ndoa

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo unayotakiwa uyaelewe kwenye mahusiano ya mapenzi na ndoa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kutokana na umri wangu sio rafiki tena. Acha nifupishe. Unapoingia kwenye mahusiano ya mapenzi ambayo unataka yawe serious na au unaingia kwenye ndoa na unataka utulivu. Kuna mambo lazima uyajue na kuyaelewa. Mambo hayo ni kama ifuatavyo; 1. Hisia hubadilika...
  2. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa darasa la Saba alikatishwa masomo kwa ajili ya ndoa

    Nilipokuwa darasa la Saba mwaka 2011, tulishuhudia mwanafunzi mwenzetu akisitishwa masomo ili arudi nyumbani Skonge kwa ajili ya ndoa. Hii ilikuwa mshangao mkubwa kwetu sote, hasa ikizingatiwa kuwa tulikuwa tunakaribia mitihani ya mwisho ya NECTA na wazazi wake tayari walikuwa wamemlipia ada...
  3. Hazard CFC

    JamiiForums Tanzania Ndoa zinakufa kila kukicha siku hizi

    Mitaani huku ndoa zinavinjika kila kukichaa, leo asubuhi nimekutana na magazeti mawili mmoja mke wa rafiki yangu na mwingine mke wa mjomba wangu wote wanataka kutundika daruga nimekosa cha kuwashauri maana mimi mwenyewe ni mhanga miezi kadhaa iliopita nimepigwa pia na kitu kizito... Sababu...
  4. Endasak Masqaroda

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu walio kwenye ndoa wanahangaika na wasio na ndoa?

    Habari za asubuhi wana JF Bila kupoteza muda, moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwanini watu waliooa wanahangaika na watu wasiooa? Mwanaume asiyeowa anaonekana kuna jambo analiepuka bila sababu. Kwanza muelewe kila mtu ana sababu zake. Maneno yamekuwa mengi kwamba wanakimbia majukumu, hawajakuwa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ugiriki yahalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja

    Ugiriki imekuwa nchi ya kwanza yenye Wakristo wengi wa Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja. Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi. Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis alisema sheria hiyo mpya "itakomesha kwa nguvu...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzee atakuwa hatari kweli Usaliti wa ndoa

  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Wanawake kimbia Ndoa zenye usaliti

    Mwanadada Mentor Cherry, amewahasa wanawake wenzake kutovumilia usaliti kwenye ndoa kwa kigezo cha kwamba Mwanaume hatosheki. "Kumekuwa na maneno ya kuwa Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja n.k ila ukweli ni kwamba hata Mwanamke pia hatosheki na Mwanaume mmoja isipokuwa ni anaheshimu...
  8. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa. Leo wamepata point 3 ugenini, ilikuwa hivi...

    Uanaume ni mateso, yaani mababu zetu ndo walifurahia uanaume ila siku hizi ni mateso mara mia. Nina jamaa yangu aliyumba kdg kiuchumi baada ya kuachishwa kazi miaka minne imepita, jamaa alikuwa ana hela kinoma, mke aliomuoa kwa ndoa ya mapepe mengi akamwomba amfungulie biashara huku yeye...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mliopo kwenye ndoa na mnaotarajia kuoa

    3 Lakini fahamu jambo hili: kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. 2 Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, watukanaji, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio na utakatifu; 3 wasio na ubinadamu, wasiopenda...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

    Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa. Kwa wanaume, una pesa, una watoto. Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi . 1. Usalama wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayetembea naye uolewa; nina nyota ya ndoa nimesaidia wengi waliokata tamaa

    Kuna mambo ukisimulia watu wanaweza wasiamini ila yapo. Nimetafakari sana kuhusu kusaidia kuolewa kwa wanawake. Nimekuwa nikikutana na wanawake wengi tunajadili maisha hasa sehemu za ulabu. Matokeo yake zaidi ya wanawake 85 niliokutana nao wakiwa na changamoto ya kutoolewa nikatembea nao...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wengi wa kileo wanapotosha masomo ya ndoa akiwemo pastor Tony

