nguvu

  1. bless on

    Korea Kaskazini: nchi ilyoinuka kutoka kwenye majivu na kuishangaza Dunia

    Mwaka 1953, Pyongyang ilikuwa mrundikano wa majivu na kifusi. Marekani ilikuwa imedondosha tani elfu kadhaa za mabomu hivi kwamba hakukubaki hata jengo moja refu lililokuwa salama. Leo, taifa hilo lililowekewa vikwazo vikali zaidi duniani si tu kwamba linatengeneza makombora ya nyuklia, bali...
  2. Ibun balo

    Siri za Kistaarabu za Kujenga na Kulinda Heshima ya Ndoa: Nguvu ya Kusamehe na Kusahau

    Habari za wakati huu ndugu zangu wana-jukwaa. Katika mada iliyopita, tulijadili misingi ya kistaarabu ya kutatua migogoro na umuhimu wa kuzuia maneno ya dharau. Leo tunaongezea nguzo nyingine muhimu sana ambayo ndiyo nguzo kuu inayoshikilia ustawi na maisha marefu ya ndoa yoyote iliyofanikiwa...
  3. Ibun balo

    Nguvu ya Mke:

    Makala ya Pili: Nguvu ya Mke: Jinsi Heshima na Utii Vinavyoijenga na Kulinda Ndoa Katika ulimwengu wa ndoa, kama ambavyo mume anapaswa kuwa mboreshaji mkuu, ndivyo ambavyo mke anasimama kama mlinzi mkuu wa ngome ya nyumba. Mwanamke ana nguvu kubwa sana ya kiakili na...
  4. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  5. Wizara ya Ardhi

    Serikali kuipa nguvu sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi

    DODOMA Serikali imesema imeanza kuweka msisitizo zaidi katika sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi ili kuimarisha upatikanaji makazi bora, salama na yenye kuzingatia mipango miji, sheria na viwango vya ujenzi nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi...
  6. Tlaatlaah

    Kuna viashiria na uwezekano mkubwa kwamba chadema wanaandaa, kuratibu na kupanga fujo siku ya hukumu ya Tundu Lisu.

    Hii ni kutokana na hali ilivyo, baada ya maelezo ya mwisho ya mtuhumiwa wa uhaini kuibua hisia mseto, ikiwa ni pamoja na hatima maisha yake na siasa. Kutokana na hilo, huenda Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinapanga na kuhamisha fujo na vurugu siku ya hukumu ya Tundu Lisu. Uchochezi huu...
  7. K

    Zinduka Sehemu ya Pili: Swali kwa Machawa wa Mfumo na Ukweli Kuhusu Nguvu ya Madereva

    Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
  8. bahati93

    KWANINI MAMBA HANA NGUVU ZA MIGUU

    Watu wengi wanadai nguvu za Mamba zipo kwenye maji, utasikia kwenye maji huwezi kumshinda mamba. hata hivyo huyu Mamba sithani kama kweli itakuwa hivyo akiingia majini. Nimeona kwenye shoo yake kaimba huku kakaa, nikaja kuona clip yake moja uwanja wa taifa anatembea kwa taabu sana. Akisimama...
  9. ngara23

    Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  10. X

    Nguvu ya XI Jinping: Trump mwenyewe aenda uwanjani kumpokea

    Miaka zaidi ya 60 imepita tangu mara ya mwisho Raisi wa Marekani aende airport kumpokea mgeni mbaye ni Raisi wa taifa lingine isipokuwa mgeni huyo awe ni Papa wa kanisa Katoliki MAREKANI IMEWEKA ITIFAKI YA KIWANGO CHA JUU SANA KWENYE ZIARA YA XI JINPING Katika ziara nyingi za viongozi wa...
  11. Zack Abdul

    Ukomavu wa Kihisia: Nguvu ya Usikivu

    Kama kuna kiashiria kimoja kizuri cha ukomavu wako kihisia ni uwezo wa kumsikiliza mtu hasa yule usiyejua hulazimiki kumsikiliza. Ukomavu huo unakuchochea kutamani kuelewa ‘ulimwengu’ wa mwenzako—anafikiri nini, anaona nini, anaamini nini, anataka kufanya nini—bila kuteka uzoefu wake wala...
  12. Mshana Jr

    Usichanganye huruma na udhaifu, wala nguvu na ukatili.❗❗❗

    Wakati ulikuwa msumari, ulijifunza kwamba dunia haipunguzi nguvu kwa sababu wewe unaumia. Sasa ukiwa nyundo, usisahau somo hilo. Lakini mpiganaji mwenye akili hapigi kila kitu anachokiona. Anajua wapi apige, lini apige, na ni pigo gani litakalomaliza vita badala ya kuanzisha vita vingine...
  13. K

    Nguvu ya Sanaa na Mdidimizo wa Maadili ya Uongozi katika Jamii ya Sasa

    ANDIKO LA FANANI WA HBC (THE NIGHT WATCHER) KIONGOZI VS MSANII Ni UKWELI USIOPINGIKA kuwa NGUVU ya MSANII kwa kutumia SANAA YAKE ni KUBWA kuliko NGUVU ya KIONGOZI anapotumia SIASA ZAKE na pia SAUTI ya MSANII haina TOFAUTI na NGURIMO Za RaDi anapoiisemea JAMII YAKE. Tuna mifano MINGI ya...
  14. Design Your Idea

    Nafikiri yule mdada mwenye tatoo ya kipepeo sio mtu wa kawaida. Ana uwepo wa nguvu fulani ndani yake

    Kufuru anayofanya and force aliyonayo ni mfano aina ya mtu ambae sio energy ya kibinadamu. Nafikiri yupo possessed au connected na element fulani hivi.
  15. haszu

    Muonekano wangu mzuri umenipatia vitu ambavyo nguvu na akili visingetosha

    Kuna vitu ukiwa navyo ni kama natural lubricant, inarahisisha mambo sana. unajikuta unapata nafasi ambazo wengine wanaodhani akili nyingi wameshindwa. pia watu wanakushobokea sana na kila mtu anataka awe rafiki yako tena muwe wote kwenye watu wengi/ public. Nashukuru watoto wangu wamechukua...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwa nini CCM inapoteza nguvu yake ya ushawishi? Hakika CCM imefika mwisho wake.

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimedumu madarakani kwa muda mrefu nchini Tanzania, kimekuwa kikikabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, na kijamii zinazotajwa na wachambuzi wa mambo kulinganisha na miaka ya nyuma. Zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu zinazoelezwa na wataalamu...
  17. Eli Cohen

    Siasa za ROT zimenishinda nguvu. Leo hii mtu anabizwa, kesho anatoa pongez, kesho kutwa anatoa pole, siku zijazo wanaungana, siku zifuatazo wanaachana

    Hakuna tumaini la mnyonge katika hili bara la afrika. Its a circous.
  18. T

    Wasira: Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo.

    Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo. Hizi akili zimejaa kimazoea sana. Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta...
  19. Roving Journalist

    Warsame: Tunaongeza nguvu ya ujenzi wa Bomba la Gesi Asilia (Kilomita 22) kabla ya El Niño

    UJENZI wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 22 kutoka Kisemvule hadi Mbagala umeingia hatua muhimu, huku Kampuni ya Rashal Energies Limited ikiongeza kasi ya kazi katika maeneo ya njia yanayoweza kuathiriwa zaidi na mvua kubwa. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Rashal Energies...
Back
Top Bottom