nchi

  1. JamiiForums Tanzania Inawezekana Tunashuhudia madhara ya kuruhusu walimu kutoka nje ya nchi kuja kufundisha shule zetu za private

    Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao. Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni biashara badala ya huduma muhimu kwa Taifa. Hatujachelewa ni muda muafaka sasa wa kuongeza regulations...
  2. JamiiForums Tanzania Hii nchi ni kama jalala

    Juzi nimenunua headphones za JBL nikauziwa bei ndogo sana, nilidhani nimewachapa ila kumbe ni copy na nilijua hilo ila nikikausha tu.. Hazina quality ya aina yoyote. Imenifikirisha sana. Nikiangalia product nyingi bongo ni kama tuna consume makapi tu. Hakuna ubora katika kila kitu...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Utata wa Judicial Procedurajuu ya mashahidi wa Tundu Lissu IGP, CDF na DCI kutotokea mahakamani leo. Wako safari wapi? Nchi gani?

    JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM? Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi. Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuiambia Mahakama shahidi yuko nje ya nchi bila kutaja yuko nchi gani na lini atarudi nchini?

    Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini? Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote...
  6. JamiiForums Tanzania Rekodi Mbaya ya Utawala wa Samia Suluhu Hassan: Tanzania imegeuka Nchi ya Misiba, Kesi za Uongo na Uteuzi za hovyo

    Cha kwanza alichofanya ni kuhakikisha anajipachipa au anapachikwa udaktari ili aonekane Msimi. Sisi tunamchora tu🤣 Salaam Wakuu, Hivi mumegundua jinsi Uongozi ikishalaniwa unavyofanya kazi? Haijawahi kutokea, hii ni rekodi Mbaya Nchini Tanzania ya Uongozi wa Samia Suluhu na Rekodi mpya kwa...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mashahidi watatu wa Lissu waliobaki (IGP, CDF na DCI) wote wapo nje ya nchi

    Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
  8. JamiiForums Tanzania Picha;-Wazungu waja na data kwanini ni nchi yao, kanuni wa kwanza ndiyo mwenye eneo!

    Ha ha ha !
  9. JamiiForums Tanzania Nawasanua nchi hii mpinzani wa kweli ni Lissu tu

    Hawa wengine ni waigizaji Kama mnabisha wakati utasema Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 . Yule pia wa bavicha ni afsa TLS ni afisa Kinatali pia ni afisa Makamo pia ni afisa Katibu pia ni afisa...
  10. JamiiForums Tanzania Namna CHADEMA walivyopika Bomu lisiloonekana

    1. Elimu Elimisha kizazi kimoja kwa zaidi ya miaka 10, uone jamii hiyo itakavyoathirika. Elimu hiyo iathiri tabia zao, dini, utamaduni na vyombo vya habari hadi kugeuza uelekeo wao na mtindo wa kufikiri kwa kukumbatia minyororo na kujilaza mbele ya kiti cha mkoloni. Kuelimisha ni kuvunja...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi imeharibika sana hii,kila jambo linaenda kiholelaholela

    Imagine makamu wa Rais anajiudhuru kihuni kihuni tu,kamasio uhuni ni nini?,baada ya kujiudhuru haieleweki yupo wapi, hajakabidhi ofisi,hajaonekana kizimkazi,huyu kimama ataishi kama digidigi na familia yake kama aabahatika kumaliza kipindi chake. Mtu kama Wasira anasema wazi kabisa Nchimbi...
  12. JamiiForums Tanzania Maoni: Yaitishwe maandamano nchi nzima ili tuambiwe yupo wapi Nchimbi.

    Kwa mujibu wa katiba ya JMT alikuwa kiongozi wa pili baada ya raisi baada ya rais wa JMT. Yupo wapi? Yupo hai au amekwisha toweka kama Polepole? Taifa zima liitishe maandamano ili kujua yupo wapi? Hii nchi sio mali ya wanaCCM mtandao.
  13. JamiiForums Tanzania Lema ni moja ya wanasiasa wa hovyo sana nchi hii imepata.

    Kwa hii sentensi yake moja tu,huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana,anasema "Makamu Mwenyekiti alirudishiwa passport yake baadq ya kuongea na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,ila yeye anasema alirudishiwa na Mwanasheria wa Chama,kwa hiyo issue sio Watanzania ila yeye Lema hajapewa passport na mkurugenzi...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mkoa wa Mbeya asema CHADEMA imejaa watu wenye roho mbaya, asema uchaguzi wa chama umejaa rushwa ya kutisha

    Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wasira: Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo.

    Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo. Hizi akili zimejaa kimazoea sana. Ni hapo majuzi tu Dr Ryoba alisema nchi zetu zinahitaji viongozi madikteta...
  16. JamiiForums Tanzania Nadhani huu ukumbatiaji wa wicknell kwa rais wa nchi haujakaa kiprotical , amemkumbatia vibaya na sidhani dini kama inaruhusu.

    Binafsi sidhani kama mwanamke wa kiislamu mjane na ambaye inasemekana ni rais akumbatiwe namna hii. Kwa maoni yangu ninavyoona sio sahihi. Jamaa ukumbatiiaji umevuka mipaka.
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Zimbabwe atangaza siku yake ya kuzaliwa kuwa sikukuu ya kitaifa

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ametangaza rasmi tarehe Septemba 15, ambayo ni siku yake ya kuzaliwa, kuwa sikukuu ya umma nchini humo. Sikukuu hiyo mpya inayojulikana kama Munhumutapa Day, imewekwa rasmi kwenye sheria za nchi kupitia Statutory Instrument 148 ya mwaka 2026. Tarehe hiyo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Saudia Arabia isipojiunga na Abraham Accord nusu ya Nchi yake itachukuliwa na Israel.

    Aisee Saudia Arabia ni moja ya mataifa ya ovyo na kijinga sana, yaani licha ya kuwa na vifaa vya kisasa imeshindwa kuwadhibiti Wahouthi. Iran na Israel watagawana hiyo Nchi.
  19. JamiiForums Tanzania Gen Z ndio watakao leta mabadiliko

    Ukweli usemwe tu, Millenial wameishia kuwa wahanga wa program za kibepari kutoka kwa mababi zetu. Bado wanaimani potofu, bado hawana uhuru wa kifikra.. Ila sisi, Gen Z tumeibuka na kuanza ku question system, tunaquestion mifumo ya kikatiba, siasa na dini. Ni kwasababu tumeshuhudia millenial...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kula vyakula vya kigeni nje ya nchi

    Habari za jioni wakuu? Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa, nikaishia vinywaji, matunda na biskuti tu! Point yangu ni hii naombeni ushauri kwamba nikifika nje ya nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…