ndoa

  1. JACKLINE CELESTINE KITALE

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini ndoa nyingi za nyakati hizi huwa hazidumu

    Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana. Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe Kiba maarufu kama “ALIKIBA” na mke wake kutoka Kenya , na ndoa ya Judith Wambura maarufu kama...
  2. Cheguevara Jr

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu inateketea

    Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2. Mke wangu ni mtumishi chuo kikuu(mwalimu)na mimi...
  3. Kilenzi _Jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa kijana yeyote anayetaka Kuingia kwenye mahusiano ya Ndoa.

    Mpendwa rafiki yangu, Zama ambazo vijana wengi wanahangaika kumpata mtu sahihi ni zama hizi kwa sababu watu wengi wanakuwa wanavaa barakoi yaani mask katika nyuzo zao hivyo ni ngumu kumjua yupi ni mtu sahihi kwako kama ukiingia kichwa kichwa. Watu wamekuwa ni wa kufanya maamuzi kwenye eneo la...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudumu na kuishi maisha ya furaha na mwenza wako

    Hivi unakumbuka mara ngapi ulishawahi kumwambia maneno mazuri mwenza wako na yakamkosha hadi akafurahi? Hakuna Siri ya kwanini fulani amedumu na ana furaha katika maisha yake ya mapenzi. Unaweza kufanya vitu mbalimbali ili kuhakikisha unakuwa na unaishi kwa furaha na kudumu katika mapenzi...
  5. Nigga What

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni makini

    Kuna rafiki yangu wa karibu ameanza kuhangaikia talaka baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka mitatu. Amejaaliwa maisha mazuri kiasi na mwanamke mzuri sana ambaye amepata nae watoto wawili. Kisa cha bwana huyo kuhangaikia talaka ni mwanamke kumsaliti na mwanaume mwingine ambaye amethibitishwa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maumivu wakati wa tendo la ndoa

    Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu. Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti. Mda mwengine...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi sasa suala la ndoa wamekuwa wakilisikilizia kwenye bomba?

    Wazee wetu wa zamani walidumu sana katika ndoa zao labda kwasababu wanawake walifundishwa kuwatii waume zao huku mfumo dume ukiwa umeshika hatamu katika jamii zetu. Lakini sasa imekuwa tofauti kwani kumeonekana kukiwa na wimbi kubwa la talaka na pia wanawake wengi kukosa bahati ya kuolewa labda...
  8. Ukwelinasema

    JamiiForums Tanzania Amenichumbia lakini hataki Ndoa

    Habari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa. Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa, mimi na mwenza wangu tuna miaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa. Kama mjuavyo, desturi zetu za...
  9. mshale21

    JamiiForums Tanzania Ubakaji kwa wenza walio katika ndoa ina maana gani?

    Wakuu, ni matumaini yangu kuwa hatujambo wote! Yawezekana nikawa mgeni, lakini ninastaajabu Sana ninaposikia eti mtu yupo katika ndoa na anabakwa na mwenza wake waliojenga ndoa pamoja! Niliziona taarifa katika tovuti ya BBC, zikimwelezea mwanaume mmoja ambaye alikuwa akielezea kwa maskitiko...
  10. SOUND SYSTEM

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu changa inataka kuniua

    Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana. Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa yaliharakishwa na kumpatia ujauzito akiwa mwaka wa pili chuo. Matatizo sasa yanaanzia hapa: 1. Baada ya kumuoa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa kambi ya Mabachela TBC: Mtangazaji Asheri Thomas Mwaipopo afunga Ndoa

    Asheri Mwaipopo ni mtangazaji wa TBC na amefunga Ndoa takatifu na Godliver David Yanga kwenye Kanisa la Baptist Kolosai huko Wilayani Tunduma Mkoani Songwe
  12. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa huwa zinaua ndoto zenu za maisha?

    Wajumbe Wazima? Ni yuleyule Mr. Liverpool from Anfield. Baada ya salamu hebu twende direct kwenye mada. Kwanini mkishaoa huwa ndoto zenu zina kufa? Scenario 01:- Walimu wa2 from Songwe. Hawa jamaa nilikutana nao 2012 Tunduma, tukawa marafiki. Kwenye maongezi yetu nikagundua waliajiriwa 2011...
  13. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wa kubadilisha namba ya simu baada ya harusi?

    Hivi kuna ulazima wowote wa kubadilisha namba ya simu baada tu ya kuoana? Nyie mnaobadilisha sababu gani inawafanya mbadilishe namba zenu za simu?
  14. Granted Faith

    JamiiForums Tanzania Wapenzi walioanzia Chuoni ndoa zao zinadumu sana

    Ukipata nafasi oa/olewa na mpenzi wako ambaye mpo wote chuo sababu mnajuana uhalisia. Tafiti isiyo rasmi inaonesha waliooana na wapenzi wao wa chuo ndoa zinadumu sana. Na Ndoa nyingi za wapenzi walioanzia chuo zilidumu sana.
  15. KANYEGELO

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnajua muda mwingine mnakwaza?

    Hii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu bure[emoji2219][emoji2219]mtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa milioni mbili,unapanga ndoa ya milioni 20 Wakati wewe mwenyewe hata hela ya suti unategemea uchangiwe...
  16. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu alibadilika baada ya kumfungulia biashara. Nifanye nini kuokoa ndoa yangu?

    Habari za Jumapili wanajamvi. Niende Moja kwa Moja kwenye mada inayoniumiza kichwa mpaka nakosa amani ya moyo kwa muda wa week sasa. Mimi na mke wangu tangu tufunge ndoa huu ni mwaka wa tisa. Hatukuwahi kuwa na migogoro mikubwa ingawa mikwaruzano ile midogo ilikuwepo. Sasa katika kipindi cha...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ndoa kati ya Kampuni za Mawasiliano na Serikali kuhusu tozo ni kichomi kwa Wananchi

    Ndoa kati ya kampuni za mitandao ya simu na serikali inayohusu tozo kwenye miamala mbalimbali inayofanywa kwa njia ya simu, pamoja na ndoa kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) zimekuwa ni ndoa kichomi kwa wananchi kutokana na mlundikano wa kodi...
  19. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

    Wasalaam, Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake. Kuna jamaa mmoja kwenye Ofisi yangu ya zamani alifunga ndoa kwa sherehe kubwa na baada ya miezi mmoja akawa anadaiwa karibia na kila...
  20. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anapobadilika na kupunguza hamasa za kimapenzi ni nini cha kufanya ili kumrudisha kama zamani?

    Kuna tabia ambazo tuseme ukianza kuziona kwa mtoto wa kike ambae ni mpenzi wako kama ilivyokuwa zamani unajua hapa kuna kitu hakipo katika penzi lenu kama zifuato. Hakutafuti usipomtafuta, unapoanzisha mawasiliano na yeye anaonekana hajisikii kuzungumza na wewe. Unapomueleza hisia zako wala...
Back
Top Bottom