nchi

  1. JamiiForums Tanzania Faida ya nchi kuwa na population kubwa.

    "Treni zinajaa, mabehewa hayaendi matupu" - Mwanaharakati wa kuongeza watu duniani.
  2. JamiiForums Tanzania Nchi Wanachama EAC Wakutana Kujadili Maendeleo Sekta ya Utalii

    Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia sekta ya utalii na wanyamapori wamekutana Oktoba 14, 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, kujadili hatua za kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika kukuza utalii, kuhifadhi rasilimali za asili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Jude Ruwa'ichi: Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo

    "Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo. Ubinafsi umeshamiri, ufujaji umeshamiri. Na karibu misingi yote ya maadili hakuna anayeihangaikia tena. Ni kweli kanisa linatambua kwamba tunapaswa kutembea katika misingi ya uadilifu na kanisa linahubiri na...
  4. JamiiForums Tanzania Ina maana gani katiba kusema sisi ni nchi ya kijamaa?

    Ujamaa uko wapi Tanzania ? Kuna sera gani ya maana ya kijamaa Tanzania ya kunufaisha raia wote?? CCM acheni utapeli kusema sisi ni nchi ya kijamaa na mmeandika hivyo kabisa katika katiba yenu wakati hata huduma ya afya sio bure kama ilivyo kwenye nchi nyingi za kibepari kama Canada, Scandinavia...
  5. JamiiForums Tanzania Hawa hapa watu watano maarufu, na wenye ushawishi kuwahi kutokea nchini.

    Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu.. ~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip) ~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip) ~ Tundu Antipas Lissu ~ Steve Kanumba.(Rip) ~ Diamond platnum
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nchi ya maigizo : Makonda ni waziri wa wizara gani?!

    https://youtu.be/FYBXRFe4JS4?is=ET9l6nWGdw2FMiVn
  7. JamiiForums Tanzania Hili swala watanzania hua tunalichukulia poa ila hilo ndilo liloleta majanga zaidi October 2025

    SIjawahi kuona hili likisemwa sana wala kuandikwa sana wengi hamjui au nahisi mnachukuliaga simple sana hili swala. Na hilo jambo ndio limebaki kama nguzo pekee ya ccm ukitaka kuniamini kua Watanzania hua tunalichukulia poa kuna kiongozi juzi juzi kasema vyoombo vyote ni vya ccm..sijaona watu...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu wana haki sawa na Waislamu?

    Kuna madai kwamba hakuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu na Waislamu wana haki sawa katika taifa. Kwa namna hii dini haiwi ni chombo cha kuleta ubaguzi na madaraja? Je hii ni sahihi?
  9. JamiiForums Tanzania Maroboti (bots) ya X/Twitter nchi za Magharibi yapotea baada ya Ukraine kupiga data centers kadhaa Russia.

    Mtandao wa X/Twitter umeshuhudia kuanguka kwa idadi ya maroboti (bots) ya mtandaoni huko Marekani na Ulaya baada ya Ukraine kushambulia na kuziondoa katika matumizi data centers tatu kubwa zaidi za kampuni ya Yandex huko Russia. Wamarekani na Raia wengi wa Ulaya wamekiri kupungua kwa zaidi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi nyingi za Africa wananchi bado ni wajinga sanaaa.

    Ujinga wa wananchi wa nchi nyingi za Afrika hauiishi leo au kesho. Kundi kubwa ni bendera fuata upepo halijui linataka nini. Ni huzuni sana. Akitokea mmoja kuwatetea utasikia wanasema sisi hatuna wala shida ni yeye tuu huyo.
  11. JamiiForums Tanzania Burkina Faso ndiyo nchi pekee ya Afrika yenye trade surplus.

    Tanzania tunanunua sana vitu kuliko tunavyouza nje, hivyo kwenye biashara ya bidhaa tuna trade deficit. Lakini sisi hao hao tunauza sana huduma kuliko tunazonunua. Mfano tunaingiza watalii wengi wanotumia pesa nyingi kuliko sisi tunavyotoa watalii nje. So kwenye biashara ya huduma tuna surplus...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, kama Afrika Kusini ingekuwa nchi ya kiislamu?

