ndoa

  1. D Mtanzania

    JamiiForums Tanzania NDOA NDOANO

    Fungukeni Kama Vase za Dizasta vina, Wengi Wamepita Wanalia na kutovumilia na kuachana na Wenza wao . Tumeona Wasanii Mbali mbali wameachana na Wake zao Kama Alikiba,Omydimpoz,Nay wa Mitego nk
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yakuzingatia kwa vijana katika ndoa

    Ushauri kwa vijana kuhusu ndoa ni muhimu, kwani ndoa ni hatua kubwa inayohitaji maandalizi ya kiakili, kihisia, na kifedha. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Kujitambua na Kujitayarisha Kabla ya kuingia kwenye ndoa, ni muhimu kwa kijana kujitambua, kujua malengo yake maishani, na kuwa na...
  3. Me and me

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa wamekataa kile wanachokiita Utumwa katika ndoa lakini wamekubali Utumwa katika Pesa

    Salaam, Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz. Pia wanapinga vikali Suala la mahali kwamba ni kana kwamba Mwanamke ni Bidhaa inayoweza kununuliwa. Lakini...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

    Ohoo! Kwa masharti haya, jamaa kamix kinoma. Anauliza kila mtu kuwa "huyu mwanamke karogwa nini?" Mke naye haelewi, anadai huo upuuzi wa kunyonya na kuyashika manyonyo yeye hataki kwa kuwa huwa unazeesha matiti. Na pia hataki kuchorongwa na kidole maana mdomo wa "kipochi manyoya" huwa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zuchu amuwekea Diamond Platnumz sharti zito kabla ya kupata mtoto pamoja

    Wakuu Zuchu kaweka kikwazo, tusubiri Diamond kama atakivuka 😆 Staa wa Bongo Fleva, Zuchu amempa sharti la ndoa Diamond Platnumz ndio waweze kupata mtoto pamoja baada ya Nyota huyo kumuuliza kama anamuamini na atamzalia wakiwa jukwaani wakitoa burudani ya muziki kwenye usiku wa kuamkia Oktoba...
  6. Maleven

    JamiiForums Tanzania Wanaoisifia ndoa ni wale ambao hawajaingia

    Faraja ha ndoa ni watoto tu, the rest is bullsht, even sex isn't fun anymore once you are in marriage. Babati mbaya kuna hakuna reverse gai. Kabla ya kuoa mwanamke ankua kama malaika vile, ukiinga ndani eeh ni kashetani kadogo hivi ulikokaleta ndani. Sema jf wengi watajifany waki happy na ndoa.
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa wanaozalisha wanawake wachukuliwe kama wahujumu uchumi

    Wanaume au vijana wote wanaokataa ndoa halafu wanazalisha mabinti wa watu nafikiri wachukuliwe kama zaidi ya wahujumu uchumi, hawa ni aina fulani ya waharibifu wanaotakiwa kulaaniwa, kupingwa na kukataliwa na jamii kwa ujumla.
  8. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Wazungu walikataa mfumo wa ndoa wa asili sasa wameangukia kwenye ushoga

    Kinachotokea ulaya hakijaja kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya watu kukataa mfumo wa asili wa ndoa ya mwanaume na mwanamke Asilimia kubwa ya mafeminist ni wasagaji na asilimia kubwa ya wanaume wanaokataa ndoa wanahatari ya kuangukia kwenye ushoga Kuvunjika kwa maadili kulikokithiri zama hizi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Watu wa kataa ndoa hii tunaiitaje!?

  10. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Gwajima, sikia kilio cha Watoto wanaofanyiwa ukatili, Ubakaji, mimba, ndoa za Utotoni Uyui (Tabora)

    “Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze kuingia kwa ajili ya kufanya mapenzi wakati yeye bado ni mwanafunzi.” Ni sehemu ya simulizi ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

    naomba mnisaidie kujibu ili swali maana watafiti hewa wamenichanganya na mchoro wao huu chini
  12. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ukila na kipofu usimshike mkono!

