nguvu

  1. S

    Dr Congo wamegawa madini kwa marekani bure,tshekedi atapeliwa na Trump

    Drc Congo waliingia mkataba na Trump ya kwamba wakabidhi madini yao ya Dhahabu,Copper,zinc,lithium,manganese,cobalt nk na taaarifa yeyote ya madini yajayo yatakayo gundulika wapewe wao Kwa mbadala ya kuwalinda na kuwaondoa waasi na kumpiga mkwara kagame,mwisho wa siku ni kagame bado anaendelea...
  2. Roving Journalist

    MNH-Mloganzila yatoa huduma ya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume kwa kupandikiza kifaa maalum

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeendelea kuboresha huduma za kibingwa na bingwa bobezi kwa kutoa huduma ya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume(Penile Implant Surgery) kwa wanaume wenye changamoto hiyo ambao hawajafanikiwa kupata nafuu kupitia matibabu mengine. Akizungumza kuhusu...
  3. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  4. mahadhialy

    KUTOKA AFRICA YENYE NGUVU MPAKA UTUMWA WAPI TULIPOKOSEA

    Africa kabla ya ukoloni (kabla ya 1500) Africa ilikuwa na falme na himaya mbalimbali zenye nguvu zikiwemo •Himaya ya Mali Ilikuwa inautajiri mkubwa wa dhahabu na biashara •Himaya ya Songhai Ilikuwa na jeshi na utawala mkubwa Africa ya magharibi •Ufalme wa Kongo Ulikuwa na mfumo wa kisiasa...
  5. X

    Tanzania ni nchi ambayo ukikosa kujiwekea mipaka watu watakupangia matumizi ya muda, nguvu na pesa zako

    How to survive in Tanzania: 1. Sina 2. Sitoweza 3. Sitaki 4. Haitowezekana 5. Sijui 6. Asante 7. Sipo Ukiweza kusimamia hii Utaishi maisha marefu yenye Furaha.
  6. BLACK MOVEMENT

    Kizza Besigye wa Uganda kuendelea kuwa ndani kulikuwa kuna uhusiano na Lissu kuendelea kuwa ndani. Ila now ni kama Museveni kaamua yaishe

    Hesabu za kuendelea kumuweka Lisu ndani zinategemeana sana na za kule Uganda kwa Mseveni. Yaani Mtawala wa Tanzania Bench mark yake ya kumshikilia Lisu iko Uganda kwa Mseven kuendelea kumshikilia Kizza Besigye. Ila juzi kati ni kama Mseveni na yule Dogo wake wanataka yaishe kwa Kizza Besigye...
  7. 1995El

    Sio kila ukimya ni kushindwa; wakati mwingine ni maandalizi ya kurudi kwa nguvu zaidi!

    Sio kila ukimya ni kushindwa; wakati mwingine ni maandalizi ya kurudi kwa nguvu zaidi! Kuna nyakati unajikuta huna nafasi ya kusema unachotaka kusema. Unalazimika kusubiri, kutafakari na kujifunza kutokana na mambo yaliyotokea. Lakini nimejifunza jambo moja: Usiruhusu changamoto za muda...
  8. ShesRise_1

    Nguvu ya DNA: Je, tunarithi zaidi ya mwonekano kutoka kwa wazazi wetu

    Wakuu, leo nataka tuongee kuhusu DNA (vinasaba) Kuna mambo kadhaa ambayo ningependa tuyajadili na kujifunza kutoka kwa wataalamu na wenye uelewa wa masuala haya 1. DNA na mapenzi/Sexual Compatibility😊 Je, kuna namna ya kupima vinasaba vya watu wawili na kugundua kama wanaendana kibaiolojia...
  9. Kaka yake shetani

    Unajuwa kwa nini serikali ya CCm inatumia nguvu kuficha ukweli October 29 .Sita sahau na ni ngumu kufutika akilini.

    Kitu ambacho kina nisuta jinsi watu walizikwa wakiwa hai,wengine waliitaji matibabu ila walishikiliwa na kuunganishwa kama marehemu. Hii kazi mungu ni samahee
  10. L

    PICHA: Embu Tizama Rais Wetu Namna Alivyo Imara na Mwenye Nguvu. Hivi Wanaharakati Uchwara Wakiongozwa na Maria Sarungi Wanajisikiaje Huko Waliko?