    JE, KAMA AFRIKA KUSINI INGEKUWA NCHI YA KIISLAMU? Hebu fikiria hali ya Afrika Kusini ya sasa, lakini badala ya kuwa Afrika Kusini, iwe ni Tunisia, Morocco au Algeria. Kwa sasa, baadhi ya raia wa Afrika Kusini wanawashambulia na kuwachukia wageni. Je, dunia ingeendelea kuzungumzia haki za...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kumrudisha mzungu Tanzania na nchi za Africa ni kutatuta wawekezaji

    Haiwezekani mtu aje kuwekeza Matrilioni ya shilingi asiwe interested na Siasa!
  14. R

    JamiiForums Tanzania DUDE linaloendesha nchi liko wapi? Akitokea mtu CCM akatetea Ukweli, DUDE linammaliza kabla hakujakucha. DUDE LIKO WAPI?

    Hilo DUDE ni nini na lipo wapi na linafanyaje kazi na kwa kutumia katiba gani na hapo hapo Serikali ikiwa wapi??🤔🤔☝️
  15. JamiiForums Tanzania Marekani wanapinga nchi zinazotoa hukumu ya kifo huku na wao wanatekeleza kunyonga watuhumiwa wao.

    Chanzo cha picha,Bell County Sheriff's Office/Reuters Umma utaweza kushuhudia utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa njia ya kikosi cha risasi dhidi ya aliyekuwa meja wa Jeshi la Marekani, amesema Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth. Afisa wa Idara ya Ulinzi ya Marekani ameiambia BBC kuwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania TANZANIA na nchi za Afrika pamoja na Ghuba zatoa wito wa ulinzi imara zaidi kwa wafanyakazi wahamiaji - SADC

    08 October 2026 Tanzania together with African and Gulf countries calls for stronger protection of migrant workers - SADC https://m.youtube.com/watch?v=CW-uZzb3yUc Tanzania na nchi za Afrika na Ghuba zinatoa wito wa ulinzi mkali kwa wafanyakazi wahamiaji kadri uhamaji wa wafanyakazi kati ya...
  17. JamiiForums Tanzania Katiba na Sheria za Nchi hii zikibadilishwa/kufanyiwa mabadiliko msitegemee familia za wana ccm kua Tanzania.

    Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria zikifanyiwa mabadiliko, katiba ikawa na nguvu kiongozi mkuu wa nchi akaweza kushitakiwa, na mihili...
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Dalali wa Rasilimali za nchi?

    Naona watanzania hamko serious kabisa na rasilimali zenu, kwakuwa Samia amesema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, mimi nataka kuwa dalali wa rasilimali za nchi. Nawezaje kuanza kuwaleta mabeberu kuchukua rasilimali zenu ili mimi nile chajuu?
  19. JamiiForums Tanzania Sio kwamba wapalestina kwenye nchi nyengine wanaogopa kuwa pokea,tatizo harakati zao watabadilisha mpaka nchi waliyopo.

    Kuwa tetea wapalestina ni ngumu sana. Nashangaa wale mnaona wa palestina wanaonewa ila waungwana wanasema ukitaka kujua tatizo likaribishe sio kulisikia. Mifano mikubwa ni: Jordan (1970–71): Mapigano ya Black September kati ya serikali ya Mfalme Hussein na Palestina yalisababisha Palestina...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi CCM inavyopeleka nchi ovyo ni rahisi ISS,al Qaeda ,M23 na makundi mengine kutumia mwanya huu kwa tanzania.

    Chizi hakiwa sio ndugu yako unaweza kufurahi. Mwenendo wa CCM na genge lake kupitia serikali imejitengenezea mwanywa au nyufa kubwa na rahisi kwa makundi ambayo utumia mwanya huu pale serikali zilizo kosa dira na giza mbele. Kumbuka haya makundi kama ISS ,al Qaeda ujitokeza sehemu ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…