Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.
Idadi ya waliokufa kwenye ajali ya ndege ya kijeshi ya Ufilipino aina ya C-130 imeongezeka na kufikia 50 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatatu Julai 5, na maafisa.
Idadi ya waliokufa kwenye ajali ya ndege ya kijeshi ya Ufilipino aina ya C-130 imeongezeka na kufikia 50 kwa mujibu wa...
Katika utaratibu wa kawaida huwezi kuingia kwenye ndege bila barakoa. Huu niutaratibu mzuri sana ambao tumeuzoea tu. Cha kuchekesha hapo ni kwamba baada ya kufika juu, abiria mneletewa chakula na barakoa zote zinavuliwa na maisha yanakuwa kama kawaida.
Rais wetu kipenzi,
Kabla ya mambo kubadilika, kulikuwa na mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege eneo la Omukajunguti mkoani Kagera. Huu mradi ulilenga kuziunganisha nchi za Afrika Mashariki, lakini si hivyo tu mama, kama umeenda Bukoba umeona ni jinsi gani ndege zinastrugle kutua katika...
Ndege ya abilia ya ufaransa Air france ilitekwa nyara na magaidi wa kipalestina wakiongozwa na mjeruman Wilfried "Boni" Bose. na mwanamke Brigitte Kuhlmann, Ndege hiyo ilitua Benghazi na mwishowe Entebe.
Subiri basi uone wiki ijayo(yaani baada ya siku sita za majadiliano) kitatokea nini...
Helikopta ya Jeshi la Kenya aina ya Mi 171e iliyokuwa katika shughuli za mafunzo imehusika katika ajali kwenye milima ya Ngong, Jimbo la Kajiado eneo la Bonde la Ufa.
Jeshi la ulinzi la Kenya (KDF) limethibitihs ajali hiyo katika mtandao wake rasmi wa Twitter na kuongeza kuwa shughuli za uokozi...
Hivi karibuni kulikuwa na habari kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi, inayosema usafirishaji nje wa bidhaa kutoka China uko kwenye hatihati, na makontena yamekwama kwenye bandari za mkoa wa Guangdong (Shekou, Chiwan na Nansha) kutokana changamoto ya virusi vya Corona...
Nadhani makosa yaliyotunguliwa na Biswalo Mganga dhidi ya watu mbalimbali kinyume Cha haki na bila upelelezi kukamilika kwa miaka kadhaa yanatia kichefuchefu na kujiuliza amepandishwaje kuwa Jaji?
Mfano mdogo, watuhumiwa wanadaiwa kukutwa na nyara za serikali( ndege aina ya Tausi) na wanawekwa...
Katika kipindi cha maswali na majibu, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, amesema Naibu Waziri hawezi kusema kitu tofauti na alichozungumza Rais.
Amesema hayo baada ya Mbunge Kunti Majala kuhoji ni lini Serikali itajenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato akisema haupo kwenye Bajeti...
Raia mmoja wa China mwenye umri wa miaka 41 amethibitishwa kuwa na kisa cha kwanza cha maambukizi ya homa ya ndege isio ya kawaida.
Maafisa hawakutoa maelezo kuhusu jinsi mtu huyo alivyoambukizwa virusi hivyo vya H10N3 ambavyo vinadaiwa kusambaa kwa urahisi miongoni mwa wanadamu.
Mkaazi huyo...
Bundi ni ndege kama ndege wengine, wengi hawajafahamu faida zinazopatikana katika ufugaji wa ndege hawa.
Soko la bundi ni kubwa kuanzia kwenye mayai, ndege wenyewe. Soko kubwa la ndege hawa liko Afrika.
Jamani tangu Ijumaa kupata ticketi ya Mbeya to Dar es Salaam ni shida sana.
Sijui kwanini au watu wanasafiri sana hizo siku?
Si Ndege za Presicion wala ATCL
Je, Kuna nini?
Ndege kutoka Mumbai hadi Dubai ilipaa na kuanza safari ikiwa na abiria mmoja pekee. Mtu aliyesafiri peke yake katika ndege ya kuwabeba abiria 360.
Wanaotokewa na tukio kama hili, huchukuliwa kuwa 'bahati nzuri'.
Mahali: Uwanja wa ndege wa Mumbai
Saa: Kumi kamili
Abiria: Bhavesh Zaveri...
Ununuzi wa Ndege ya Rais umeibua mjadala Nchini humo ambapo Wanachama wa Asasi za Kiraia na Upinzani wametaka kuwepo uwajibikaji katika ununuzi wa Ndege hiyo aina ya Airbus A320 Neo itakayowasili Julai.
Msemaji wa Serikali, Oumar Guèye amesema Ndege iliyopo imekuwa ya kizamani huku gharama za...
Director of Ops mstaafu wa Air Tanzania Captain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda.
=====
Mwaka 2019 Kapteni Mapunda ambae ni rubani mstaafu alitunukiwa tuzo na Rais Magufuli kwa uzalendo wa kutorosha ndege ya Tanzania baada ya kuvunjika iliyokuwa Jumuiya ya...
Serikali imeongeza sehemu za kutolea huduma ya upimaji wa virusi vya corona katika viwanja vya ndege kutoka mbili mpaka 10 na kuanzisha huduma ya ulipaji kwa njia ya kielektroniki
Maboresho hayo yamefanyika siku chache baada ya abiria wanaowasili nchini kulalamika kuwa wanakaa muda mrefu...
Leo Krav Maga nipo Kiuchumi (Kiubahili) zaidi hivyo nawataka Political and Economic Pundits wa JamiiForums hapa mnidadavulie Kiundani ili nijue nani anauharibu Uchumi na nani pengine ndiyo anaukuza Uchumi.
Na tafadhali mtakaokuja Kunichambulia (Kunidadavulia) hapa mnipe Gharama ya Mafuta ya...
Umuhimu wa uwanja wa ndege wa Chato umezidi kuonekana baada ya kuwa kiunganishi kikubwa kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Leo hii kiongozi akitoka Dodoma anatua Chato na kisha kuelekea eneo lolote la maeoneo ya kanda ya ziwa.
Makamu wa rais akiwasili Chato kisha kuelekea Kigoma kwa kazi za chama.
_Yani nga inalenga pale pale
_ Hakuna jengo la jirani lililoathirika.
Hii inawezekanaje...?
_Na hawa wachukua video walijuaje kama hilo jengo linakuja kuripuliwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.