ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. FRANCIS DA DON

    Napendekeza mbinu wa ujenzi wa Flyover inayopunguza gharama kwa 99%, ujenzi unakamiika ndani ya miezi miwili, na ghara ya Tsh. Billion 3

    Mbinu hii ni mchanganyiko wa ‘Underpass’ + ‘Overpass’ , kupata kitu ninachokiita ‘HYBRID FLYOVER’. Kwanini mbinu hii inapunguza gharama za ujenzi na muda wa ujenzi kwa 99% 1.) Kwa sababu kifusi kinachochimbwa wakati wa kuandaa ‘Underpass’ ndio hicho hicho kinatumika hapo hapo kutengeneza tuta...
  2. sonofobia

    Nawahi kama jogoo, ndani sekunde kadhaa namaliza. Je naweza kupata dawa?

    Mimi napokkuwa napiga show bao langu la kwanza linawai sana na la pili linachelewa pia sana. Nilikuwa naona ni kawaida mpk wanawake tofauti wamekuwa wakisema mbona nawai sana na hawajapata raha yoyote hapo sasa mpaka kuanza lingine. Je bao la kwanza ili nichelewe nahitaji tiba gani? Kuna...
  3. Zack Abdul

    Tanzania yaongeza uwezo wa uzalishaji wa mabati, yazidi mahitaji ya ndani

    Tanzania inazalisha tani 260,000 za mabati kwa mwaka dhidi ya mahitaji ya ndani ya tani 130,000, sawa na uzalishaji unaozidi mahitaji kwa mara mbili. Hali hiyo inahusishwa na hatua za kulinda viwanda vya ndani kupitia kuongeza ushuru wa mabati yanayoagizwa kutoka nje kutoka asilimia 10 hadi 35...
  4. K

    Mwanamke aliye ndani ya ndoa kipato kikiongezeka anataka kuwa huru, Mwanaume akipata Pesa anawaza kujenga na kuimalisha famila /ndoa. Nini sababu?

    Habari za jumapili wadau, kuna hii tabia ya wanawake walio katika ndoa wanapopata Pesa cheo au umaarufu mahusiano yao ya kimapenzi / ndoa na wenza wao hufa. Kwanini mwanamke asitumie hicho kipato chake kuimalisha mahusiamo ya ndoa. Ukifuatilia baadhi ya ndoa zimevunjika baada ya mwanamke...
  5. A

    KERO Kero ya baa ya Mtipesa iliyopo Kimara Temboni, Mtaa wa Saranga kwa Makofia ndani ya Wilaya ya Ubungo

    KERO YA BAA YA MTIPESA ILIYOPO KIMARA TEMBONI-MTAA WA SARANGA KWA MAKOFIA NDANI YA WILAYA YA UBUNGO. Je mmiliki wa baa ya Mtipesa iliyopo Mtaa wa Saranga kwa Makofia ndani ya Wilaya ya Ubungo ana nguvu, mamlaka na haki kuliko wakazi/wananchi wote wa mtaa husika? Wakazi wa mtaa tajwa tumekuwa na...
  6. Desierto

    Kwa uonevu alioufanya kwa sasa ataishia kufanya mikutano ya ndani tu. Kwa hofu

    Ndo hivo kwa sasa ni mwendo wa ukumbini tu na viwanjani baasi.
  7. M

    CHADEMA: Baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA wakizuiwa kuingia ndani ya Mahakama Kuu

    Baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA wakizuiwa kuingia ndani ya Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, huku Jeshi la Polisi likiwatoa katika eneo la lango la mahakama asubuhi hii. Pia soma: UPDATES: Yanayojiri Mahakamani kwenye Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa...
  8. idiomer

    Haki za binadamu Tunahaki ya kuzisimamia kama nchi ndani bila kuingiliwa na nchi au vyombo vya kimataifa.

    Ila uchumi MIKOPO TOKA NJE SAWA EU, WORLD BANK, PEPFAR , US , CHINA, UAE 🤭🤭🤭
  9. BLACK MOVEMENT

    Kizza Besigye wa Uganda kuendelea kuwa ndani kulikuwa kuna uhusiano na Lissu kuendelea kuwa ndani. Ila now ni kama Museveni kaamua yaishe

    Hesabu za kuendelea kumuweka Lisu ndani zinategemeana sana na za kule Uganda kwa Mseveni. Yaani Mtawala wa Tanzania Bench mark yake ya kumshikilia Lisu iko Uganda kwa Mseven kuendelea kumshikilia Kizza Besigye. Ila juzi kati ni kama Mseveni na yule Dogo wake wanataka yaishe kwa Kizza Besigye...
  10. The Burning Spear

    Kwa nini CHADEMA imekuwa ikizalisha wasaliti Wakubwa ndani yake kwa mwaka.

