ndoa

  1. Papizo

    JamiiForums Tanzania Ndoa miaka 11 naomba ushauri

    Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe. Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wa vyuoni huwa wanawahi kurudi vyuoni kwa sababu wana ndoa zinawasubiri

    Msione wanafunzi wana usongo wa kurudi vyuoni , wana ndoa zao vyuoni
  3. Criss

    JamiiForums Tanzania Atakaeyenda kupiga kura ajue amefuta utegemezi wake kwangu ndani ya miaka 5

    Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao...
  4. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Shikamoo ndoa kama ndio zinaendaga hivi

    Kama video inavyoliezea ila ingawa ni Igizo
  5. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Ndoa zinavyoteseka na hizi simu hasa kwenye kipengele cha NYWILA(PASSWORD)

    Mimi fundi simu hapa kariakooo ila mojawapo ya hekaheka ninazokutana nazo kwenye simu ni juu ya nywila a.k.a Password. Hili jambo limeachisha ndoa nyingi sana,unakuta mtu amechukua simu ya mkewe kwa lengo la kumtengenezea haswa kioo,anapofika kwa fundi mwanaume huomba nywila kwa kisingizio cha...
  6. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za ndoa

  7. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Wanawake Mnaweza Kuwa Na Ego Kwenye Biashara na Kazini Lakini Sio Kwenye Ndoa

    Sifa ya Ego ni ya mwanaume na si ya mwanamke, mwanaume ndio mwenye ego ya mamlaka na uongozi kwenye ndoa Hivyo basi mwanamke anapotaka kuchukua nafasi ya mwanaume na kuleta zile habar za 50/50 hapo anakuwa amevuka mstari mwekundu na kutikisa himaya ya mwanaume Ndio maana ndoa yoyote ambayo...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Offset amtaka Cardi B amuachie 70% ya mali zake: Ndoa yazidi kuchachama

    Tetesi mpya zimeibuka katika ndoa ya mastaa wa muziki, Offset na Cardi B, baada ya Offset kudai kuwa Cardi B amemsaliti na hata kupata ujauzito wa mwanaume mwingine. Tukio hili limezua gumzo kubwa duniani, huku Offset sasa akitaka mali kubwa kutoka kwa mkewe ili, kwa maneno yake, "kuwalinda na...
  9. Sognsvann

    JamiiForums Tanzania Mchumba mwanamke - MKE

    Habari wana JF Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha. Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri kati ya miaka 25 - 30 ambaye hajawahi kuolewa na hana mtoto. Kama yupo mwenye uhitaji namkaribisha...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

    Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza. Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza...
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya ndoa hapana aisee anakununia siku nzima afu asubuhi unatakiwa umuachie matumizi

    Mke anakununia siku nzima yaani hataki kuongea na wewe kabisa afu asubuhi niache matumizi wakati ameninunia
  12. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Naona ndoa siku hizi zimepungua sana

    Habari wakubwa naona siku hizi ndoa zimepungua sana hata ile michango ya harusi ilikuwa kama ni lazima wakati ni hiyari ukiangalia pia vijana wana left group na wanazidi kupunguza idadi changamoto kubwa ni ipi hasa Au ndoa imekuwa biashara Au wanawake wanawekeza kwenye ndoa ili baadae mje...
  13. Think2

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndoa ya Ali Kamwe yaota mbawa

    Alikamwe amekaa kushabikia timu yake huku akisahau wajibu wake kwa mkewe bwana alikamwe anadai kuwa mkewe alimcheat Ndoa sio kitu cha kukimbilia hovyohovyo ndoa hata miezi 3 haijaisha Au mwanetu hapigi vizuri maana ad mke kaamua kumcheat maana ake alikamwe hajui kuipiga vizuvizuri nini...
  14. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Wahuni si watu wazuri wamemharibia ndoa Ally Kamwe

    Aaaargh watu wana maana? Hamna kitu. Dogo anashindwa vitu vidogo tu watu hata ndoa haijafika mwaka tayari... Dogo anashinda analia tu wana wana mbembeleza. Katoa talaka 3 kaona hazitoshi Tulimwambia dogo kwanza ajaribu kukaza misuli awe sawa.na kisha aoe kilmya kimyA tu mwanamke asiwe wa mjini...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Tiras Muange na Phyllis Mutisya kimeumana, Usaliti madhabauni

    Katika ulimwengu wa muziki wa Injili ndani ya Afrika ya Mashariki, jina la Phyllis Mutisya limekuwa likihusishwa na sauti tamu ya kumwinua mtu kiroho pale madhabauni. Mwanamama ambaye amekuwa akitoa huduma yake takatifu ya uimbaji na kumsifu Mungu. Lakini hivi karibuni katika siku hizi tatu...
  16. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Endapo ungejua kabla ya ndoa kuwa mpenzi wako hana uwezo wa kuzalisha / kuzaa watoto, bado ungemuoa au kuolewa naye?

    Kuna kesi ya kusuluhisha tumeletewa ya mwanaume ambaye alijua hana uwezo wa kuzalisha kumuoa mkewe bila kumwambia kwamba hana uwezo wa kumpa mmba. Sasa hivi ndoa ina miaka 3, mke alienda hospitali kwa ajili ya uchunguzi akakutwa hana shida yoyote, akaanza kukazia mumewe naye aende hospitali...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mjane apigwa butwaa baada ya kuona watoto wa nje ya ndoa wa mme wake wakitambulishwa na ndg!

    Ni huko ukweni kwangu jtano hii wiki iliyopita wife alienda msibani wa baba yake mdogo mimi sikwenda. Huyu marehemu alikuwa na mke mmoja wa ndoa ambae wamebahatika kuzaa watoto 2 tu kisha mwanamke akafunga uzazi. Maisha hayakuwa mabaya na si mazuri sana au si mabaya sana kiuchumi ni ya kati(...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Oa kulingana na mazingira: Vijana wengi waliowaleta mabinti wa vijijini waishi nao DAR wamejifunza kwa uchungu

    Kuna watu huwa wanachukua risk kubwa sana 😂 Binti kisu haswaa unamtoa huko kijijini unamleta town DSM,
  19. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Unambiwa wana ndoa hawa walienda mahakamani ili kupeana talaka lakini hakimu aliwafukuaza

    Haileweki kwa nini hakimu hakutaka hata kusikiliza upande mmoja . Wee unadhani shida ilikuwa nini
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kabati: Rais umetibu ndoa zetu

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kilolo, Ritta Kabati, amesema utekelezaji wa sera ya Rais Samia Suluhu ya kumtua mama ndoo kichwani, umechangia kuokoa ndoa nyingi, baada ya serikali kufanikisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi.
Back
Top Bottom