nchi

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nchi gani Afrika ambayo inakimbiza mwenge hadi leo kama sisi?

    Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM. Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe, Angola nk ambako wanakimbiza Mwenge mpaka leo? Mbali na hilo hata bajeti ya kukimbiza chuma lile...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Kibiashara wa Kiislam unavyosaidia kukuwa uchumi wa nchi duniani na mifano ya nchi hizo

    Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu ina faida nyingi kwa nchi, hasa katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kiuchumi zinazoweza kupatikana kwa kutumia mifumo hii: 1. Kukuza Ustawi wa Kijamii Usawa wa Kijamii: Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu inahimiza usawa na haki, kwani...
  3. Chawa wa Zamani

    JamiiForums Tanzania Case study; Binti wa Yombo Dovya kaifanya nchi nzima kujadili(petty issues) ili Hali Kuna mengi ya msingi mno katika maisha yao wameyakalia Kimya!

    Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa! Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka. Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa waume wanasema jambo hilo tu. Hivi hilo tukio n la kwanza ? mbona yule aliyefanyiwa kule Tanga na kina...
  4. maroon7

    JamiiForums Tanzania BASATA hawakuelewa matusi ya Harmonize mbele ya viongozi wa nchi?

    Katika vitu vya kushangaza ni hili la msanii harmonize kutaja matusi kwa makusudi tena kwa kurudiarudia bila ya kujali uwepo wa viongozi wa nchi siku ile ya yanga day. Nilitegemea angenyang'anywa kipaza sauti na waandaaji lakini ajabu haikua hivyo. Akaendelea tena na tena kutamka lile neno...
  5. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Urusi kuisaidia Iran Tujiandae kuona nchi za kiarabu zikiingia kwenye matatizo makubwa.

    Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita. Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika nchi za kiarabu kwa sasa zitakua ni shabaha ya silaha za urusi na Iran. Hii ndio chance pekee aliyopata...
  6. PathwayzZote

    JamiiForums Tanzania Kupata music scholarship nje ya nchi

    Wakubwa habari Mwenye ujuzi na mambo ya ufadhili aje hapa Mtupeni hzi scholarship za kusoma music nje ya nchi kwasabab mim nimetafta ila sizioni
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Dunia sasa inatengeneza watu wadhaifu sana

    Majuzijuzi niliwaambia kwamba kwa sasa hii dunia inatengeneza watu soft sana, na niliwazungumzia waandishi wa habari walivyokuwa soft, si kama wale wa zamani, yaani usoft wao umekuwa kwenye kila kitu, dunia inatengeneza waandishi machawa kuliko hata wale wenye taalumu halisi ya uandishi. Sasa...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa: Mkuu wa nchi yupo Morogoro yenye shida ya maji kila kona. Lakini hajatamka neno moja juu ya mradi wa Kidunda

    Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita. Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi...
  9. El imran

    JamiiForums Tanzania Leo tuangalie nchi tajiri kutoka katika kila bara

    Hapa ni orodha ya nchi 20 zilizotajiriwa zaidi katika bara la Asia kutokana na Pato la Taifa la Jumla (GDP) kwa mwaka 2023: 1. China - GDP: $14.72 trillion 2. Japan - GDP: $5.11 trillion 3. India - GDP: $3.18 trillion 4. South Korea - GDP: $1.66 trillion 5. Saudi Arabia - GDP: $833.56 billion...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sura ya 4 ya andiko la Mpina nimelia kwa uchungu nchi inavyochezewa

    TAARIFA RASMI YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWA VYOMBO VYA HABARI YA TAREHE 29 JULAI 2024 SURA YA NNE MADHARA YA UTOAJI VIBALI KIHOLELA, KUSAMEHE KODI NA MABADILIKO YA SHERIA YA SEKTA YA SUKARI 1.0 Uamuzi wa kutoa...
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Siyo Tanzania tu, nchi nyingi Duniani zinashindwa kukomesha ufisadi: Takwimu haziisemi vibaya Tanzania