    Chadema waje watuujibu hapa aisee. mimi ninaowakumbuka. 1. Zito Kabwe (Makamu Mwenyekiti Taifa) 2. Dr slaa ( Katibu mkuu Taifa) 3. Vicent Mashinji (Katibu Mkuu Taifa) 4. Alkael Mbowe ( Mwenyekiti Taifa) 5. Isa (Mwenyekiti Zanzibar) 6. Peter Msigwa ( Mjumbe wa Kamati kuu) 7. Civid 19 ( wabunge...
  11. Ndagullachrles

    Tumieni bidhaa za ndani ,Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba aziagiza Taasisi za umma

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za umma kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini katika ujenzi, ununuzi wa samani na mahitaji mengine, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kukuza viwanda, kulinda ajira na kuongeza mapato ya Taifa. Ametoa maelekezo hayo leo (Jumatano...
  12. ndege JOHN

    Tanzania October 29: Hatua tatu ambazo zinaweza kuipeleka nchi kwenye civil war au kuporomoka kwa serikali kutoka ndani

    Kuna stage tatu ambazo hutumika kuharibu nchi yoyote mtu mwenye Nia ya kuharibu nchini anatumia stage tatu tuisome Tanzania ya tarehe 29 Oktoba 2025 kama case study. Nchi haihitaji kuvamiwa na jeshi la kigeni ili iingie kwenye machafuko makubwa. Kuna mazingira ambayo yanaweza kusababisha taifa...
  13. ugali dagaa

    Mama yetu kwa video hii tunaomba turudishie huyu myu mambo ya ndani

    Sitaongea mengi maana video inajieleza https://youtube.com/shorts/hfQqDQmlbPg?is=Ygc4h9-7jNlpQXhc
  14. ChoiceVariable

    Serikali ya Mwendazake Iliwahi mkana Bashite wakati akiendesha Oparesheni ya kuwasweka ndani "Ambao Hawajalinda mgongo"

    Nawakumbusha tuu. Yaelekea Hawa Wasiolinda mgongo wanaogopwa sana ndio maana husikii Kauli thabiti ya serikali kukemea kama walivyofanya Kwa wale Watoto wa shule waliokuwa wanatikisa makalio. https://www.instagram.com/reel/DfHxU2eMOUA/?vrfl=MTY1eGp3a3l5N2poag== My Take Wanaume wakiacha kuwa...
  15. F

    Mbowe na Lema ni Liability au asset ndani ya chama? Wakifukuzwa je...?

    Nimemuuliza mdau wa Siku nyingi ndugu Tindo kwamba, Mbowe na Lema wakifukuzwa ndani ya CHADEMA, hasara Hasi zitakuwa zipi? Jibu: Hakuna hasara yoyote kungoa jino bovu mdomoni. Jibu hili limenipa nguvu ya kupandisha mada hapo juu kuwa, Mbowe na Lema ni asset au liability ndani ya CHADEMA...
  16. Alloyce PR

    Huwezi kumrekebisha mwenza wako mkiwa ndani ya ndoa.

  17. N

    Tufanye nini kama taifa ili vijana wetu wawe na moyo wa kujitolea (kufanya jambo hata kama hatolipwa pesa) ndani ya jamii??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka. Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi" Au...
  18. R

    Hadithi za ajabu ndani ya Biblia yetu

    Baruch Spinoza, mwanafalsafa wa karne ya 17 na mmoja wa watu waliothubutu kupinga mitazamo ya kawaida katika fikra za kisasa, alithubutu kumtazama Mungu bila hofu, kuitazama akili na mantiki bila vikwazo, na kuutazama uhuru bila kuomba ruhusa kwa mtu yeyote. Kupitia kipindi cha Beyond Sacred...
  19. A

    KERO Wafanyabiashara wa Maua, Mbuyuni- Dar tumepewa siku 3 kuondoka ikielezwa kuwa haitakiwi fremu kuwa kando ya barabara

    Ndugu wanajukwaa, Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam. Mwaka jana 2025, tulikutana na...
  20. Mtu Asiyejulikana

    Walau tungepata Mtaalamu wa Historia humu ndani

    Nimewasoma wachache kama akina Mshana Jr Pascal Mayalla etc. kuna mambo walijaribu kuyaelezea kwa kina nawapongeza. Kuna wakati nawaza kama tungepata mtaalamu wa Historia humu awe anatupatia madini ya ukweli ya mambo mbalimbali ya nchi, africa na dunia. Kwa miaka mingi tumekosa mtu wa namna...
Back
Top Bottom