    Ndugu zangu Watanzania, Napata Raha na Furaha kubwa sana Napomuona Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania katika Hali hii ya Ushupavu ukakamavu uimara Uhodari tabasamu na morali na Ari ya kazi . Mama Yetu Mpendwa yupo Imara kimwili na kiakili . Yupo Tayari kuendelea na...
  11. Zack Abdul

    Rais Samia ashuhudia nguvu ya vijana

    ◇Ni inayotokana na msisitizo wa uteuzi wa wasaidizi wake ◇Ndejembi akomaa kila fursa inayojitokeza, wasikosekane ◇Alianza na mafunzo kwa vitendo, kampuni zao, sasa kwenye gesi
  12. instinct desire

    Nimeshangaa hii nguvu inayotumika na kanisa katoliki kuisambaza barua ya "kutakuwa na maombi" Mungu haombwi hivo, kuomba ni spiritual communication

    Kuomba ni spiritual communication na Mungu na si vingine tuache kujidanganya. Kwa mifumo ya liturujia za makanisa ya kikiristo ndani Kuna kuombea viongozi wa serikali, Kuna kuombea wagonjwa, Kuna kuombea yatima na wajane na Kuna kujiombea pia. Hayo yapo automatic na yanasomwa si kwa kuyatamka...
  13. PROFOUND NOTION

    Ila JF 😁, kila mtu ana pesa, ana nguvu za kiume, anatongozwa na wake za watu , kila mtu haishi kwa shemeji yake na kila mdada humu ana keboz makubw🔥

    Maisha yaendelee
  14. PART ASIFIWE MALILA

    Nguvu ya maamuzi

    Maamuzi ni moja ya funguo za msingi sana katika maisha. Kama mtu akiniuliza swali juu ya kutafuta mabadiliko nitamwambia kwamba ni kheri akatafuta njia ya kufanya maamuzi..... Matokeo yako ya sasa yanatokana na aina ya maamuzi ambayo uliyafanya jana..... Jumatatu ya leo nipo kukumbusha...
  15. Dogoli kinyamkela

    Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa

    Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa. Moods futen na hii mana Ile ya kuwasha feni wakat wa kuchota maji Kwenye kisima mmefuta lalek
  16. Hizbu Sharifu

    Ufukara na Umasikini ni matokeo ya Udhaifu wa nguvu za kiroho

    Je umewahi kujiuliza kwanini kuna baadhi ya watu ni wapambanaji na ni wahangaikaji katika maisha na hawakosei mahala katika mapambano yao ila hawafanikiwi siku zote wanakua watu wa chini, ila kuna wengine ni wavivu na wasiopenda kujishughulisha ila wanamaisha mazuri na hawakosi wanachohitaji...
  17. T

    Tanzania chini ya idara zake wasipo kuwa imara nakusimamia tunu za TAIFA. BASI ni dhahiri Taifa hilo litapita nyakati ngumu

    Katika hali sio ya kawaida zipo dalili za wazi kabisa Taifa langu Tanzania lina pita ktk nyakati ngumu ktk usalama wake. Yes Utabiri unaonyesha Taifa langu Tanzania chini ya idara zake wasipo kuwa imara nakusimamia tunu za TAIFA. BASI ni dhahiri Taifa hilo litapita nyakati ngumu na hii ni...
  18. R

    Vijana nguvu mnayoiweka kwenye Derby mgeliiweka kwenye liberation struggle ya Tanganyika, tungelikuwa huru kitambo!

    Mtaa wote kelele, hakukaliki. Najiuliza nguvu hii ingelitumika kuikomboa TANGANYIKA, tungelikuwa huru mudà kitambo. Tumelogwa na nani!
  19. ChoiceVariable

    Maandamano Makubwa Yazuka Ufaransa na Spain huku Polisi wakitukia Nguvu kubwa kuyazima. Je, huko hakuna Katiba Mpya na Demokrasia wanayodai CHADEMA?

    Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya. Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
  20. S

    Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
Back
Top Bottom