ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Je hivi ndio vyakula vinavyoweza kuimarisha tendo la lako la ndoa?

    Je hivi ndio vyakula vinavyoweza kuimarisha tendo la lako la ndoa? 12 Julai 2019 Imeboreshwa 25 Aprili 2021 CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Kama kungekuwa na ushahidi kwamba chakula cha aina moja kinaweza kuimarisha tendo la ndoa na kukuzidishia hamu, huenda kungekuwa na uhaba wa chakula hicho...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoa za masikini zinapitia changamoto nyingi sana, kuanzia nafasi ndani ya nyumba.

    Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake. Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za uvunjifu wa ndoa na muarubaini wake

    CHANZO CHA UVUNJIFU WA NDOA NA MUARUBAINI WAKE. Katika mambo yanayowadumbua watafiti mpaka leo hii ni suala la kuvunjika kwa ndoa makundi kwa makundi. Kipindi Cha nyuma enzi za mababu zetu ilukuwa jambo la kustaajabisha kumuona mtu kamtaliki mkewe na kuibua maswali mengi bila majibu, lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Nimenasa kwenye ulimbo wa ndoa natamani kutoka nashindwa

    Mimi ni kijana ambaye tayari nina miaka 30, nilifunga ndoa yangu mwaka 2019. Ndoa yangu imekuwa ya furaha kwa miezi 6 pekee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sijui ni kwanini. Nakumbuka siku moja natoka zangu kazini namkuta wife kajamu, nilipouliza kulikoni sikupata jibu, kuanzia hapo hatuna...
  5. JamiiForums Tanzania Ya Metacha na mke anaemfanyia jeuri mume wake wa ndoa

    Ukiona mke wako anakufanyia jeuri /kiburi Wala usifikiri anazuzuliwa na MTU maana... Kanakuwaga kajinga jinga Fulani hivi kasiko Na mbele Wala nyuma. Ukitaka ku prove ninacho kwambia, wewe ukiona analeta jeuri muache aende zake tafuta mwanamke mwingine Kazi iendelee. Metacha Kwa jeuri Na...
  6. JamiiForums Tanzania Uchumba sio ndoa muda wowote unavunjika hivyo ishi na mchumba wako kwa akili

    Jamani,hii ni kengele ya tahadhari kwa wapenzi mlio katika mahusiano zaidi ya miaka mitatu mkiwa wachumba. Kibongobongo tunaita uchumba sugu ambao umeshaliza watu wengi kwani katika kipindi cha uchumba vijana hujifanya wanaekeza kwa wachumba wao vitu vya gharama, wapo wengine walizalishwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kisa cha ndoa ya Mpemba Swala Tano na mwanamke mchaga mkatoliki mwenye msimamo mkali

    Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali... SIKU WALIYOKUTANA KIMWILI KWA MARA YA KWANZA. Kati Kati ya tendo la Ndoa yule mwanamke Kwa kuzidiwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya ndoa

    Augustine Makule na Mpenzi wake Rose Kimaro wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya siku ya harusi yao. Ajali hiyo ya pikipiki iliyotokea eneo la zuzu Dodoma na kupelekea kijana Agustino kukatwa mguu wake wa kulia na vidole vitatu...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ndoa na Mafanikio

    UMUHIMU WA KUJIANDAA NA MAISHA YA NDOA Katika kumuumba kwake mwanadamu, Mungu aliweka utaratibu wa kuwepo mahusiano kati ya mwanamume na mwanamke , ili kuendeleza uzao kwa wanadamu, kuwaondolea upweke na kuwatunukia utulivu, faraja, huruma, mapenzi, upendo na ushirikiano. Kutokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa: Baba Mchungaji anawakumbusha vijana wetu wa kike na wa kiume misingi imara kwa mahusiano na ndoa imara

    Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje? Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu? Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila kufuata taratibu? Ni kushindwa kulipa mahari au kushindwa kujua faida za kufuata taratibu? Wazazi...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Katika ndoa kuna wajibu, haki, majukumu na utaratibu wake katika maisha

    UMUHIMU WA KUJIANDAA NA MAISHA YA NDOA Katika kumuumba kwake mwanadamu, Mungu aliweka utaratibu wa kuwepo mahusiano kati ya mwanamume na mwanamke , ili kuendeleza uzao kwa wanadamu, kuwaondolea upweke na kuwatunukia utulivu, faraja, huruma, mapenzi, upendo na ushirikiano. Kutokana na...
  12. JamiiForums Tanzania Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

    Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako. Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika. Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura...
  13. JamiiForums Tanzania Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako

    Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote Kila jambo huwa na uzito wake, hasa mambo ya kheri huwa na uzito sana ukizingatia kuwa sheitwani naye ana mchango...
  14. JamiiForums Tanzania Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

    Anakuwa na sifa hizi:- Anakuwa mnyenyekevu Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni Ukitaka kumtoa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wenye funzo kwa wanawake *Majuto ni mjukuu*

    MAJUTO NI MJUKUU Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

    Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje. Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Wazazi tuache kuharibu ndoa za wenetu

    Habari za wakati huu wan JF. Nimekuja na kitu kingine, sio kipya ila nilikiandika kwa sehemu tu na nikaona imepata mwitikio mkubwa sana, hivyo nikaona kuwa nina wajibu wa kuandika zaidi ili kudadavua uzi wangu. Imekuwa ni kawaida kwa watu wanapooana kwa ndugu kuja kukaa na Wana ndoa hao hasa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Walimu na manesi wengi hawako 'single'?

    Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya miaka mitano kuwa 'single'. Wakuu nauliza kwa nini inakuwa hivyo, au wao wanajua sana kupenda, au...
  19. JamiiForums Tanzania Kosea vyote, usikosee mume

    Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu. Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao. Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanawake huwa na agenda ya siri kwenye ndoa?

    Salaam wanaJF! Kuna riwaya moja, nilikutana na mtazamo huu kuwa wanawake huwa na agenda za siri kwenye ndoa zao na sio Mapenzi. Kuwa na agenda ya siri haimaanishi kuwa ni nia ovu, bali ni sababu halisi na sio inayosemwa/kuonekana. Je, hili lina ukweli kiasi gani? Esi’s main problem was that...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…