kutokana na hilo, huenda Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinapanga na kuhamisha fujo na vurugu siku ya hukumu ya Tundu Lisu. Uchochezi huu...
  10. K

    Zinduka Sehemu ya Pili: Swali kwa Machawa wa Mfumo na Ukweli Kuhusu Nguvu ya Madereva

    Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
  11. KWANINI MAMBA HANA NGUVU ZA MIGUU

    Watu wengi wanadai nguvu za Mamba zipo kwenye maji, utasikia kwenye maji huwezi kumshinda mamba. hata hivyo huyu Mamba sithani kama kweli itakuwa hivyo akiingia majini. Nimeona kwenye shoo yake kaimba huku kakaa, nikaja kuona clip yake moja uwanja wa taifa anatembea kwa taabu sana. Akisimama...
  12. Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  13. X

    Nguvu ya XI Jinping: Trump mwenyewe aenda uwanjani kumpokea

    Miaka zaidi ya 60 imepita tangu mara ya mwisho Raisi wa Marekani aende airport kumpokea mgeni mbaye ni Raisi wa taifa lingine isipokuwa mgeni huyo awe ni Papa wa kanisa Katoliki MAREKANI IMEWEKA ITIFAKI YA KIWANGO CHA JUU SANA KWENYE ZIARA YA XI JINPING Katika ziara nyingi za viongozi wa...
  14. Ukomavu wa Kihisia: Nguvu ya Usikivu

    Kama kuna kiashiria kimoja kizuri cha ukomavu wako kihisia ni uwezo wa kumsikiliza mtu hasa yule usiyejua hulazimiki kumsikiliza. Ukomavu huo unakuchochea kutamani kuelewa ‘ulimwengu’ wa mwenzako—anafikiri nini, anaona nini, anaamini nini, anataka kufanya nini—bila kuteka uzoefu wake wala...
  15. Usichanganye huruma na udhaifu, wala nguvu na ukatili.❗❗❗

    Wakati ulikuwa msumari, ulijifunza kwamba dunia haipunguzi nguvu kwa sababu wewe unaumia. Sasa ukiwa nyundo, usisahau somo hilo. Lakini mpiganaji mwenye akili hapigi kila kitu anachokiona. Anajua wapi apige, lini apige, na ni pigo gani litakalomaliza vita badala ya kuanzisha vita vingine...
  16. K

    Nguvu ya Sanaa na Mdidimizo wa Maadili ya Uongozi katika Jamii ya Sasa

    ANDIKO LA FANANI WA HBC (THE NIGHT WATCHER) KIONGOZI VS MSANII Ni UKWELI USIOPINGIKA kuwa NGUVU ya MSANII kwa kutumia SANAA YAKE ni KUBWA kuliko NGUVU ya KIONGOZI anapotumia SIASA ZAKE na pia SAUTI ya MSANII haina TOFAUTI na NGURIMO Za RaDi anapoiisemea JAMII YAKE. Tuna mifano MINGI ya...
  17. Nafikiri yule mdada mwenye tatoo ya kipepeo sio mtu wa kawaida. Ana uwepo wa nguvu fulani ndani yake

    Kufuru anayofanya and force aliyonayo ni mfano aina ya mtu ambae sio energy ya kibinadamu. Nafikiri yupo possessed au connected na element fulani hivi.
  18. Muonekano wangu mzuri umenipatia vitu ambavyo nguvu na akili visingetosha

    Kuna vitu ukiwa navyo ni kama natural lubricant, inarahisisha mambo sana. unajikuta unapata nafasi ambazo wengine wanaodhani akili nyingi wameshindwa. pia watu wanakushobokea sana na kila mtu anataka awe rafiki yako tena muwe wote kwenye watu wengi/ public. Nashukuru watoto wangu wamechukua...
  19. Kwa nini CCM inapoteza nguvu yake ya ushawishi? Hakika CCM imefika mwisho wake.

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimedumu madarakani kwa muda mrefu nchini Tanzania, kimekuwa kikikabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, na kijamii zinazotajwa na wachambuzi wa mambo kulinganisha na miaka ya nyuma. Zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu zinazoelezwa na wataalamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…