ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Viwanja 14 vinauzwa Msalato karibu na Uwanja wa Ndege Mpya Dodoma

    Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya. Ukivichukua vyote...
  2. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Naota ndege inaanguka na kulipuka

    Inajirudia Kila baada ya muda Ndege ni kubwa sana ya abiria.kama hizi za mashirika makubwa hizi Boeing Inapoteza muelekeo na kuangukia kuelekea chini na mlipuko wake mkubwa hauachi kitu. Ni zaidi ya mara moja Sielewi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za uwanja wa ndege Tanzania zinaakisi uchumi wa wananchi?

    Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani. Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka $10, kitu cha ajabu sijasikia vijana wetu wakipongeza Mama kuupiga mwingi. Kabla ziliibuka tetesi za...
  4. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Aka hapa ka ndege ya chini. Kafupi katamu , kapole kenyewe

    Hutu twa hivi ndio mambo yangu . Haka unakakula zile style za kubembeleza mtoto. Tena vinakuaga na nyapu tamu Tena mgando balaaa.
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ianzishe shirika la ndege kuchochea Utalii!

    Zanziba si tu ni nchi iliyoungana na Tanganyika kuunda Tanzania, bali ni utalii. Zanzibar inapaswa sasa kuunda shirika lake la ndege na kuchochea utalii. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Khalid Salum Mohamed amesema Serikali imeanza mazungumzo na EgyptAir kwa ajili ya kushirikiana katika...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya ndege yatokea Miami

    Ajali mbaya ya ndege ya mizigo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami watu watano wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya ndege ya mizigo ya Amazon Prime Air kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami (MIA) Jumapili mchana, ikigonga magari kadhaa na kuwaka moto...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA HII NI HABARI NYINGINE

    Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67. : 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyemshauri Samia kufanya safari za ndege DSM kwenda Urusi? Huyo mtu kama yupo, afukuzwe Kazi!

    Tunaomba,serikali ituambie imepata faida na hasara kiasi gani kwa ndege zetu kwenda urusi!
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania NDEGE KAMA HIZI BOEING HURUKA FUTI 34,000 JUU YA USAWA WA BAHARI,b NI SAWA NA VIWANJAVYA SOKA KARIBU 100!

    Kuna kitu cha kushangaza sana kuhusu safari za ndege ambacho wengi wetu hatukifikirii. Ndege kubwa za abiria kama Boeing 737 zinaweza kusafiri katika mwinuko wa karibu futi 34,000 (34,000 ft) kutoka usawa wa bahari. Lakini futi 34,000 ni kiasi gani kwa lugha tunayoielewa vizuri? 34,000 ft =...
  10. O

    JamiiForums Kenya Pasta Ng’ang’a Awaambia Waumini: “Ni Lazima Mtoe” KSh1,000 kwa Tiketi Yake ya Ndege

    Video ya Pasta Ng’ang’a akiwa mbele ya waumini imezua mjadala mitandaoni baada ya kuonekana akiwaomba kila mshiriki kuchangia KSh1,000 kwa ajili ya kugharamia tiketi yake ya ndege. Katika video hiyo, pasta anaonekana akizungumza na waumini kanisani huku akisisitiza umuhimu wa kila mmoja kutoa...
  11. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Jasusi kwenye ajali ya ndege huko Kenya

    Ipo hivi 😑😑 Taarifa za awali za habari hazikusema jambo moja muhimu kuhusiana na ajali hiyo: Mmoja wa waliokufa hakuwa mtalii. Jina lake lilikuwa Michele Sensi-Contugi Ycaza. Kwa Wakenya wengi, jina hilo huenda halikuwa na maana yoyote. Lakini nchini Ecuador, alikuwa mtu aliyekuwa na ushawishi...
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ndege inavyoanza safari Leo na kufika Jana.

    Je, umewahi kusikia kuhusu mtu anayepanda ndege leo, lakini akatua mahali anapoenda tarehe ya jana yake? Inaonekana kama muujiza au filamu ya kubuni, lakini huu ni ukweli halisi unaotokea kila siku katika usafiri wa anga ulimwenguni. Siri kubwa haitokani na kasi ya ajabu ya ndege, bali...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania China imeonyesha ndege isiyo na rubani ya KVD002!!!

    China imeonyesha ndege isiyo na rubani ya KVD002 ya upelelezi na mapigano ikishambulia shabaha ya baharini inayosonga wakati wa mazoezi ya kijeshi ya hivi karibuni, ikiashiria maonyesho ya kwanza ya umma ya ndege isiyo na rubani ikishambulia shabaha ya uso inayozunguka baharini. KVD002 imeundwa...
  14. Makebo

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya ndege 40 za Marekani zaharibiwa tokea wa mapigano ya anga ya Iran

    Mgogoro wa Iran Kikosi cha uokoaji cha Marekani kiliacha ndege mbili aina ya MC-130J na helikopta nne aina ya MH-6 Little Bird ndani ya Iran baada ya usafiri huo kuzama kwenye mchanga laini wa njia ya ndege ya kurukia ndege ya kielektroniki.Vyombo vya habari vya serikali ya Iran Helikopta hizo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ndege ya Rais wetu Gulf Stream iko wapi??

    Nani anajua ndege ya serikali maalum kwa Rais aka Gulf Stream iko wapi? Na kama ipo mbona mkuu wa nchi haitumii kwa safari zake badala yakeainatumia ATC Dreamliner?
  16. U

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, imeanza safari kuelekea Marekani muda huu

    Hatimaye komandoo Benjamin netanyau yuko hewani muda huu ndani ya ndege maalumu ya kisasa anaenda kuonana na TRUMP ikulu ya white house. Wadau kaeni mkao wa kula kwani yajayo ya afurahishwa! . msiwe na hofu taarifa zote za huko white house nitakuwa nawaletea 🔴 🛑...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hilary Mremi: Ndege ya Precision Air ilipata hitilafu ya kiufundi Julai 19, 2026, abiria wametafutiwa usafiri mwingine leo Julai 20, 2026

    Akizungumzia hoja ya Mdau wa JamiiForums.com kuhusu abiria kukwama Mkoani Kilimanjaro kwa takribani Saa 24, Meneja Masoko wa Precision Air, Hilary Mremi amesema “Ndege yetu ilipata hitilafu ya kiufundi na jitihada za kuendelea na safari yao zilifanyika, asubuhi ya leo (Julai 20, 2026)...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi nani alimshauri Hayati Magufuli ndege za mizigo zikawa mpya wakati wenzetu hugeuza zilizotumika kuwa za mizigo?

    Mungu na shetani ni samehee maana nchi niliyopo nashindwa kuelewa. Baada ya raisi trump kukataa ndege yake na kupewa ile ndenge na qatar kaona kurudia yake ya zamani. Tuje kwenye mada kuhusu mashirika ya ndege na nchi zao. Kuna mashirika makubwa na yenye uwezo mkubwa ila ubadilisha matumizi...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  20. n00b

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chivayo aiweka Kenya mfukoni? Kampuni yake yapewa dili la Dola Bilioni 2.9 kuboresha Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA)

    Kama mnavyojua, linapokuja suala la miradi mikubwa ya miundombinu (mega projects) katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki, mambo huwa hayaishi vituko. Baada ya kelele nyingi, migomo ya wafanyakazi, na kesi mahakamani zilizopelekea kufutwa kwa ule mkataba tata wa uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa...
Back
Top Bottom