Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
Habari gani ndugu wana Jf
Kama maada inavyojieleza, ninakuwa na maswali machache ambayo moja la swali ni hili..! Kwanini watu wanataka Kila mahusiano yawe au yaishie kuwa ndoa?
Hapa unakuta kijana wa kiume au kike basi analalamika kaumizwa ooh kapotezewa muda. Kwani nani alisema kila mahusiano...
Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa.
Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium...
Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele swala la mahari linaonekana kuwa la kizamani. Sijui kama ndio kustaarabika au ni kuachana na mila na desturi zetu.
Kwa upande mwingine hii ni fursa kwa vijana wa kiume waliokuwa wakiogopa mambo ya mahari kwanza. Siku hizi mambo mbwelele.
Siku za nyuma ili...
Salam kwa wanajukwaa,.
Kuna kisa kimoja ambacho nimekutana nacho katika kushauri wanandoa wapya ambao ndoa yao ina kama miezi miwili tu tangu walipofunga pingu za maisha.
Nilibaki kinywa wazi baada ya kijana kuanza kutoa maelezo na alipovua shati kifua chote...
Wenslausi James (30) na Betha Kasimili (25), ambao ni wakazi wa kijiji cha Busongo kata ya Mwamashele wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya mwanaume huyo kujilipua kwa moto kwa kutumia mafuta ya Petroli, kwa madai ya wazazi wa mwanaume kumkataa mwanamke.
Kwa Mujibu wa...
Habari gani Wakuu
Aisee mimi kila siku nimekuwa najiuliza maswali memgi kwanini nioe yaani kwanini ? Wanaojiita Wachungaji wanatuaminisha oooh ndoa ni tamu oooh imekaa hivi ooh imekaa pale!
Hebu chukulia mtu ameolewa juzi juzi ambaye tunaamini ndoa ni tamu bado lakini anachepuka na Mume wa...
Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake
Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema kuwa huko mtaani kwao watu kibao walikuwa wanajilia kama utani (kuna washikaji zangu wana camp flan...
HAKUNA UMUHIMU WA NDOA KARNE HII KWA SABABU...
Na, Robert Ng'apos Heriel
Hakuna umuhimu wa ndoa katika Karne hii Kwa sababu;
1. THAMANI YA MWANAMKE IMESHUKA NA INAKARIBIA KUTOWEKA
Unapozungumzia Ndoa unamzungumzia Mwanamke, kadiri mwanamke anavyokuwa na thamani ndivyo thamani ya ndoa nayo...
Habari wadau
Swali kwa wanandoa ama waliowahi kufunga ndoa.
Ninatambua ndoa inakuwa na vyeti original copy mbili baada ya kufungwa. Moja ya mke na moja ya mme. Je, vinakuwa na serial namba inayofanana?
Rafiki yangu alikwenda kusaidia nyumbani kwa mtoto wake wa kiume. Hawakuwa na msichana wa kazi hivyo mtoto wake ambae ndiye mume alimuomba aende mjini kwa muda.
Ameishi miezi mitatu, mama mke wa mwanae ameamua kuhamia hotelini na kumwambia mume wake, hataridi nyumbani mpaka mama yake awe...
Hakuna watu rahisi kulana kama wanandoa, yaani nimeshuhudia kwa macho yangu kabisa mke wa mtu ana watoto wawili na tena alikuwaga single mother akaolewa na mumewe ni dereva wa bajaji wakapata mtoto sasa jana nimeona akitoka guest house na jamaa fulani mvuvi wa samaki imeniuma sana kwa kweli...
Nipo kweli mahusiano almost two years sasa!
Sema kweli huyu binti nampenda lakini tabia zake hazifai kuwa mke hata kwa kubahatisha!
Kasoro zake!
Mtu wa visirani na visasi yaani akimchukia mtu hata ukimpatanisha hataki amani tena na mtu huyo!
Asilimia 95% ya ubongo wake unategemea watu...
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa...
Ilikuwa mwaka 2015 life after Chuo hapo sina ajira wala mishe ya kueleweka ya kuniingiziamtoto mmoja WA kichaga nilipigwa faini ya milioni moja kwa kumzalisha binti ilikuwa hatari.
500,000 faini ya kumzalisha Mtoto wao.
500,000 kumgomboa Mtoto dah.
Kilichotokea after niliaga ntarudi hadi leo...
Kwa nini MWANAMKE aliye kwisha zaa anapewa nafasi ndogo sana ya kuolewa kuliko mwanaume mwenye mtoto?
Kabla hujamnyoshea kidole Mama mwenye mtoto ila hana mume kwanza jiulize mazingira ya yeye mpaka kukaa peke yake na mtoto.
Sio kila mwanamke mwenye mtoto bila mume basi ukajua alikuwa MALAYA...
UKITAKA NDOA YAKO IWE YA FURAHA, ZINGATIA KANUNI YA MFANANO
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Andiko hili nimeliandika kuisaidia jamii hasa kuponya fikra za wale ambao bado hawajaoa/kuolewa. Bila shaka andiko hili litakusaidia kwa sehemu kubwa ikiwa utalizingatia.
Moja ya makosa makubwa yanayofanywa...
Wajuvi wa mambo inakuwaje kuwe na mlolongo wa aina hii.
Je ni sheria? Ama mila na desturi zinazoweza achwa.
Mantiki yangu:
Kuna umuhimu wa kupitia hatua zote hizo na si kupotezana muda labda mniambie why?
Natoa kishika uchumba cha nini au kina maana gani?
Natoa mahali ndo nitangaziwe uchumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.