ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. Nguzo ya Tanesco inaweza kuwa ndani ya uzio?

    Nimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?
  2. Kama Biblia ingeendelea kuandikwa; je, wewe na mimi tungeandikwa kwa sifa gani ndani ya Kanisa?

    KAMA BIBLIA INGEENDELEA KUANDIKWA, JE WEWE NA MIMI TUNGEANDIKWA KWA SIFA GANI NDANI YA KANISA? Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Hallelluya watoto wa Mungu, tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wema na ukuu wake katika maisha yetu. Pamoja na uovu wote tunaomtenda lakini amezidi kutupa nafasi ya...
  3. Serikali kufuta vijiji vyote vilivyo ndani ya Mipaka ya Pori Tengefu Loliondo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tangazo la kufuta vijiji vyote vinavyopatikana ndani ya mipaka ya pori tengefu Loliondo ili kupisha hatua ya kupima upya maeneo hayo yatakayopangiwa matumizi mengine. Hatua hii iliyotangazwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro inaongeza wasiwasi wa...
  4. Mbunge acharuka Tsh. Bilioni. 64 kutafunwa ndani ya siku 1

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga, ameliibua bungeni sakata la kutafunwa Sh. bilioni 64.3 kwenye Bandari ya Tanga baada ya kutolewa kwa zabuni iliyogubikwa na utata, akitaka hatua zichukuliwe dhidi ya wahusika ili kuongeza uwajibikaji. Judith aliibua hoja hiyo jana alipochangia...
  5. Nitumie dawa gani kutokomeza wadudu warukao na watambaao nisiwaone angalau kwa mwaka 1 ndani ya nyumba

    Wadau ni dawa gani naweza tumia kutomeza wadudu watambaao na warukao ndani ya nyumba. Nataka dawa ambayo nikitumia Mara moja naweza kaa angalau kwa muda mrefu bila kutumia. Sitaki dawa ya kutumia kila siku au kila wiki. Nataka mende,sisimizi,siafu,mbu n.k viwe vitu adimu ndani ya nyumba.
  6. Sio sahihi "house boy" kukufulia nguo za ndani

    Habari za wakati huu wana jukwaa, Wiki iliyopita nilienda kumsalimia kaka yangu, yeye anaishi na mfanyakazi wake wa kiume, mke yupo kikazi mkoa mwingine. Jambo lililonishangaza wakati nafua nguo zangu kujiandaa na safari nilihamaki kuona mfanyakazi wake wa kiume akimfulia nguo zake za ndani...
  7. Wiki ya pili sasa siipati huduma ya Freebasic imeondolewa au?

    Moja kwa moja.. Nilizoea bando likikata kuingia Freebasic kupitia line yangu ya Halotel kucheki habari BBC na kuperuzi Jf lakini halo umebadilika sasa sio kwa kutumia app wala browser inagoma shida ni nini wakuu hii huduma bado ipo kweli ? #UziTayari
  8. Amuua mwanaye na kumficha ndani kwa miezi mitatu

    Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 34 anayedaiwa kumuua mtoto wake mchanga aliyejifungua Julai 16 mwaka huu na kuuficha mwili ndani ya nyumba yake kwa zaidi ya miezi mitatu. Kesi hiyo ilifikishwa polisi na binti wa mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 14, ambaye alidai...
  9. Q

    Ndani ya Mwezi Mmoja tumekopa Trillion 7, Kuna siku nchi itapigwa mnada

    Kwa skyrocket hii ya kukopa na misaada naanza kumwelewa Spika Mstaafu Job Ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada. October 1: Billion 978 Kutoka Abu Dhabi. October 11: Trillion 4.9 Kutoka Benki ya Dunia. October 26: Billion 380 Kutoka Umoja wa Ulaya (EU). October 27: Billion 310 Kutoka Korea...
  10. Tusipotoshe: Meli za nafaka zilizoondoka jana zilikuwa ndani ya eneo la Uturuki

    Quote: "On Monday, the Joint Coordination Centre (JCC) in Istanbul said the UN, Türkiye and Ukraine had agreed on a movement plan for 16 vessels that are located in Türkiye's territorial waters despite Russia’s decision to suspend the deal." Tuache upotoshaji wa Simba na Yanga hasa kwa Pro West...
  11. Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    Kwema Wakuu! Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya kimahakama/kuthibitisha ukweli wa masimulizi yaliyomo kwenye Biblia na kwenye Quran. Nani mkweli na...
  12. R

    Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

    Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
  13. Mfanyabiashara gani amepewa kibali kujenga kituo cha mafuta ndani ya stendi ya Msamvu?

    Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi...
  14. Ndani ya muda mfupi nchi nchi ilikuwa stranded/ frustrated. Kwanini tusimkumbuke?

    Kwa mda wa miaka mitano tu Kila mmoja kaonja joto la jiwe, si mkuli, si graduate, si mfanyabiashara, mwajiliwa wa serikali na binafsi. Wote tulikuwa tunasubili Kila siku matamko yake tu as if nchi haikuwa na binge tena Wala sheria. Nchi ilikuwa imepatwa. Sasa lazima awe reference ya viongoxi...
  15. J

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  16. Yanga kumficha ndani Kambole kama 'msukule' siyo sawa!

    Yanga wakimuaga daktari wa timu wiki iliyopita. Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili. Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada ya idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi kufuatia usajili wa Kisinda. TFF ilihalalisha kucheza kwa...
  17. Ni kauli au neno gani ulilotamka ndani ya familia hadi leo unajutia?

    Je, ni kauli gani uliyotamka ndani ya familia ikaleta taharuki na hamaki ambayo hadi leo unajutia na kuomba siku au wakati urudi nyuma uweze kuifuta kama siyo kuirekebisha? Kwa upande wangu kuna siku nilishikwa na hasira nikamwambia mwanamke aandae vitu vyake maana nitamfukuza ila nikamsamehe...
  18. Mkimwacha Nabi bila msaada na hawa wachezaji wetu hata mechi za ndani sisi Yanga hatutoboi

    Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi. Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia...
  19. Ndani ya wiki moja, ndege nyingine ya kivita yaanguka Urusi na kuua, hivi zina nini?

    Mindege ya kivita inajiangukia yenyewe sijui inatunguliwa au marubani wamejichokea au wanetu wa Ukraine waliopo Urusi wanafanya yao.... A Russian warplane slammed into a residential building in the Siberian city of Irkutsk on Sunday, killing both crewmembers, authorities said. It was the second...
  20. Maambukizi ya Ebola yafikia watu 14 Kampala ndani ya saa 48

    Waziri wa Afya Jane Ruth Aceng ameripoti ongezeko la Wagonjwa 9 waliothibitishwa kuwa na Ebola jijini humo na kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 14 ndani ya saa 48 zilizopita. Usambaaji wa kasi wa Ebola jijini Kampala umezusha hofu kwa raia kuwa huenda Rais Museveni akatangaza hatua kali za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…