nchi

  1. JamiiForums Tanzania Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
  2. JamiiForums Tanzania Kenya ,Nigeria na Gambia ndio nchi zinazojitolea misaada zaidi duniani

    World giving index imeiorodhesha Kenya kama mojawapo ya nchi inayojitolea zaidi kusaidia nchi zenye uhitaji lakini sio nchi TU hata watu wake wameorodheshwa kama watu wanaojitolea zaidi kusaidia wengine Pamoja na vita ndogo ndogo za siblings kati ya tz na Kenya ila nakubaliana na utafiti huu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China yazalisha bidhaa za matumizi ya nishati ya jua kuliko nchi zote duniani kwa pamoja

    Ripoti iliyotolewa mwezi Julai mwaka huu inaonesha kuwa kiwango cha joto duniani kati ya mwezi Julai 2023 na Juni 2024 kiliweka rekodi mpya na kuwa juu kwa nyuzi 1.64 sentrigredi, kuliko ilivyokuwa katika kipindi kabla ya maendeleo ya viwanda. Pamoja na kuwa ripoti hii haina jambo jipya kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania Badala ya Kutangaza Makusanyo ya Kodi Serikali Itangaze Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi Kila Mwisho wa Mwezi

    Taifa hili kuna eneo muhimu linafumbiwa macho hasa taarifa za Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi. Ni vema Serikali hasa Wizara ya viwanda na biashara na msemaji wa ikulu pamoja na yule wa Serikali, waanze mara moja kuweka takwimu za Mauzo na pesa za kigeni kwenye mazao na bidhaa mbalimbali Kama...
  5. JamiiForums Tanzania Nani ni mmiliki wa nchi yetu ya Tanzania?

    Napata mashaka makubwa sana pale ninapoona viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kuliangamiza taifa. Mbaya zaidi wale wanaofungua viywa vyao wanatishwa na kupotezwa .hivi heri ya viongozi ni ipi? Hivi kweli mama anaridhia haya yanayoendelea katika nchi yetu? na kwa nini iwe hivi? hivi mtu mwenye...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mutual Funds nje ya nchi

    Habarini wakuu, Naomba kuuliza kama yupo mwenye kufahamu mutual funds(kama vile UTT nchini tanzania) kwa nje ya nchi (esp. Marekani & Uingereza) ambazo zinaruhusu foreigners kuinvest atupe mwangaza watu wachangamkie fursa. Asanteni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni tafsiri ya maendeleo kutoka Kwa lazern muisraeli aliyeishi sana Cameroon,

    "watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu" Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja kutoka moja ya nchi zilizoendelea na katika maongezi aliendelea kueleza yafuatayo. Mtazamo wa maendeleo...
  8. JamiiForums Tanzania Tazama hali ya Barabara za masaki 2024! Ni aibu ya nchi

    Hali ya Barabara za Masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo Hiv serikali inashindwa...
  9. JamiiForums Tanzania Jamani hii nchi mbona kodi na tozo zimezidi mno?

    Jamani haya mambo ya kila kitu kodi sindio alikua anafanya mkoloni?Bmbona yamerudi kwa kasi kubwa nchini hali ya kuwa nchi ina rasilimali za kiasili nyingi mno? Serikali kuna maeneo mngefikiria tu kuyaacha ili kula wote keki ya Taifa. Sio kila mahali mnatafuta kodi kodi kodi wajati kuna maeneo...
  10. JamiiForums Tanzania Mamlaka husika zimzuie Rais Samia: Nchi yetu inaelekea wapi?

    Ndugu zangu Watanganyika mliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na wale mnaomshauri rais Samia hebu msaidieni asidanganywe na walaghai wenye nia ovu. Baada ya hapo fanyeni haraka kurudisha umiliki wa eneo la Ngorongoro, KIA na bandari zetu. Pia mchakato wa kuchimba madini kwenye hifadhi na...
  11. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mhe. Waziri wa nchi ofisi ya raisi (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa

    YAH: MADAI MBALIMBALI YAKIWEMO POSHO YA KUJIKIMU WATUMISHI AJIRA MPYA, MALIPO YA LIKIZO NA MALIPO YA SAFARI ZA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA Mhe Waziri wa TAMISEMI, kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa sana juu ya stahiki mbalimbali za watumishi katika Halmashauri ya Ngara...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi ambayo serikali inafurahi kutenda uovu dhidi ya raia wake

    Hii si nchi ya kusadikika uliyoisoma kwenye kitabu cha Hayati Shaban Robert, wala si nchi ya Wagagagigikoko na Mfalme wake Huihui dikiteta aliyepigwa na mgeni Bulicheka na akapoteza ufalme. Hii ni nchi inayopatikana Afrika mashariki, kusini mwa jangwa la Sahara. Ni Muungano wa Tanganyika Huru na...
  13. JamiiForums Tanzania Haya Wakuu Wakuu wa Mikoa nchi za SADC nanyi mpo tayari? Kamalizaneni haraka na Waganga wenu wa Kienyeji sawa?

    Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa nchi za SADC hautakiwi uwe Unajisahau sana au hata kuwa na Dharau kwa unaowaongoza.
  14. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina watu wenye ufahamu mdogo sana. Wasomi kwa wajinga. Nitatoa mfano mmoja au miwili tu.

    2018 kuna binti aliajiriwa kazini kwetu, ile first appointment. Binti alikuwa anakuja kazini kwa daladala na kurudi kwa daladala. Mshahara wake ulikuwa 700k ukiweka na posho ilikuwa kama 900k. Kwakuwa alikuwa kitengo chenye mianya ya pesa nyingi na ninaijua michezo michafu yote ndani ya ofisi...
  15. JamiiForums Tanzania Hii Nchi usikute ni Chanel ya vichekesho huko Mbinguni

    Kwa hisani ya ITV.
  16. JamiiForums Tanzania Swali: Serikali kushindwa kuwadhibiti wakopeshaji wa online ni ishara kuwa hii nchi wenye pesa wana nguvu kuliko serikali?

    Hello! Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero. Kwa wakopaji kero wanazokutana nazo ni pamoja na kudaiwa pesa kabla ya siku ya makubaliano, kudhalilishwa, watu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini wapiga kura wa Sugu hawajaenda kumuona ila wanaomuona ni majasusi wanaowakilisha nchi zao Tanzania?

    Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
  18. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

    Nape akijigamba: Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama
  19. JamiiForums Tanzania Dhaka inawaka moto wafuasi wa waziri mkuu aliyejiuzulu na kukimbia nchi wameibuka kumtaka arudi

    Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka. Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala . Hili ni somo...
  20. JamiiForums Tanzania Hii nchi utapeli upo kila mahali

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…