GT
Katika ulimwengu wa harakati za mapinduzi ya kisiasa na kusukuma nchi iende mbele kile kinachotokea Kenya ni sahihi kabisa maana wanaijenga nchi yao.
Ndugu zangu hakuna taifa lolote tajiri ambalo halijapitia madhira kama ya Kenya. Wanachofanya wakenya ni kutafuta kuheshimiana ili serikali...
Nimeona kampuni kadhaa zinatoa huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipi ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi;
1. Be forward,
2. SBT Japan,
3. Enhance Auto.
Kuna mzaha hufanywa na baadhi ya watu dhidi ya wanasiasa wanaoipinga CCM wanapokimbilia nje ya Tanzania.
Kuna hoja kwamba huwezi kupigania maslahi ya Tanzania na watanzania ukiwa nje ya Tanzania. Na wengine hufika mbali zaidi kwa kuwaita watu hao ni vibaraka wa mabeberu.
Lakini Historia ya...
Imagine Uto leo Wana hamu ya kucheza mechi, TAREHE 15 hamu Yao ilikuwa wapi mpaka wakavaa na Jezi zenye maandishi ya Hatuchezi Ng'oo? BODI ya ligi na TFF hawajatueleza aliyebadilisha Tarehe ni nani? kwa kanuni ipi kwa makubaliano na nani? kwanini bodi ibadilishe Tarehe na kupanga Tarehe mpya...
Habari
Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani.
WHY?
Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
Hapa kuna muhtasari wa nchi za Afrika zinazotumia lugha zao za Kibantu kama lugha ya kufundishia na pia katika shughuli za kiserikali, kwa Kiswahili:
🇹🇿
Tanzania
Lugha inayotumika: Kiswahili (lugha ya Kibantu)
Elimu:
Shule za msingi: Kiswahili ndicho kinatumika kama lugha kuu ya kufundishia...
Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia.
Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo.
Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa.
Iran ingekuwa nazo hizo silaha za nyuklia, Israel na Marekani zisingethubutu kuishambulia.
Iran haijatenda kosa...
Nchi imeshagawanyika hii watu wanataka reforms za kiuchaguzi ila mamlaka inajizima data.
Sipati picha tunakoelekea kama kuna watu wachache watataka kupelekesha uchaguzi vile wanavyotaka wao ufanyike kisha wajitangaze ni viongozi wa nchi sijui itakuwaje.
Kama watategemea jeshi na dola kuwalinda...
Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658.
Nchi ni:
1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623
2. Lebanon 5,848,354
3. Iran 92,417,681.
Wakati Israel yenyewe Ina jumla ya watu 9,513,978.
Yaani ni sawa...
Kuna hali ya ndani inayokua kimyakimya katika taifa letu, hali inayosababisha movement nyingi lakini progress ndogo. Wengi wetu tumejenga maisha yetu juu ya misingi ya kujituma, kutumika, na kutoa huduma halisi kwa taifa. Tunazalisha kwa mikono, kwa akili, kwa muda, na hata kwa ndoto. Tunaamka...
Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...
Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye...
Na Historians akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" tunajua kuwa Taifa la Kwanza kwa Kujitambua Afrika ni Ghana na Taifa la Kwanza Afrika kwa kuwa na Demokrasia bora na Katiba safi kwa Wananchi wake ni Ghana na mwisho kabisa...
Nilicheka sana, Samia mbele ya public alisema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko uchumi wa Ulaya na Marekani, what a shame.
Samia unaijua Marekani? Ngoja nikupe elimu ndogo, hivi unajua Jimbo la South Carolina Lina uchumi mkubwa mala tatu ya Tanzania? South Carolina ni jimbo dogo sana...
PART 1
Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika...
Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power.
Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake.
Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending.
Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US...
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa...
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa...
Utasikia Bondeni au Afrika Kusini imeendelea. Mara Kenya iko juu sana ukanda huu na upuuzi mwingine mwingi.
Ukiziangalia nchi za kiafrika kwa makini, zote ni wagonjwa wa kiitwacho coloniality au mabaki na makandokando ya ukoloni.
Ni sawa na wadudu walio kwenye mfuko wa plastiki wakigombania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.