ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

    Habari zenu waungwana wa humu JamiiForums. Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika. Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto wanazurura mitaani baada ya wazazi wao kuachana kwa sababu ya uchonganishi wako? Kama ndoa inavunjika...
  2. JamiiForums Tanzania Aeleza walivyokubaliana na mume wake kutafuta watoto nje ya ndoa

    Dar es Salaam. Mkazi wa Tabata Liwiti, Magreth Silaeli (37) ameieleza Mahakama ya Mwanzo Buguruni kuwa walikubaliana na mume wake, Raymond Kulaya (44), waachane kwa muda ili kila mtu akatafute watoto “anapopajua” baada ya kuishi miaka mitano bila kupata mtoto. Magreth sasa anaiomba mahakama...
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi ya wazazi katika ndoa ya mwanao/binti yao

    Mapenzi yana nguvu sana.Humfanya mtu apoteze uwezo mzuri wa kufikiri. Kipindi namchumbia mke wangu alipata upinzani kutoka kwa wazazi wake kwa sababu tuko makabila tofauti. Lakini alikuwa ananipenda sana na aliwaeleza kwamba wakikataa ataondoka na kunifata. Wakaleta kikwazo cha mahali...
  4. JamiiForums Tanzania UNICEF: Athari za COVID19 kuongeza ndoa za Watoto zaidi ya Milioni 10 ndani ya muongo

    Athari kubwa za janga la Covid-19 kwa wanawake katika baadhi ya mataifa huenda zikasababisha ndoa milioni 10 zaidi za watoto katika muongo huu, kwa mujibu wa tathmini iliyotolewa na UNICEF Jumatatu. "Kufungwa kwa shule, msongo wa kiuchumi, kuvurugwa kwa huduma na vifo vya wazazi kutokana na...
  5. JamiiForums Tanzania Kaka/Dada soma kwa makini post hii

    Wasichana wanne waliingia katika mkutano wakiwa wamevaa nguo mapaja yakiwa nje. Kabla ya mkutano kuanza mzee mmoja alikuwa ndiye mwenyekiti wa mkutano huo. Mzee huyo aliwaangalia kwa makini wasichana hao kicha akawakaribisha kwenye mkutano huo. Baada ya hapo mzee huyo aliwaambia binti zangu...
  6. JamiiForums Tanzania Huu mchanganyiko wa kuboost kinga dhidi ya UVIKO-19 kuna una kazi nyingine kwa wenye ndoa

    Juzi koo lilikereketa sana, kama kawaida kuchukua tahadhari nikasema wacha nikachanganye mavitu nijidunge pema. Nikaoda kwa mke gengeni alete 1. Malimao 2. Tangawizi 3. Kitunguu saumu 4. Pilipili mbuzi Nikaviandaa nikablend vyote, nikachukua maji ya moto nikatia chumvi kidogo nikazimua ule...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuna umuhimu gani wa kuwa na sherehe za ndoa?

    Mimi binafsi sijawahi kufurahia sherehe yeyote inayohusiana na mchakato mzima wa ndoa, iwe send off, ndoa yenyewe, hata reception, yan naona ni kupotezeana muda tu, mfano vile vikao sijui hata kama kuna kitu gani cha maana tunajadili pale zaidi kutamaniana na wanakamati na kuwapiga miti wake za...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wanawake wengi walioolewa wanapenda sana kuonyesha pete zao za ndoa tofauti na sisi wanaume?