    Mathalani, Ripoti ya Kielelezo cha Ufisadi wa Mwaka 2022 inaonesha kuwa nchi nyingi zinashindwa kukomesha ufisadi. Kielelezo hiki cha Ufisadi hupanga nchi na maeneo 180 Duniani kwa viwango vyao vya ufisadi katika sekta za umma, na kutoa alama kuanzia alama sufuri 0 ikiashiria (ufisadi mkubwa)...
  12. kwisha

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa nchi za Afrika umetokana na system mbovu ya uongozi

    Baada ya kuishi hizi nchi za wenzetu Nimeona mambo mengi pia nimejifunza mambo mengi Hasa hasa mambo ya uongozi japo sina elimu kubwa zaidi ya kujua how hawa wenzetu wanaongoza nchi zao ila nimejifunza machache kidogo Cha kwanza Ni madaraka ya Rais Katika nchi za wenzetu Rais ana play nafasi...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Fun Fact: Tanzania ndiyo nchi pekee ya Afrika inayomwaga maji yake kwenye bahari tatu

  14. W

    JamiiForums Tanzania inakuaje Nchi zinaungana kuipiga Israel lakini inashindikana, Yemen, Iran, Lebanon, Syria, Palestina hawaoni aibu?

    Na hapo kumbuka Israel inapigana kwa tahadhari ku target zaidi magaidi ili kupunguza casualities za civilians zisizokwepeka, ni tofauti na nchi hizi zingine ambazo hushambulia zaidi raia wa kawaida wa Israel, lengo lao huwa ni kuua raia wa Israel wengi kadri inavyowezekana. Hii sio mara ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Iliyokua Sodoma na Gomora ndio nchi gani siku hizi?

    moja ya hadithi ya kusisimua kwa biblia ni hii ya sodoma na gomora Raia /wakazi wa hii mitaa walikua watenda dhambi wa kutupwa. mapenz ya jinsia moja /ushoga kwao ilikua sio story manake walifanya na biblia imesema wazi. unaambiwa Mungu alicheki sodoma na gomora akasema kama kuna watu 50...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile za nchi nzima kukutana uwanjani kupokea na kushangilia ndege mpya, huwa nacheka sana

    Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka. Nchi imetoka mbali hii. Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
  17. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za kiafrika zinazoongoza kwa wananchi wake kuunga mkono mapinduzi ya kijeshi.

    Wengi wa Waafrika wanasema wangekubali kunyakua serikali kama viongozi waliochaguliwa wanatumia vibaya mamlaka, utafiti uliofanywa katika nchi 39 na Afrobarometer ulionyesha. Kulingana na ripoti hiyo, iliyopewa jina la "African insights 2024 Demokrasia hatarini" - mtazamo wa watu, kuna tofauti...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Mifumo ya Miundombinu ya Treni katika nchi Kubwa na Tajiri 'imehujumiwa' sijui ya kule kwa wale Masikini wamejiandaa vipi kwa 'hujuma' za mbeleni

    Hata hivyo yawezekana kule wa Mataifa Masikini kabla ya Safari zao kuanza kulifanyika Matambiko makubwa sana tu.
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: TLS ni Kiungo wa kuifanya Nchi yetu kushamiri Kiuchumi, Kisiasa na Demokrasia

    Ameyasema hayo leo Julai 26/7/2024 baada ya kushinda kesi yake Baada Mahakama kutengua maamuzi ya Kamati ya Rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS Hapo awali, Wakili Mwabukusi aliondolewa kwenye mchakato huo ambapo aliamua kufungua shauri la kupinga maamuzi ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Biteko anastahili kupewa nafasi yakuongoza nchi; ana hofu ya Mungu na anaheshimu mawazo, utu na maoni ya wasiompenda na wanaompenda

    Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra. Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Back
Top Bottom