nchi

  1. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  3. Investigation Unit

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema, Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
  4. nbayoungboy never broken

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa vijana kwa nchi yao

    Mimi kama kijana mzalendo wa nchi yangu tanzania ningependelea mawazo tofauti tofauti kuishauri selikali yetu Mfano Ungekuwa rais wa tanzania ungeifanyia nini nchi kuiepusha kwenye kundi la nchi za africa 🌍 zisizo jitambua.????¿?? Kwa mimi binafsi ..Rushwa ni kunyongwa hadi kufa ..kilimo...
  5. Bhaghosha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

    a. Aliingia kupitia mtandao b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama. d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa chama umevunjwa, Je, itakuwaje kwa utaratibu wa Nchi?

    Ikiwa anaweza kuvunja utaratibu wa chama chake mchana kweupe na wanachama wake wengi wakakaa kimya, Je, ataweza kuheshimu na kufuata utaratibu wa Nchi?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo Polepole kujali uchama kuliko nchi🤦🏾‍♂️

    Polepole anabaki kujaribu kumuiga Nyerere muonekano na sauti lakini ukweli ni kwamba hoja zake za utaratibu wa ndani ya chama hazina manufaa yeyote kwa taifa. Polepole haongelei katiba mpya, utekaji, rushwa, uzembe, uzaji wa bandari na mikataba mibaya badala yake kuongelea taratibu za tamaduni...
  8. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Nawaza kwa sauti!: TISS nayo imewahi kutumia mabalozi kama mawakala wao wa kiupelelezi?

    Tanzania kama ilivyo Marekani na CIA (Central Intelligence Agency) , kuna TISS idara ya kijasusi na upelelezi zinazotekeleza majukumu sawa kwa maslahi ya usalama wa taifa. Inaweza vipi kufanana na Idara maarufu za kijasusi duniani kama CIA? Hii ndiyo idara ya kijasusi ya serikali inayohusika...
  9. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tumekuwa Spectators Katika Nchi Yetu – Hii Ni Dhihaka Kubwa Kwa Demokrasia Yetu!

    Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba hatuna akili za kupambanua nani anafaa kutuongoza. Hivi kwanini kura yangu – kura yako – iwe treated...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupiga simu nje ya nchi

    Wataalamu, naomba kufahamishwa namna ya kupiga simu nje ya nchi kwa bei nafuu kwa contacts ambazo haziko linked na call apps au sociaL media apps(whatsapps, line, viber..). MItandao ya simu ina vifurushi vya kimataifa ambavyo ni bei ghali, haviendani na uhalisia, na vina mawasiliano ya nchi...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katika ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda

    Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda. Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko. Tunahitaji...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran Masoud Pezeshkian asema kuwa jeshi la nchi yake limejiandaa kikamilifu kuipiga Israel

    We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns 1 hour ago Updated 8:53 AM Share A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025) A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Breaking Wairan wailaani Serikali ya Ayatollah na kuifananisha nchi yao na gereza kubwa ambalo ndani yake hakuna umeme wala maji.

    VOICES FROM IRAN 'A big prison with no water or power', fed up Iranians speak out 2 hours ago Share Iranians are speaking out with increasing urgency over chronic water and electricity outages that upend daily life and fuel fury at the government. With temperatures topping 40°C in Tehran and...
  14. This is...

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania, Kirusi kinachoitafuna kikiondolewa nchi itapona

    Kirusi hicho ni EX CEO. Kikiondolewa hiki kirusi Tanganyika itapona na itapata ahueni. Hata mubadilishe Ma CEO mara elfu moja kama bado hiki kirusi kitakuba bado SCANNED ni bure.
  15. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Ni nani alikaua kale kapambio ka "Chama chetu cha Mapinduzi chajenga nchi"?

    Enzi hizo tulijirusha na hako kapambio hata tukiwa bar tunakunywa bia na kusakata dance... Ila kalipotea ghafla sijui ni nani aliyekaua.. Nauliza sasa ni nani aliyekaua hako kawimbo ka Nyerere aah Nyerere ajenga nchi?
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wasira: Hakuna nchi isiyokuwa na manung'uniko

    Hakuna nchi ambayo haina mtu anayenung’unika- hakuna, hata ungelifanyaje kutakuwa na mtu pale ana matatizo yake na atanung’unika kwa wakati wake na mahali alipo. Ukisema watu wananung’unika nchini nitakuuliza wangapi wananung’unika maana tupo wengi. Wakati nafanya kazi kwenye serikali ya awamu...
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yatakayoiponya nchi

    Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi, Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa NIKIWA...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize mchambuzi kuhusu ustawi wa watu ,taifa, na Uongozi/viongozi wetu na matumizi ya fedha zetu na uhalisia wa mipango yetu ya maendeleo 2050

    Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
  19. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Kwenye nchi ya kusadikika mtamlaumu Malikia bure

    Africa na mashariki ya kati kila Hekalu Lina Big Boys Watoa Order Nini kifanyike na Nini kisifanyike kwenye Hekalu", kwenye Nchi Ya kusadikika Wananchi mtamlaumu Malkia Bure Big Boys ndio Watoa Order Na Kila mmoja wenu Ni Shahidi wa mkaidi wa order alie kwenye Hekalu Nini kinampata".
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nuru imeangaza juu ya nchi, shangilieni!

    Salaam! Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani, Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa...
Back
Top Bottom