nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania 173 waliokuwa Afrika Kusini warejea nchini

    Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo. Zoezi la kuwarejesha raia hao limefanyika kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kundi ndani ya CCM linalopinga yanayoendekea nchini hivi sasa lazima lisimame kuhesabiwa ili kuinusuru nchi

    Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane. Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa...
  4. JamiiForums Tanzania Vipimo vya DNA vyazua mjadala nchini Malawi.

    Matokeo kutoka kliniki binafsi na za umma nchini Malawi yanaonesha kuwa takribani 80% ya wanaume wanaofanya vipimo vya DNA kutokana na mashaka kuhusu uaminifu wa wenzi wao hubainika kuwa si baba wa kibiolojia wa watoto wanaowapima. Hata hivyo, wataalamu wa afya na sheria wameonya kuwa takwimu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini awamu ya sita imekuwa na migogoro mingi ya kiuongozi nafasi za juu kuanzia Ndugai, Majaliwa na sasa Nchimbi?

    Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la Pointi Sita: Jinsi Mfumo wa Mitihani hapa nchini Unavyopotosha Ufafanuzi wa Kihistoria.

    Sidhani kama Kila tukio la Kihistoria lilisababishwa (causes) na mambo sita na kuendelea au lilisababisa (effects ) mambo sita na kuendelea. Katika somo la history hapa nchini kumekuwa na tabia kutaka kuwaaminisha wanafunzi kuwa kila tukio la Kihistoria limesababishwa na mambo mengi sana. Ni...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuandamwa na mikosi ya kisiasa na kiuchumi isiyokoma ni ishara ya wazi kua huenda kuna laana ndani ya chama hicho cha siasa nchini

    Kwa mfano we cheki, mwenyekiti wake taifa kukutwa ana kesi ya kujibu tofauti na walivyotarajia kwa kujiiga kifua sana tu kwamba hakuna lolote n.k, na kwahivyo wameumbuka hadharani na hiyo maana yake mwenyekiti huyo ataendelea kusota korokoroni. Huenda mkosi huu unatokana na utamaduni wa kiburi...
  8. JamiiForums Tanzania Kisarawe yaja na suluhu ya vilipuzi baruti nchini

    Wilaya ya Kisarawe inaendelea kujijenga kuwa kitovu cha uzalishaji wa baruti na vilipuzi nchini, kufuatia kuanzishwa kwa viwanda viwili vinavyolenga kuongeza uzalishaji wa bidhaa hizo ndani ya nchi na kupunguza utegemezi wa uagizaji kutoka nje. Viwanda hivyo ni Ideal Detonators Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

    Ripoti ya kitaifa ya makadirio ya ukubwa wa makundi maalum ya mwaka 2025 (National Key Population Size Estimates), iliyoandaliwa kwa kutumia takwimu za makadirio ya idadi ya watu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebainisha kuwa mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kuwa na idadi...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Asasi za kiraia -SADC zaomba SADC pannel of elders kufanya ziara na kukutana na wadau nchini Tanzania katika juhudi za kukwamua mkwamo wa kisiasa

    Asasi za Kiraia (CSOs) zipatazo Hamsini (50) zimesaini tamko la kuomba SADC Pannel of Elders kuja nchini Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali waKIwemo Serikali ,Vyama vya Siasa,viongozi wakuu wastaafu,viongozi wa dini,Asasi za Kiraia kama sehemu ya juhudi za kutatua...
  11. JamiiForums Tanzania Timu ya taifa ya Soka ya watu wafupi nchini Sudan yajiandaa kwa Kombe la Dunia 2026

    Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya watu wenye kimo kifupi nchini Sudan, inapambania ndoto yake ya kucheza Kombe la Dunia licha ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo. Timu hiyo inajiandaa kwa ajili ya Kombe la Dunia la Mpira wa Miguu la Watu Wenye Kimo Kifupi 2026, linalotarajiwa kufanyika...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Utulivu wa Akili, Mikakati na Mbinu bora za kisasa kuelekea Maridhiano, Muafaka wa Kitaifa na Mabadiliko ya Katiba

    Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO yatakayozaaMARIDHIANO NA MUAFAKA WA KITAWA KITAFA.Bado tuna imani kwamba pamoja na matatizo yaliyotokea bado Rais...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bado anayo nafasi ya kuwezesha mageuzi ya Katiba nchini, kama tukiаmua kuwa na utulivu wa akili, mikaka

    Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO yatakayozaaMARIDHIANO NA MUAFAKA WA KITAWA KITAFA.Bado tuna imani kwamba pamoja na matatizo yaliyotokea bado Rais...
  14. JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama nchini Tunzania

    Nchi ipo uchi kwenye suala zima la ulinzi wa wa mipaka na mambo ya ndani, na ikitokea hata nchi ndogo ya Rwonda ikavamia ndani ya Tunzania itajichukulia maeneo kwa urahisi sana. Wananchi wa Tunzania wako tayari hata kuisaliti nchi yao kwa kuwasaidia maadui kuiangamiza nchi yetu. Huu ni...
  15. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Barabara korofi Nchini: Taja Zako! Naona Mwanza, Simiyu Manyara na Kilimanjaro panaongoza

    Salama wanajamvii. Sasa leo tutaje barabara zenye kero Mimi naanza na Barabara ya BABATI -SINGIDA anzia Daredaa ile barabara inatuchelewesha sana barabarani ni mbivu ni kama rafu road ilichangamkaaa. Mwanza - Lamadi hii barabara unaanzia Nyaguge hadi lamadi ni rafu road iliyochangamkaa.Mwanza...
  16. JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya wakati wa kampeni imetumika kuonyesha matukio ya uchaguzi mkuu nchini Zambia

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, ikiambatanishwa na madai kwamba leo nchini Zambia, siku ya uchaguzi mkuu, polisi wametumia risasi za moto na mabomu ya machozi kuwatawanya wapiga kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura kwa tuhuma za uvunjifu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Uzi wa rekodi ya matukio yaliyosababisha vifo vingi nchini Tanzania

    Tanzania imeshuhudia matukio mbalimbali yaliyosababisha vifo vya watu wengi katika miaka ya hivi karibuni. Matukio hayo yamejumuisha ajali za majini, milipuko, mafuriko, ajali za reli, poromoko la majengo na ghasia na vurugu za kisiasa. Hapa chini ni muhtasari wa matukio 13 muhimu...
  18. JamiiForums Tanzania AJIRA TANZANIA: Nini hasa chanzo cha ukosefu wa ajira hapa Nchini ?

    Habari wana jf , Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira . Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira? Kwa mfano...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uondoshaji wa mizigo bandarini ni shida kubwa, TBS inatuumiza Waingizaji wa Shehena (importer) nchini

    Kwa sasa TBS imekuwa ni mzigo na imekuwa ikizalisha vilio vikubwa sana kwa Waingizaji wa Shehena au Bidhaa nchini (IMPORTER). Mfumo wao wa utendaji umekuwa mbovu sana na kila siku katika ofisi zao zilizopo TPA ONE STOP [BANDARINI] utakuta misururu mikubwa ya MAWAKALA WA FORODHA wakipambana...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka kituo hadi lango: Namna SGR nchini Kenya inavyobadilisha Voi

    Ali Khan, 17, aliweka sawa mkoba wake wa nyuma na kupanda treni ya mchana ya SGR katika Kituo cha Voi. Siku tatu kabla ya hapo, kijana huyo wa Kihindi na wenzake 74 waliokuwa wamepiga kambi waliwasili kwa treni ya asubuhi wakitokea Mombasa. Baada ya kuangalia msitu wa Tsavo, walikuwa wakiendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…