netanyau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Wakili maarufu wa Israel Zion Amir awashutumu wanaoendesha kesi ya Netanyau!

    Israeli: Wakili maarufu wa utetezi wa Israeli Zion Amir aliwashutumu wale walio nyuma ya kesi dhidi ya Benjamin Netanyahu kwa kufanya kazi na washirika wa vyombo vya habari kupotosha umma na kuiangusha serikali yake ya mrengo wa kulia. Akizungumza na Noam Fathi na Ariel Sender, Amir...
  2. Mtu Asiyejulikana

    Tubadilishe sala zetu. Huyu mpinzani wa Netanyau ni mbaya zaidi. Hii kauli yake imewashtua wengi. Bora Netanyau

    Huyu ni balaa. Anasema miezi 18 tu Hamas watakuwa historia. Anasema anaona kama Netanyau anawabembeleza sana na amekuwa soft kinyama. Ndugu zanguni.... Tumwombee ashinde Netanyau. Huyu ni kafir zaidi ni bora na Jini tulijualo. Huyu hapana na ana historia ya jeshi. Na alivyo amekaa kibabe...
  3. Gobole Lenye Risasi

    Waisrael na hasa wapinzani wa Netanyau wasema Netanyau Benjamin ni Dhaifu sana

    Wamekuwa wakimponda kuwa hajaweza peleka moto wa kutosha kwa Palestina. Juu ya Hamas na Hezbollah. Wanadai Netanyau amekuwa na moyo wa kike si jasiri. Ni mtu mwenye Huruma na Huruma si malezi kabisa ... Wanasema kama wao wakipata nafasi Gaza itakuwa sehemu salama duaniani hakuna tena. Iran...
  4. Dennis Robert Shughuru

    Ufaransa inahitaji kiongozi aina ya Benyamini Netanyau wasipokuwa makini itamezwa na magaid

    Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano...
  5. Mohamed Said

    Tanzania Haikutoka Ukumbini UNGA Ilibakia Ndani Kumsikiliza Netanyau

    https://youtu.be/xPKCwnS7W0Y
  6. Chizi Maarifa

    Itakuwa siku ya furaha sana misikitini na uswahilini. Huyu mwamba kaua viongozi wengi sana wa Irani na waarabu

    Netanyau, Itakuwa siku ya furaha sana misikitini na uswahilini. Huyu mwamba kaua viongozi wengi sana wa Irani na waarabu. Ni mbabe vibaya sana ameshindikana. Khayatollah alikufa kama panya. Viongozi wa IRGC wanaishi katika hofu kubwa sana na mashaka. Hii yote ni sababu ya Netanyau. Hasara...
  7. Chizi Maarifa

    Netanyau asema ICC ni kikaragosi tu. Haina cha kumfanya ana Jeshi kali.

    Nchi ambayo itahusika kumkamata au wahusika wakae chonjo jinsi watakavyoanza dondoshwa kama kuku wa mdondo. Khayatollah yupo wapi? Wauulize Iran.
  8. K

    Netanyau anajinyea huku baada ya Trump kusema atamuuzia Turkey F35 na kuruhusu kununua S400 za Urusi

    Netanyahu aiambia CNN anapinga uuzaji wa ndege za F-35 nchini Uturuki huku akipuuza kudharauliwa na Trump Katika mahojiano na CNN, Netanyahu alionya kwamba uuzaji wa ndege za kivita za hali ya juu zaidi za Marekani "haufanyi Uturuki kuwa taifa rafiki kwa Marekani." Katika sehemu ya mzozo...
  9. U

    Netanyau kuzungumza na waandishi wa habari usiku huu

    Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a televised statement tonight at 8:30, followed by a virtual press conference with foreign reporters, his office says. This will be the second virtual press conference Netanyahu has given since the war began 20 days ago
  10. S

    Iran wanashindwa nini kulipiza kisasi kwa kumuua Netanyau?

    Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao? Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku...
  11. hamis77

    Maneno machache ya Netanyahu akielekea U.S.A

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, asubuhi ya leo september 24, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben-Gurion, kabla ya kuondoka kuelekea Marekani kwa ziara ya kidiplomasia, ambapo atahutubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump: "Sasa ninaondoka...
  12. U

    Netanyau, ael masharti 5 ambayo ya kutimizwa kumalizika mara moja vita vya Gaza

    Ofisi ya Waziri Mkuu ilisema vita vinaweza kumalizika mara moja ikiwa masharti matano yatatimizwa -. kuachiliwa kwa mateka wote; kupokonywa silaha kwa Hamas; kuondolewa kijeshi kwa Ukanda wa Gaza; udhibiti wa usalama wa Israel huko Gaza; na "kuanzishwa kwa utawala mbadala wa...
  13. U

    Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Usalama la mawaziri kesho alhmasi Jerusalem ili kuidhinisha mpango wa kuitawala kijeshi Gaza

    Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene his security cabinet at 6 p.m. Thursday at his office in Jerusalem, according to the Prime Minister’s Office, where it is expected to approve fresh plans for the continuation of the war in Gaza. During a three-hour security discussion among a...
  14. dem boyz

    Netanyahu amekula chakula chenye sumu , kupumzika kwa siku tatu, ofisi yake yasema

    Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration). Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika...
  15. jamaikatz

    Kiongozi Mkuu wa Kidini wa Iran Atoa Fatwa Dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    moja ya viongozi wakuu wa kidini nchini Iran 🇮🇷 Ayatollah Makarem Shirazi, ametoa wito kwa waislam kote Duniani, kuwaua Donald Trump na Benjamin Netanyahu, akiwaita viongozi hao kuwa ni “maadui wa Mungu === Kiongozi Mkuu wa Kidini wa Iran Atoa Fatwa Dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump na...
  16. Tanzanians

    Naungana na netanyau Israel imefikia malengo yake ya vita dhidi ya iran

    Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana Hii inakupa...
  17. U

    Uzi Maalumu Unampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau kuhusu sera nzuri kwa Israel baada ya kuisha kwa vita dhidi ya Iran

    Uzi Maalumu Kila jambo lina Mwisho njia bora kujenga amani ya kudumu ni muhimu
  18. U

    Waziri Mkuu wa Uingereza azungumza na Netanyau na kusema Israel has the right to self defense

    Wadau hamjamboni Britain has “grave concerns” over Iran’s nuclear program and believes Israel has the right to self-defense, Prime Minister Keir Starmer told his Israeli counterpart Benjamin Netanyahu on Friday, Starmer’s spokesperson says. “The prime minister was clear that Israel has a right...
  19. U

    Benjamin Netanyau aliagiza Iran itandikwe kuanzia November 2024 agizo litekekezwe kabla ya April 2025

    Wadau hamjamboni nyote. Advertisement Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema katika taarifa ya video kuwa agizo la kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran lilitolewa mwezi Novemba 2024, na ameahidi kutoa taarifa za video kila siku pale itakapowezekana. "Agizo hilo lilitolewa muda...
  20. U

    Nimebubujikwa na machozi ya Raha kusikia kuwa Mwamba Netanyau atazungumza na Rais Trump baadaye Leo

    Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is set to speak to US President Donald Trump later today, according to an Israeli official. Netanyahu...
Back
Top Bottom