    Ndoa msingi wake ni upendo bila kujali nani ana ajira, ana biashara, ana cheo au hana kitu. Na jukumu kubwa la mwanaume ni kumpenda mke wake(upendo ndani yake kuna wajibu wa kucare umpendaye). Mwanaume ndiye anapaswa kuleta mahitaji yote muhimu kwenye familia yake kwa kadri ya nguvu na akili...
  13. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye faida na mwanamke mzigo katika mahusiano au ndoa

    Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika. Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea kuwaita wanaume wote mbwa kumbe kosa ni lako mwenyewe. Na kaka yangu pengine na wewe umeendelea...
  14. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa School of Thought, ni upi mtazamo wenu juu ya Masuala haya?

    Inatambulika dunia kote, toka dunia hii imeanza—haijalishi kwa dhana ya Uumbaji wa Mungu au Evolution ya kisayansi— Baba, Mama na Watoto (Familia), ndio imekua jumuiko la kwanza, kuu na la msingi la wanadamu. Siku hizi kumeshamiri wimbi [si geni kihistoria] la kupinga Uwepo wa Familia ya Baba...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sadio Mane amruhusu mkewe kwenda kusoma chuo, siku chache tu baada ya ndoa. Tumwambie au tumwache?

    Anachokifanya Sadio Mane kwa mkewe kinaweza kumgharimu sana. Maana dunia hii ni tambara bovu, linaweza kuchanika mahala asipotarajia. Eti kamruhusu mkewe aende chuo akaendelee na masomo ili hali wamefunga ndoa hivi majuzi tu. Na mke hana mimba wala nini. . Vyuoni kuna wakware waliopinda...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Utafiti kwa kusoma Hukumu za Divorce Tanzania Ndoa nyingi zina migogoro sababu ya Dharau, Financial reasons ( Pesa) Na extended Family hasa mama wakwe

    habari wadau nilikuwa na utafiti binafsi wa mambo ya ndoa kwa ajili ya kukamilisha research thesis for academic reasons. nilifika Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia Temeke na kufanikiwa kuomba nakala za hukumu mbali mbali za kesi za ndoa ili zinisaidie utafiti wangu. katika kusoma kwangu...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa linalofanyika kwenye uchumba linalopelekea ndoa nyingi kuwa na migogoro sugu

    Hello! Kwakuwa wadada wengi hufanya ndoa kama fashion au kama ajira basi wako tayari kufunga ndoa na mtu yeyote ilimradi tu anapumua na anaweza kumudu bei ya sukari na ugali basi. Turudi kwenye mada. Kosa hilo ni kwa wachumba kutokutaja amri zao kuu (msimamo mkuu). Mfano *Nitakusamehe kila kosa...
  18. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ndoa imekuwa Transactional, Muimba Gospel maarufu Nigeria Moses Blis alalamikiwa na wanawake kwa kumchumbia binti mambo safi na kuwaacha wa kanisani

    habari wadau. baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka jana. Limeibuka kundi kubwa la wanawake wa ki nigeria mtandaoni wakimlalamikia muimbaji huyo kwa...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa

    Leo niwasaidie hili pengine we n mhanga wa hili eneo kwenye ukoo wenu nawiwa kuongelea hili maana mmoja wa waathirika wa hili. Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa ndugu. Ndoa nyingi zimeathirika na laana ya ukooo na sio kulogwa wala mengineyo Kaa na wazazi wenu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Sendiga: Mikataba ya Mkoa wa Manyara ni kama ndoa ya kikatoloki, umejifunga

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, leo Januari 22, 2024, ameshuhudia Hafla ya utiaji wa Saini Mikataba 7 yenye Thamani ya Bilioni 2.3. Mikatabia hiyo itahusisha ujenzi wa lami, ujenzi wa barabara za changarawe, madaraja na matengenezo maalumu katika mtandao wa barabara...
Back
Top Bottom