nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala bora

    Utawala ni uongozi ambao unakuwa madarakani katika kipindi fulani, utawala huu unaweza kutokana na kuchaguliwa, kurithi kama ilivyo katika baadhi ya nchi kama Korea Kaskazini ama mapinduzi. utawala bora no utawala unaozingatia misingi ya haki, taratibu na kanuni kwa mujibu wa sheria ambazo nchi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini… WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali na mikoa mingine, Mkoa wa Dar es Salaam, Lita 1 ya Petroli imekuwa Shilingi 3,400 (ongezeko la...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baraza la habari Tanzania (MCT): Uhuru wa vyombo vya habari nchini unaimarika

    Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetoa taarifa ya tathmini ya uhuru wa vyombo vya habari nchini kati ya kipindi cha mwezi Januari hadi Juai 2022. Taarifa hiyo imeeleza kupungua kwa kiasi kikubwa kwa matukio ya ukiukwaji wa haki za waandishi wa habari ukilinganisha na miaka iliyopita...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mahafali ya Wahitimu wa Usalama wa nchini 'Northern Malawi' huwa hayatangazwi wala hatuonyeshwi kama yale ya Chuoni Lindumo?

    Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali ianzishe kura ya maoni wananchi wafichue Ofisi, Idara, Vitengo na Taasisi za Serikali zilizokithiri kwa urasimu nchini

    Moja ya vitu vinavyokera sana nchi hii ni urasimu ulioko katika maofisi, idara, vitengo na taasisi mbalimbali za serikali.,urasimu unaopaswa kuwekewa mkakati maalumu kudhibiti. Urasimu huu sio kero tu watanzania, bali hata kwa wageni wakiwemo wawekezaji wanaotafuta vibali au huduma nyingine...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chalinze yaongoza ukusanyaji mapato nchini. Yatia fora pia upelekaji wa fedha nyingi za miradi ya maendeleo

    CHALINZE YAONGOZA UKUSANYAJI MAPATO NCHINI. YATIA FORA PIA UPELEKAJI WA FEDHA NYINGI ZA MIRADI YA MAENDELEO. Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani inayoongozwa na Mbunge Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeongoza katika...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali: Hakuna mgonjwa wa Homa ya Nyani nchini

    Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini. Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe leo Mkoani Manyara wakati akitoa taarfa kuhusu Ugonjwa wa Homa ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Duka la paka lafurahishwa na watu nchini China

    Katika mji wa Yangzhou, Jiangsu, China, duka la kwanza la paka limefunguliwa rasmi. Duka hilo lina zaidi ya paka 70 wa aina mbalimbali.Wapenzi wa paka na watoto wanaweza kununua na kucheza na paka katika duka hilo.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa kabila la Wadong washerehekea Sikukuu ya Xinmi nchini China

    Julai 31 watu wa kabila la Wadong katika wilaya inayojiendesha ya makabila ya Wamiao na Wadong mkoani Guizhou China, waliandaa shughuli mbalimbali ili kusherehekea Sikukuu ya Xinmi.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Buddha Lucana aonekana tena baada ya ukarabati nchini China

    Buddha Lucana ameonekana tena kwenye Mapango ya Longmen baada ya ukarabati mkubwa nchini China.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni zinazofanya shughuli zake nchini Bila kuwa na vibali/usajili, serikali inatambua(waliopewa dhamana ya kushughulikia hayo)?

    ,
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawili wa Tanzania washikiliwa DRC kupisha uchunguzi wa mauaji ya raia

    Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa askari walinda amani wa MONISCO waliokamatwa siku ya jumapili ni kutoka Tanzania, wamekamatwa kupisha uchunguzi wa mauaji ya waandamanaji raia wa Congo. Tangu kuzuka kwa maandamano ya kupinga walinda amani nchini DRC askari...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenye orodha ya Wakuu wa Idara za Halmashauri na Majiji nchini Tanzania

    Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali. Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwa rushwa ilivyotamalaki, PCCB na wengine wa hivyo wana umuhimu gani kuendelea kuwapo?

    Nilileta uzi huu: Aibu! Boda ya Rusumo Mgeni haingii nchini bila rushwa Nimetembelea boda nyingine mkoani Kagera, kote ni mwendo mdundo! Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao. Hata hivyo wapi au idara ipi yenye ahueni? Polisi? Wapelelezi, trafiki nk? Rushwa si ni sehemu ya malipo yao halali...
  15. Lilian lilooo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uboreshaji wa Elimu nchini Tanzania

    UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA Elimu nchini Tanzania ilianzia enzi za kabla na baada ya ukoloni. Elimu kabla ya mkoloni ilikua unapewa kazi za jamii kutokana na umri kuna waliolioma, kufuga, kuchunga na kupika kutokana na umri wao. Elimu baada ya mkoloni ilikua pia kutokana na umri lakini...
  16. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ufahamu wa nini cha kusoma bado ni mdogo kwa vijana wanaotarajia kujiunga na vyuo nchini

    Nini nikasome baada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari..? Inawezekana likawa swali ambalo linajirudia mara kwa mara kutoka kwa ndugu, marafiki hata wazazi wakitafuta kitu Bora Cha kusoma baada ya kuhitimu elimu ya sekondari. Kukosekana kwa elimu sahihi au kukosa muongozo mzuri wa kitu Cha...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa ajira nchini ubadilishwe

    MFUMO WA AJIRA NCHINI UBADILISHWE Wakati ni sasa wa serikali pamoja na sekta binafsi kuja na mbinu au mkakati mpya wa ajira na kuajiri nchini. Sote tunajua hivi sasa kuna malalamiko mengi kwa wananchi walio wengi kukosa ajira pamoja na kwamba elimu na sifa zote za kuweza kuitumikia nchi yao...
  18. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kipi kipewe kipaumbele kati ya Elimu-Taaluma na Elimu- Ufundi hapa Tanzania?

    UTANGULIZI Elimu ni njia utumiwayo na jamii kusambaza maarifa, ujuzi, mitazamo na maendeleo. Elimu hutolewa kwa njia kuu mbili, elimu rasmi ( itolewayo shuleni kwa miongozo maalumu) na Elimu isiyokuwa rasmi ( hutolewa nje ya darasa ( pasipo kufuata miongozo maalumu) Hapa Tanzania, elimu...
  19. frankkilulya

    JamiiForums Tanzania Hali ya baridi inayoendelea nchini mwisho wake lini?

    Kwa hii baridi inayoendelea nchini Ukute serikali ya SiSiEM Imekula hela ya joto 😂😂 Ni ajabu kuona dar leo hatutembei vifua wazi
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili la Kuteua Mwenyewe na Kutengua liangaliwe kwa umakini kwani litakuza kiwango cha Upigaji na Rushwa nchini

    Nashauri Rais anapoapishwa tu apewe muda fulani kwa Kutulia ili aweze Kuchagua Watendaji alio na uhakika nao Kiufanisi ili anapowateua basi wafanye Kazi na siyo kuteua Watu (Watendaji) kwa Kubeti au Kubahatisha kama inavyoonekana sasa. Kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE hasa kwa hii tabia ya sasa ya...
Back
Top Bottom