    Mhadhara - 46: Upo msemo ambao unasema; "Ukila na kipofu usimshike mkono", lakini pia "Usimnyapie kuku kwenye majani makavu". Kama umebahatika kujipenyeza kwenye ndoa ya mtu au mahusiano ya mtu kwasababu ya faida zako basi punguza mbwembwe, la sivyo utakatwa mapanga mchana kweupeee au utupiwe...
  13. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

    Huu uzi naundika mahususi kwa kwasababu ya mdau mmoja ambaye anatupigia sana makelele hapa jukwaani kuhusiana na mwanamke bikira,kwa mtazamo wake anaona mwanamke bikira ndio sababu ya utengamano wa ndoa kitu ambacho si kweli kwa asilimia mia moja Kwanza ieleweke sio kwamba hatupendi wanawake...
  14. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa naona mmeamua kufika mbali h

    KUNa vitu vina tia sana uchungu
  15. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unayehitaji ndoa punguza ufundi kitandani

    Kama Binti upo kwenye mahusiano na mtu ambaye unapenda na kutamani awe mume wako unapojaribu kutengeneza mazingira ili mwamba akuweke kwenye mipango yake basi unapokuwa chumbani punguza ufundi la sivyo utakosa ndoa. Wakati wa kuonyesha ufundi ni pale ushapata ndoa tena sio ghafla bin vuu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutumia condom kwa usahihi wakati wa tendo la ndoa (kujamiana)

    Kutumia kondomu kwa usahihi ni muhimu kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa ya 1. Kagua kifurushi: Hakikisha kifurushi cha kondomu hakijapasuka au kuharibika. Angalia pia tarehe ya mwisho wa matumizi. 2. Fungua kwa uangalifu: Fungua kondomu kwa upole kwa kutumia mikono yako. Epuka kutumia meno...
  17. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Tujifunze Busara za wahenga wetu kwenye ndoa

    Wazee wa zamani walikuwa wakitoka safari ya siku nyingi walikuwa Hawa fikii nyumbani hapana wanafikia vilabuniii Kisha Wana mtuma Mtoto apeleke begi nyumbani ili mke ajue mumewe kafika Kusudi mke aandae mazingira vizuli Yani Kama mchepuko alisahau car wash, soks,viatu,au suluwali ndani mke...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa ndoa

    Siku mbili tangu ziibuke taharuki na malumbano katika Mtaa wa Mabibo Wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam baada ya nyumba zaidi ya nne na fremu zaidi ya tano kuvunjwa licha ya Mahakama kutoa zuio kwakuwa eneo lina mgogoro kati ya Mume na Mkewe. Anayedaiwa kununua eneo hilo amerudi tena na...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Madhara na Athari za Punyeto Zawaumbua na Kuwafedhehesha Vijana Wakiwa Ndani ya Ndoa Zao

    Unaweza kuhitimisha kwa kusema, Inafedhehesha sana, Inasikitisha sana, Inasononesha sana kwakeli. Uzuri wanakiri wenyewe kupiga nyeto kwa muda mrefu sana. Ni aibu mno ndrugu zango.. Hivi sasa wanajutia nguvu imara sana za kijinsia, walizopoteza bafuni kwa nyeto kwa uhodari sana, lakini pia...
  20. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Mtihani: Siyo kila anayeoa au kuolewa anataka Ndoa. Jadili

    Kukaa kwenye dawati kufungua ukurasa kwa kwanza tu wa kitabu cha mtihani wa Utu Uzima. Hilo swali la kwanza. Jadili. Hakuna kuchagua na hakuna "kweli si kweli". Yaani watu wanafunga ndoa ili kiwe nini. Kuzaa watoto? Kupata free kula/la/na? Kuwa na hadhi katika jamii? Kutimiza wajibu? Au ni ile...
Back
Top Bottom