nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea nchini unategemea kuna Katiba mpya?

    Kuna bajeti imepitishwa hadi sasa ya kuunda Katiba mpya? Bunge la chama kimoja liunde katiba? Wabunge vilaza wamekalia uchawa tu kusifiasifia tu matumbo yajae Mambo ya tume ya ccm kuchunguza ni kupoteza muda tu wananchi wanahitaji katiba mpya wataepata lini? Katiba hakuna waweke wazi watu wajue
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Rwanda Paul Kagame Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nchini hapo Kesho. Kufanya mazungumzo na Taifa Rais Samia Moyo Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kundi la makampuni la AMSONS la Tanzania kujenga hospitali 10 nchini Kenya kwa dola milioni 40 za Marekani

    May 2 2026 Kundi la AMSONS kujenga hospitali 10 za akina mama na watoto nchini Kenya chini ya mpango wa afya wa dola milioni 40 za Marekani Mpango huo, unaoitwa "Ahadi ya Maisha," unaonyesha kujitolea kwa pamoja katika kuhakikisha uzazi salama na kuanza kwa afya kwa watoto wachanga...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Betting nchini Tanzania - Neema ya Kiuchumi au Janga la Kitaifa?

    Heri ya Mei Mosi wakuu! Fikiria hili: Ni wikiendi, upo kijiweni au kwenye banda la kuonesha mpira. Yanga inacheza na Simba, au labda Arsenal ipo uwanjani dhidi ya Man City. Lakini badala ya macho yote kuwa kwenye soka pekee, asilimia kubwa ya vijana wameshikilia simu zao wakichanja 'mikeka' au...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: AZAKI ndiye mpangaji na mfadhili mkuu wa matukio ya kigaidi na vurugu za Okt. 29.2025

    Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030. Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia...
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yafungua fursa kwa sekta ya kahawa ya nchini Kenya

    Kuanzia Mei Mosi, 2026, China itaanza kutekeleza sera ya ushuru sifuri kwa bidhaa zinazotoka nchi 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China. Sera hii inachukuliwa kama fursa muhimu kwa nchi za Afrika kuingia katika soko kubwa la China kwa kuleta bidhaa zao za kipekee na za ubora wa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yaahidi kukomesha mashambulizi ya kibaguzi nchini humo

    Mamlaka nchini Afrika Kusini siku ya Ijumaa zimeahidi kuwachukulia hatua kali wale wote wanaohusika na mashambulizi ya kibaguzi (xenophobia) dhidi ya Waghana na raia wengine wa kigeni. Hatua hii inakuja siku moja tu baada ya Ghana kulalamika vikali kufuatia kusambaa kwa video za matukio ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike nchini Tanzania wafuata ndoto zao kwa kujifunza lugha ya Kichina

    Shule ya Sekondari Zanaki jijini Dar es Salaam, shule ya wasichana inayomilikiwa na serikali ya Tanzania, mwanafunzi wa kike anayeitwa Rosemary Thadei Mushi anasimama mbele ya wanafunzi wenzake, akiwaongoza kwa umakini jinsi ya kutamka maneno ya Kichina kwa kufuata lafudhi sahihi. Katika...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Muziki waunganisha tamaduni katika shindano la kuimba kwa Kichina nchini Afrika Kusini

    Wanafunzi vijana kutoka kote Cape Town, nchini Afrika Kusini, walileta nguvu na shauku kubwa katika sherehe ya utamaduni wa Kichina siku ya Jumamosi, wakati Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Cape Town (CIUCT) ilipoandaa Shindano lake la tano la Kuimba kwa Kichina, ikiangazia wazo kwamba...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo nchini na maudhi yaliyopo, kuna siku mambo yataharibika watu watakufa sana, na sio waandamanaji pekee, maana wao wamejifunza kitu

    Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona wao ni dunia nyingine tofauti na wale wanaowaongoza. Sasa niseme wazi. Kwamba hadi sasa huenda...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Natamani kusikia CHADEMA imefutwa nchini

    Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
  12. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uandishi wa magazeti nchini na mfumo wa magazeti ya Asubuhi News upi unafaa kuzingatiwa Tanzania

    Haya ndio magazeti ya Asubuhi News, nini Cha kujifunza.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei aongoza kura za maoni matokeo ya awali kumrithi Lukuvi. Awatupa wenzake mbali kama mshale

    Ndugu zangu Watanzania , Habari ndio hiyo ya kuwa Mfanyabiashara Fred Ngajiro (Vunjabei) ameibuka kinara katika kura za maoni za kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani, Lukuvi, huku akiongoza katika kata nyingi zilizopigwa kura. Kwa mujibu wa matokeo ya awali, Vunjabei...
  14. M

    JamiiForums Tanzania MWIJAKU LAWANI NCHINI KENYA

    https://youtube.com/shorts/mtMrVj0S8O0?si=ytV4I13fhDCwaHYq
  15. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya chini ya jua: Kinachomkuta Marekani nchini Iran kiliwahi wakuta watangulizi wake

    Huwa nalipenda sana somo la historia. 1. Ukisoma historia kwa kina utafahamu ukweli kwamba hakuna jipya chini ya jua. 2. Yote unayoyafanya yalishafanywa na wenzako huko nyuma. 3. Wewe unachofanya ni kujenga juu ya msingi wa mwingine tu. 4. Wanaoamini kwamba historia ina vitu vipya ni...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna mpango wa kutumia bomba la TAZAMA kusafirisha mafuta humu nchini?

    Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha Diesel. Asilimia 85 ya diesel kwenda Zambia wanatumia bomba la TAZAMA. Wana mpango waliweke sawa ili...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kulikuwa na wafitini waliosababisha Wenge Musica kusambaratika na Koffi kukimbiwa na wanamuziki mara baada ya kuzuru nchini miaka ya 90?

    Kwa mujibu wa wao wenyewe Wenge BCBG ni kuwa mara baada ya ziara yao ya Tanzania mwaka 1997 ndo ukaibuka mgogoro mkubwa uliosababisha wasambaratike na kundi kuvunjika. Mwaka mmoja baadae Koffi Olomide alikimbiwa na wanamuziki wake mjini Dar es Salaam walipokuja kupiga show. Ishu ya Koffi ilikuwa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu afanya mazungumzo na balozi wa Qatar nchini

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 8, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al-Marekhi, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Profesa ananyenyekea uteuzi hivi, nini maana ya kuwa na PhD sasa?

    Wakuu, Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu! Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi...
  20. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Kisa ni mtoto wa Rais ndo muagizaji wa mafuta nchini

    Mtoto wa Rais Samia na mkwe wake na mtoto wa mstaafu wa awamu ya nne ndo waagizaji wakubwa wa mafuta nchini kutokea India na Uarabuni Nchi yetu imekua corrupt na ya hovyo au kwasababu wao viongozi huwekewa mafuta bure? Mafuta lita 4000 bado tunaagiza mafuta India tu na Saudi Kwanini tusinunue...
Back
Top Bottom