Habari za muda huu wadau,
Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi.
Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake,
Katika kushare experience hizo...
Amani iwe nanyi?
Nilikua kwenye mahusiano ndani ya miaka miwili , mwanamke wangu alipata ujauzito lakini akawa analazimisha sana kutoa nikamuuliza kwanini akaniambia hawezi kubeba mimba kabla ya ndoa maana itakua ni fedheha kwenye familia yao.
Akapeana ushauri na rafiki yake wakafanya maamuzi...
Hakika liko kusudi la Mungu katika mapenzi! Upendo ni tunda tam sana linalotafutwa na yule muovu!
Naomba kwa Uzi huu tuambizane Yale mazuri yaliyomo kwenye ndoa!
Ili wale tunao ogopa kuingia tupate hamasa!
Mliopo kwenye ndoa msishiriki kuyapa ushindi yale mabaya tu yasikike masikioni bali...
Mara nyingi mitandaoni nimekuwa nikishuhudia mitandaoni sativa ski post mata ohoo natafute MTU wa kuoa, au nahitaji Mwanaume serious wa ndoa mwenye sifa hizi Mara zile .
Napenda kuuliza, hivi hawa watu wanapataga watu sahihi kweli katika mahusiano ya ndoa?
Tofauti na ladies wengi walio below 29 lakini ladies wengi ktk mahusiano akishafikisha age of 30 anataka akupeleke kwao akakutambulishe au ndoa tena mwingine ana force hatari bila hivyo hamuezi hata kuelewana.
Mimi ni mmoja kati ya watu ambao bi.mdada ananiforce niende kwao akanitambulishe.
Ndoa zimekuwa na utata kila kukicha, sasa mtu ana miaka 62 anataka kumuaacha kwa nini? Au ndio kutaka kugawana mali mapema?
Adela Ngogolo (42) amefungua kesi ya madai mahakama ya mwanzo Ilala akiomba kupewa talaka na mumewe, Alcado Mkondola (62) kwa madai kuwa ameshindwa kumpatiwa haki yake ya...
Ni msichana wa miaka 21 mwenye mpenzi wa kiume mwenye miaka 32. Wapo mikoa tofauti jambo ambalo kuonana kwao inaweza kuwa ni mara moja kwa mwaka.
Mara kadhaa msichana amegundua kuwa mwanaume si mwaminifu kutokana na mara kwa mara kutafutwa na wanawake wengine baada ya wanawake wa jamaa kufuma...
Wananwake wengi wa kibongo wanaamini sana ndumba ili kuimalisha mapenzi yao. Na wanapopata ndumba kali huwafanya mabwana zao kuwa mabwege na hapo huanza kuchepuka nje, kuwa dharau na kujiona wao ni kila kitu. Matokeo yake baada ya ndumba kuishiwa nguvu huwa wanamwagwa kama vile lori linamwaga...
Mahakama kule Tanzania imeidhinisha talaka baada ya wanandoa fulani kukiri hawajafanya tendo kwa miaka 21, jameni hizi ndoa zimekua changamoto, muhimu sana wale wake zetu ambao hununa wakikosa tendo kwa wiki moja waisome hii.
======
Dar es Salaam. In a bizarre case that has attracted the...
Nimefurahi sana vifurushi kupanda ndoa zetu zipumue weeeee,
Maana mimi na shemeji yenu hapa maelewano yalikua ni zero.
Alikua haambiliki mara facebook, mara Instagram, mara Twitter.
Watu walikua kila sekunde wanatongozana tu mpaka ndoa zetu zinayumba.
Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18.
Pia, Mahakama hiyo imetoa amri mali zote walizochuma wanandoa hao, ikiwamo shamba la eka 10 lililopo...
Asante Mungu!!!
Ni miezi 18 tangu Mahakama kutengua ndoa iliyofungwa miaka 8 iliyopita.
Na huu ukawa mwanzo wa maisha mpya, maisha ya utulivu wa akili, amani moyoni na huru wa maamuzi.Na ukawa Mwisho wa maisha ya mateso ya Kihisia, kiakili, na kisaikolojia-hapa wanaume wengi wanapitia mateso...
Jamaa mmoja huko SA amebadilisha kabisa maisha ya mwanamke mmoja kijana---yaani kile ambacho wazungu wanaita u-turn. Alikutana na mwanamke huyo mtaani akiwa mchafumchafu akamuomba rand 50 kwani alikuwa na njaa sana.
Badala ya kumpa hela akale akambeba na kwenda naye nyumbani akamuogesha...
Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke.
Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje hapa nyumbani (sikuelewa haswa dhumuni la ujio wake) maana dada wa kazi yupo, house boy yupo, na mtoto...
Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya Wanandoa Raymond Kulaya (44) na Magreth Silaeli (37) waliotengana kwa miaka 10 baada ya kukubaliana kila Mtu akatafute Watoto ‘anapopajua’ baada ya kuishi miaka mitano bila kupata Mtoto, kwa sasa Magreth amepata Watoto wanne na Mwanaume mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.