    Hello Jf. Kuna kautafiti kangu kasiko rasmi nimekuwa nakafanya kisirisiri,nimegundua kwamba wanawake wengi walioolewa wanapenda sana kuonyesha pete zao za ndoa,utakuta anajipiga picha kwa kutumia simu but atahakikisha lazima pete yake ya ndoa inaonekana kwa watazamaji. Hivi hii huwa ina maana...
  9. JamiiForums Tanzania Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

    Wote tunafahamu kuwa suala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani. Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe japo linaweza chagizwa na wazazi ama walezi pia. Leo nataka nipate tathmini kutoka kwa wachumba...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

    Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume kadhaa wanaishi kwenye ndoa kama wako gerezani kwa hofu ya kagawana Mali

    Itakuaje sasa tukiachana ama mama watoto akitaka tuachane?? Mwendo wa pasu kwa pasu
  12. JamiiForums Tanzania Hatimaye Elizabeth Michael "Lulu" na Francis Ciza "Majizzo" wafunga ndoa baada ya uchumba wa miaka miwili na nusu

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ile ndoa iliyosubiriwa sana na kusemewa maneno mengi hatimaye imefungwa. Lulu na Majizzo wameoana leo kanisa la mtakatifu Gasper na inasemekana wako Serena hotel hivi sasa wakipiga picha. Ikumbukwe Lulu alivalishwa pete ya uchumba kama suprize kwenye sherehe...
  13. JamiiForums Tanzania Unamudu/ilimudu vipi mahusiano (ndoa) baada ya uaminifu kufunjika ?

    Inapofika wakati uaminifu juu ya mwenza wako unakua haupo kutokana na viashiria vya usaliti lakni kuna mazingira yanalazimisha kua pamoja , unawezaje kuishi katika hali hii ? pia je kunna mahusiano ambayo hua hayana hizi struggle za hivi ?
  14. JamiiForums Tanzania Ten rules for sidechicks

    HEART MATTERS 10 Rules Of Being The Perfect Side Chick By Kate Published September 14, 2018 How to be the perfect side chick If you must be a side chick, you must follow the side chick code of conduct. This is because being the other woman is not easy. Aside the gifts, sex and exciting...
  15. JamiiForums Tanzania Ndoa ni taasisi muhimu sana katika jamii

    Kuna kisa nimekutana nacho, kisa hiki ni cha mwanaume aliyefanikiwa sana kimaisha. Kwa taaluma ni mhandisi anaefanya kazi na kampuni za kigeni. Mshahara wake kwa mwezi ni kama 12 million hivi bado allowance. Huyu mwanaume alipokua O level tangu kidato cha pili alipata mpenzi, walipeana mimba...
  16. JamiiForums Tanzania Tenda: Anahitajika mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa ya serikali

    Habari wakuu. Anatafutwa mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa za serikali kwa ajili ya kumsaidia mdau aliyeko nje ya nchi. Unaweza kuwa mkoa wowote lakini ukiwa Dar au karibu na Dar itakuwa bora zaidi. Compensation benefits zitatolewa kwa atakeyepata tenda. Kwa maswali na zaidi tuwasiliane PM.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

    Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa. (Samahani mimi sio mwandishi mzuri wa story) Kuna mwenzangu tulisoma naye O level, mimi niliendelea A level na yeye akaenda DIT kipindi hicho ikiitwa Dar Tech, hatukuonana miaka mingi sana na sikujua yupo wapi. Kwa bahati tu nikawa...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti

    Hapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli. Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi. Ni vyema kama mume na mke mnafanya kazi nchi, mkoa au wilaya tofauti kabla ya kufunga ndoa mkubaliane aidha mmoja ahamie...
  19. JamiiForums Tanzania Kama ndoa yako au mahusiano yenu yanakaribia kuvunjika dawa hii hapa

    Wale wote waliopo kwenye ndoa na mahusiano ambayo yanapumulia mashine muda wowote yanaenda kuzimu basi leo kuna mwarobaini wa tatizo lenu hapa. Ukitaka kuishi na mke wako bila ugomvi inabidi ufanye kitu kimoja rahisi sana. Wala usipate shida maongezi yenu inabidi yawe kama ifuatavyo: ASUBUHI...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini tunafunga ndoa kwa mkuu wa wilaya badala ya Mahakamani?

    Ndoa ni mkataba, Kwanini tunaingia mkataba kwa mkuu wa wilaya na si mahakamani? Nchi nyingi nimeona ndoa ya kiserikali inafungwa mahakamani. Kwanini iko hivyo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…