nchi

  1. JamiiForums Tanzania Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu

    Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii, I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya safari ya nchi ya kufikirika (ugagagigikoko) inayoongozwa na malkia huihui

    ⚠️ ANGALIZO LA MWANDISHI (DISCLAIMER) Makala hii ni kazi ya sanaa ya kubuni (Fiction Story/Creative Writing). Mtunzi amebuni majina ya wahusika, matukio, na maeneo (ikiwemo nchi ya kufikirika ya Ugagagigikoko na mtawala Malkia Huihui) akivuta kumbukumbu zake za utotoni wakati akisoma vitabu vya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania tusingeanza ujenzi wa Industrial Parks nyingi kubwa kila pembe ya nchi hata 20+?

    Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza kujenga viwanda vingi nchini na kuuza products humuhumu? Kwa mfano sasahivi ingependeza uwepo mradi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi kupata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni vigumu sana ?

    Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore. Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa nchi ina Wakristo zaidi ya 70%, Waislamu wamewezeshwa kushiriki kwa usawa, lakini teuzi hizi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hayo unaweza kuthibitisha kwa haraka hata kwa kuangalia baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini idadi kubwa ni Wakristo wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni, na...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tunzeni uaminifu na jina la nchi yetu, fanyeni kazi kwa bidii

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi watunze uaminifu na wafanye kazi kwa bidii ili wasiliharibu jina zuri la Tanzania. Alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Septemba 26, 2026) wakati akizungumza na madareva wa Kitanzania zaidi ya 500 walioajiriwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa serikali na nchi kumfungia kufanya sanaa mtu anayepambana kurekebisha hali mbaya iliyopo ya mmomonyoko wa maadili katika jamii.

    Wanaume wote wapo pamoja na dudu baya. Wamama,wadada hadi wabibi wanaowapenda na kujivunia vijana wao wakiume,wanaunga mkono kampeni ya dudu baya. Kwa kifupi watanzania wote [ukiwatoa mashoga,wasagaji na basata] ya serikali ndio hawaoni jambo jema,tukufu na la kheri analofanya dudubaya. Hii la...
  9. JamiiForums Tanzania Chuki za Balile na CHADEMA ni za wazi mno, je CHADEMA ikichukua nchi ataweka wapi sura na familia yake?

    Nimefuatilia mjadala wa chief odemba na wale ambao waita waandishi wa habari nzuri,nakili baadhi yao ni nguli kweli kweli, ila wengine ni mamluki wa tabaka tawala. Balile aliulizwa kuna waandishi wa habari na wahariri wapo news room lakini wakati wa uchaguzi walionekana live kuvalia nguo za...
  10. JamiiForums Tanzania Ado: Serikali ikibaini madini, Wananchi wapewe kipaumbele, Wachimbaji wadogo wasifukuzwe "hii ni nchi yao!”

    Mbunge Ado Shaibu Ado akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Kijiji cha Ngapa, Kata ya Wilaya ya Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma amesema Wananchi walipogundua madini na kuanza kuchimba kama wachimbaji wadogo, Serikali badala ya kuwawezesha kwa teknolojia na mitaji ili faida ibaki ndani, inaenda...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  12. JamiiForums Tanzania JF ndio mtandao unaoitambulisha Tanzania kama bado nchi yenye watu wenye akili

    Katika mitandao yote kwa hapa Tanzania ni JamiiForums tu ndio utakuta nyuzi na majadiliano magumu yenye kufikirisha bongo na hata kuumiza akili. Mitandao mingine yote ukiondoa wanaharakati wachache na wafanyabiashara wanaofanya matangazo ni utumbo na uchafu mtupu. Maudhui yaliyopo ni ya akili...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Makamu wa Rais anaweza kunyamazishwa na wazee wa chama wasiozidi 5 na most of them wazanzibari kuna nchi hapo?

    Hili ni swali je kuna nchi ya namna hiyo hapa duniani? Kote duniani kwenye mataifa yote ya kidemokrasia na utawala wa raia viongozi hondolewa na; 1. Wananchi 2. Bunge 3. Mahakama Sasa hiki ni nini wazee? Are we MAD?
  14. JamiiForums Tanzania Ethiopia na hizi nchi zingine hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.

    Kwa jinsi mambo yanavyoenda kwenye hizi nchi, hazifiki 2030 zikiwa nchi moja. 1. Ethiopia. Muungano wa Ethiopia ni dhaifu sana. Kila mkoa una jeshi lake na "Rais" wake. Wana mikoa 12 iliyogawanyika kimakabila. Watu wa Tigray wamelianzisha tena. Vita vita. Kabla ya 2030 hii haitakuwa nchi moja...
  15. JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama vimeshindwa kulinda usalama wa nchi

    Vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi. NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
  16. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  17. JamiiForums Tanzania Tulikaa Kimya kwa POLEPOLE, Tukikaa Kimya kwa NCHIMBI, nawahakikishia, Hii NCHI itaongozwa Kifaulme !! Mpaka Lissu anamuulizia!¡

    Mpaka Lissu anamuulizia, Nchimbi hajaamua kukaa kimyaa kama Machawa wanavyojaribu kutuaminisha. Nilitegemea, Vyama vyote vya Upinzan, viungane, viulize NCHIMBI Yuko wapi??. Dr Nchimbi, alikua ni Makamo wa Rais, kweli Watanganyika tumeshindwa mtafuta Mtanganyika mwenzetu??. Kweli Kanisa...
  18. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Tundu Lisu itachochea utii wa sheria na katiba ya nchi bila shuruti.

    Na, in fact, hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania. Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za...
  19. JamiiForums Tanzania Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya

    Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya. https://www.jamiiforums.com/threads/kama-kweli-unajua-kiingereza-tuambie-umepata-alama-ngapi-kwenye-maswali-haya-ya-kiingereza-marks-ulizopata-tuwekee-kwenye-comment.2474681/
  20. JamiiForums Tanzania Kosa Kubwa Kupata Kufanywa na Serikali Yetu Katika Historia ya Nchi Hii ni Kutokuionyesha KESI YA LISSU LIVE KWA SASA

    Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video. Hakika hii ilikuwa daresay la Aina yake katika mifumo yetu ya sheria na mienendo ya uendeshaji ambayo ingeingia katika historia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…