ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wanaozunguka Uwanja wa Ndege wa KIA Watakiwa kuwa na Subira ya Malipo ya Maeneo yao

    WANANCHI WANAOZUNGUKA UWANJA WA NDEGE WA KIA WATAKIWA KUWA NA SUBIRA YA MALIPO YAO Serikali imewataka wananchi wanaozunguka uwanja wa ndege wa KIA kuwa na subra wakati wanasubiri malipo ya fidia ya maeneo yao kwani tayari imeshafanya tathmini na uthamini kwasasa wapo katika hatua za mwisho za...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watumishi 8 Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) wafunguliwa mashtaka 48

    Kupitia shauri la Uhujumu Uchumi namba 26/2023 lililofunguliwa Juni 2023 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, ambapo washtakiwa waliokuwa waajiriwa TGFA, walisomewa mashtaka 48. Mashtaka mengine waliyoshtakiwa nayo ni pamoja na Kuendesha Genge la Uhalifu, Kughushi, Kuchepusha...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Bajeti yapendekeza kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege, injini...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mbaya; aliua mifumo ya utawala bora akawadanganya Watanzania na vitu vidogo kama madaraja, stendi, ndege n.k

    Kwa vipimo vyote Magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao. Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakusanya bilioni 70 kwa ndege zinazotumia anga lake

    Tanzania imekusanya zaidi ya TZS bilioni 70 kwa mwaka wa fedha 2022/23 (hadi sasa) ikiwa ni mapato yanayotokana na ndege zinazotumia anga lake. Akizungumza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete katika mkutano wa wadau wa uongozaji ndege uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kero Kituko Uwanja wa Ndege Zanzibar

    Naipongeza serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kufanya ukarabati mkubwa wa uwanja wa ndege wa Zanzibar, ambapo ni wazi umebadilisha taswira ya uwanja kuwa bora kuliko ilivyokuwa awali. Cha ajabu ni kwamba pamoja na ukarabati huo kuna kero mpya imejitokeza hasa kwa abiria wanaondoka/wanaotoka...
  7. S

    JamiiForums Tanzania JF Marubani, naomba yeyote anayefahamu kuhusu Ndege inavyoruka na kutua tuelimishane haya

    Habari ndugu wadau! Naomba mwenye ABC Kuhusu masuala ya urubani atusaidie kujibu kwa ufafanuzi machache kuhusu ndege inavyoruka na kutua. Pamoja na mengine; Naomba ufafanuzi 1. Kazi ya kifeni kule mbele kulikochongoka ni nini? 2. Je ndege inayoruka ndani ya Tanzania inatakiwa kutembea umbali...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ndani ya mwezi mmoja Ndege ya Tanzania imetumika kwa hasara karibia Milioni 300. Tunaoumia ni sisi walipa kodi

    Habari wadau. Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge! Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo! Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

    Habari ndugu zangu, Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo. Mara ya mwisho nimeona Rais Samia akitoa ndege ya Timu ya Yanga kusafiri mpaka Algeria na kuwarudisha Tanzania...
  10. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

    Niende moja kwa moja! Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je, tatizo ni nini?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mhandisi: Uwanja wa ndege Mwanza umekosewa, vigezo havikuzingatiwa

    MHANDISI - UWANJA WA NDEGE MWANZA UMEKOSEWA, VIGEZO HAVIKUZINGATIWA UWE WA KIMATAIFA Hayo yameelezwa na mhandisi wakati mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Amos Makala alipofika kuangalia ujenzi unaoendelea. Mhandisi huyo anafafanua kuwa maelekezo ya mwanzo waliyopewa wakati wa uanzishwaji wa mradi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kununua ndege bila business plan ni kufuja fedha za maskini

    Biashara ya ndege ni moja ya biashara ngumu zaidi duniani. Hii ni biashara yenye mahesabu makali. Ni biashara ya kimataifa. Kufanikisha biashara ya ndege tunahitaji timu yenye weledi mkubwa sana kibiashara. Wazungu Afrika Kusini wamepata changamoto kubwa na hasara pia, Wanaigeria, Wamisri na...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Ndege ya Mizigo iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania

    Aina - Boeing 767-300F Uzito wa Mzigo - Tani 52.7 (Futi 15,469) Kasi (Speed) - Kilomita 850/900 kwa Saa Ujazo wa Mafuta - Lita 90,770 (Inatumia Dakika 28 hadi kujaza matenki yote) Uzito wa Jumla - Kilogramu 185,060 Eneo la Kurukia - Mita 2408 Eneo la Kutua - Mita 1829 Chanzo: Boeing/Epic...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Cecil David Mwambe - Wawekezaji Mradi wa LNG badala ya Kutumia Bandari ya Dar es Salaam Watumie Bandari ⛵ na Uwanja wa Ndege wa Mtwara na Lindi

    MHE. CECIL MWAMBE - MRADI WA LNG WAWEKEZAJI WATUMIE BANDARI NA UWANJA WA NDEGE WA MTWARA NA LINDI BADALA YA DAR ES SALAAM Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Mhe. Cecil David Mwambe wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati amesema ni vyema wawekezaji wa mradi wa LNG badala ya kutumia Bandari ya Dar...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ndege Mpya ya Mizigo Iyafikie Masoko ya Nje

    Kesho Tanzania itapokea ndege ya mizigo. Hatua hii ichukuliwe kwa uzito wa pekee na wafanyabiashara wakubwa na wadogo. Ndege hiyo kubwa ya mizigo aina ya Boeing 767-300F itakuwa na uwezo wa kubeba tani 54 za mizigo na kusafiri katika nchi za Ulaya, Asia na kwingineko ambako soko litapatikana...
  16. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania John Ngumi ajiuzulu kutoka bodi ya Ndege ya Kenya (KQ) baada ya miaka minne

    Picha: John Ngumi Mshauri wa uwekezaji na mzoefu wa bodi John Ngumi amejiuzulu kutoka Bodi ya shirika la ndege la kitaifa Kenya Airways (KQ) baada ya kutumikia chombo hicho kwa miaka minne. Aidha, Mwenyekiti wa Bodi ya KQ, Michael Joseph, ametoa taarifa maalumu ya kujiuzulu kwa John Ngumi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ndege kubwa ya abiria ya C919 yaanza rasmi kutumika nchini China

    Ndege kubwa ya C919 hivi karibuni iliruka kutoka Shanghai hadi Beijing ikiwa na abiria, ikiashiria kuwa ndege hiyo kubwa ya abiria iliyotengenezwa China kwa kujitegemea imeingia katika katika soko la safari za anga. Utengenezaji wa ndege kubwa unajulikana kama kilele cha kiwango cha viwanda...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mabango yenye alama ya upinde wa mvua pale uwanja wa ndege DSM yamewekwa na nani?

    Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wallace Karia Rais wa TFF asema si vyema Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video fupi ikionesha Rais wa TFF Wallace Karia akisema kwamba itakuwa si vizuri kwa Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo. Je, kuna ukweli wowote wa juu ya hili? Tusaidieni kumhoji Picha1: Sehemu ya Tweet inayomlaumu Rais Karia kwa kauli...
Back
Top Bottom