ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania NDEGE ILIYOTUMIWA NA MARAIS WA AWAMU TANO TANGU MKWA 1978

    http://www.instagram.com/reels/DebDD9wMILE/?hl=en
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yakubali kuzuia marubani na wahudumu wa ndege wa kiislamu

    Hatimaye dunia imeanza kuongea lugha moja dhidi ya huu ugonjwa ambao umeikumba dunia kwa miaka 1,400 sasa. Macho yanaanza kufunguka taratibu, itachukua muda lakini. Kitambo tulikua tunadhani haya mambo hufanywa na watu wasiokua na elimu, lakini hebu waza rubani mtu mwenye elimu yake anajitoa...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ninini maoni yako kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar?

    Je, unadhani zipi zitakuwa Faida pamoja na Changamoto za kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar? Picha kwa hisani ya Akili Mnemba
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilianzia Kama Utani: Raia wa Nigeria Afariki Angani Akirejea Nyumbani Ndani ya Ndege ya Kenya Airways"

    Tukio la kusikitisha limetokea angani ndani ya ndege ya shirika la Kenya Airways (KQ) iliyokuwa ikisafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), Nairobi kuelekea Lagos, Nigeria, baada ya abiria mmoja wa kiume kupoteza maisha kabla ya ndege hiyo kutua. Jinsi Tukio...
  5. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Tukio la kigaidi ya ndege fly Dubai ilikuwa vita ya miungu miwili.

    Watu Tik tok wanachekesha sana. Wanadai lile tukio la kigaidi la Fly Dubei kati ya marubani wawili raia wa Omani na India ilikuwa vita kali kati ya miungu wawili maarufu Krishna na Allah. Hatimae Krishna akaibuka mshindi baada ya Mungu wa kweli Yahweh kuingilia kati na kutuliza huo mpambano na...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ndege yatua kwa dharura Kilimanjaro International Airport baada ya kugongana na Pundamilia

    Ndege iliyotajwa kuwa Embraer 125, yenye usajili 5H-HLL, imetua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo, Oktoba 4, 2026, baada ya kuripotiwa kupata hitilafu kwenye mfumo wa magurudumu ya kutua. Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imethibitisha kutokea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimeota Kiongozi au mtoto wa kiongozi Fulani kupata ajali ya ndege

    Hii ndoto imekuwa ikinijia sana mara nyingi kuwa kiongozi au familia ya kiongozi fulani ikiwa imepata ajali.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi imenikatalia kwenda Mbeya kwa ndege kwa sababu ya ukubwa wa nauli - ATC sio lile shirika la Watanzania masikini alilolikusudia Magufuli!

  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Breaking news: ndege yatua na tumbo Kilimanjaro airport

    Tunafuatilia taarifa kutoka kwenye mamlaka husika kuhusu ajali ya ndege aina ya Embraer 120 iliyotua kwa tumbo katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro jioni ya leo. Kwa sasa hatuna taarifa nyingine .
  10. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje rubani msomi anahamasika na mafundisho ya dini kuwa akidondosha ndege iliojaa wayahudi na kufa nao basi ataishia kupata thawabu mbiguni

    Lakini pia inanikumbusha hata hapa nyumbani tuna maprofesa na wasomi wajinga mno ambao hata dogo wa form 2 anawashangaa sana. So sishangai.
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huyu susan mutami ni nani? Alitabili kuwa wicknell (bonge) atakufa katika ajali ya ndege na akaambia watu wa-save post yake huko x na imetokea kweli

    Jus a coincedence?
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Kama ilivyo siku hizi, karibu kila mtaa kuna dereva wa gari au pikipiki. Ni vyema tukajitahidi kujifunza hata basic za ku-control ndege. 😂 Unakuta pilots wamepigana au wamekufa, nyie abiria mnaangalia tu. Mnashindwa hata mmoja kushika controls kwa sababu hakuna anayejua kuendesha ndege. Mwisho...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

    Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena. Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TAA yatangaza viwango vipya vya gharama za maegesho ya magari Uwanja wa Ndege Dar (JNIA)

    Pia soma ~ Taksi Mtandao hatutendewi haki maeneo ya Uwanja wa Ndege Dar, tunapigwa faini za ajabu na kuitiwa Polisi
  16. Keynez

    JamiiForums Tanzania Dunia imebadilika sana, hata hausikii ndege zikitekwa

    Dunia ya sasa imepoa sana. Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege wakairusha hadi destination fulani salama. Wahuni walikuwa wanateka hadi treni. Yaani ilikuwa dunia fulani...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania FAHAMU MAMBO MUHIMU KUHUSU UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO

    1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02. 2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99. 3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81 ya utekelezaji. 4. Mnara wa Kuongozea Ndege (Control Tower) umefikia asilimia 74 ya utekelezaji...
  18. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku ndege ya abiria kukatiza eneo hili la Anga ya morogoro

    Ni nadra sana kukuta ndege isiyo ya kijeshi kuruka eneo hili kutokana na ukweli kwamba ni eneo la jeshi hivyo kuruka hapa kwenye hii boundary zone pasipo ruhusa jwtz komandi ya Anga hawana budi kuwatungua🫵🫵😎. Picha hii hapa inajieleza.
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuunda na kununua meli zetu kama ilivyo kwenye ndege

    Kama ilivyo kwa AIR TANZANIA sasa ni muda muafakq wa kuunda na kununua meli kubwa za mizigo ili kurahisisha utoaji wa mizigo nchini kuelekea nchi za nje. Shipping line hii imilikiwe na serikali na tuache woga wa kufanya hivyo. Tukajifunze IRAN,CHINA ,INDIA N.K....
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Miaka 5 ya Uongozi wa Rais Samia,Tanzania Yaanza Kuzalisha Smartphone na Kutengeneza Ndege Ndogo

    My Take Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu 😂😂 Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani na Nje kuanzisha Viwanda vya kimkakati kama hivi. Ushauri wangu ni tununue "Made in Tanzania",Mimi...
Back
Top Bottom