nchi

  1. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania wanaofanya kazi na "World Class Celebrities" watusaidie kuwashawishi ili tuwatumie katika kuitangaza nchi yetu kwa gharama nafuu??

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. PLEASE ANZA KWA KUSOMA HII THREAD YANGU...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi wengine 22 wauawa mjini Beni DRC. Jeshi la nchi hiyo lalaumiwa kwa kushindwa kuwadhibiti waasi

    Waasi wa kundi la ADF wameshambulia tena mji wa Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuuwa watu 22 katika eneo la Ndombi na Kamango. Waasi hao wanaelezwa kuwashambulia wakaazi hao kwa risasi na kuwauawa wakiwemo wanawake na watoto huku wengine wakijeruhiwa hata hivyo jeshi la...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari nataka kujua utaratibu wa kuingiza mnyama toka nchi jirani

    Tafadhali wadau za jioni? Nataka kuingiza dume la ng'ombe nije kuzalisha kwenye shamba langu. Naombeni msaada wa taratibu za kisheria na kanuni za kuingiza mnyama huyo humu nchini. Tafadhari naombeni mnisaidie maelekezo na namna bora ya kuliwezesha hili wazo langu. Asante.
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Magufuli anatamani nchi yetu iwe na Katiba ya nchi mbovu zaidi ya hii tuliyo nayo sasa!

    Wananchi wengi wa nchi hii wanatamani nchi yetu iwe na Katiba mpya ambayo itaendana na nyakati hizi, tofauti na Katiba tuliyo nayo hivi sasa ambayo ilitungwa mwaka 1977, ambayo wananchi wengi wanaiona kuwa haikidhi matakwa ya sasa ya kisiasa na kijamii Wakati wananchi wengi wanatamani nchi yetu...
  5. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Boris Johnson ni wazi kuwa Dunia inataka akina Trump, Magufuli na Jair Bolsonaro wengi yaani wazalendo wafia nchi zao kwa gharama yeyote

    Baada ya Chama cha Conservative cha Boris Johnson kupata ushindi mkubwa wa viti zaidi ya 326 vya Ubunge Uingereza, Waziri Mkuu huyo ameweka msisitizo kwamba Januari 31,2020 Uingereza itajiondoa rasmi katika Umoja wa Ulaya (EU). _ Boris amesema ni jukumu lake kuindoa Uingereza kwenye Muungano wa...
  6. JamiiForums Tanzania Bashe apiga ‘stop’ uagizaji magunia nje ya nchi kuanzia mwaka 2020

    Utabiri wangu ni kuwa kama yatakuja kutokea mabadiliko mengine ya Baraza la Mawaziri kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2020, Husseein Bashe atakuwa Full Minister. Mtakuja kuniambia. Unless yasitokee, ila yakitokea tu that is my precise prediction! ======== Naibu Waziri wa Kilimo nchini Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ilegeze masharti ya kupata pasipoti ili watu wakatafute fursa nje ya nchi

    Masharti ya kupata passport inatakiwa tu kitambulisho cha uraia zingine zote mbwembwe za kusumbuana tu sijui barua ya mwaliko sijui nini ujinga mtupu. Kwani mtu hawezi kwenda nchi nyingine kutafuta fursa hata kama hana mwenyeji? Ona huyu kijana Mtanzania mwenye mgahawa China akipiga kazi baada...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nchi gani ya Afrika iliyoongozwa/tawaliwa na Rais mmoja tu kwa miaka mingi na ikapata maendeleo?

    Iko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!! Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais...
  9. JamiiForums Tanzania Katika taifa la 'Kidemokrasia' na lenye 'Hazina Kubwa' ya Viongozi, kuna ulazima gani wa Kiongozi wa taifa hilo kuongezewa muda wa madaraka?

    Salamu! Katika taifa linalo jinasibu kuwa ni la 'Kidemokrasia' na pia lenye 'Hazina Kubwa' ya viongozi (wa kila rika na jinsia), kuna ulazima ama umuhimu gani kwa kiongozi wa taifa hilo kuongezewa ukomo wa muda wa kukaa madarakani? Nafahamu kuna watakaosema kuwa "kama wananchi wanahitaji...
  10. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
  11. JamiiForums Tanzania Je, majasusi kutoka ughaibuni wanatumia NGOs za Afya kuja kupeleleza nchi za kiafrika?

    Haya ni mambo fikirishi kutokana na experience yangu ya kuona mambo mbalimbali. Je kama watanzania tumejiandaa vipi kukabiliana na uwezekano wa hali hii? Ieleweke kuwa Afya ni eneo nyeti katika mustakabali wa nchi na wananchi. Aidha ni muhimu kujua kuwa vita baridi vinaweza kutumia mbinu...
  12. JamiiForums Tanzania Jina Tanganyika kwanini linaogopwa kutumika kuelezea upande wa Bara?

    Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani. Mfano mashindano ya Moira...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi 54 duniani zinaruhusu wasichana kuolewa mapema kwa kati ya miaka 1-3 kuliko wavulana

    Ndoa za utotoni mara nyingi hutokea kati ya msichana mdogo na mwanaume mzee. (Mfano miaka 15 kwa miaka 75) Msichana ananyimwa haki yake ya kuchagua mwenzi na kupewa uwezo mdogo nyumbani na hata kunyanyaswa. Kwa mujibu wa Shirika la watoto duniani (UNICEF), karibu nusu (45%) ya wanawake wote...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kupata wateja wa hizo fremu

    Biashara yeyote duniani ikianzishwa watu wenye biashara huanzisha ushindani wa kutafuta wateja. Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo watu hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kutafuta wateja wa kupangisha fremu na hivyo kusababisha mifremu mingi kuwa mitupu isiyo na...
  15. JamiiForums Tanzania Kauli ya kuonja sumu kwa ulimi ni zaidi ya udikteta

    Ninashangaa chama kinachojiita cha ki-demokrasia, kiongozi wao mkuu anatishia wenzake kwamba wasionje sumu kwa ulimi linapokuja suala la kugusa maslahi yake ndani ya chama. Ghafla maswali machache yanaibuka: Hicho kikao kilikuwa cha maadui ama ndugu zake katika chama? Kama ni wanachama...
  16. JamiiForums Tanzania FIFA kujenga uwanja wa michezo kwa kila nchi mwanachama barani Afrika. Je unapendekeza mkoa/bei gani?

    Katika kukuza michezo barani Afrika,Rais wa FIFA ameanzisha kampeni ya kuhakikisha kwamba kila nchi mwanachama wa wake wa bara la Afrika inajengewa uwanja mpya wa kisasa ambao utakuwa mali ya shirikisho Kwa mujibu wa Rais wa TFF yeye amependekeza uwanja kujengwa mkoani yaani nje ya Dar na...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani imeshika nafasi ya kwanza kwa nchi yenye roho nzuri Dunani. Kwa Afrika, Kenya, Zambia na Sierra Leone zaongoza kuwa na roho nzuri

    Taasisi ya Charities Aid Foundation ya Uingereza imeitaja Marekani kama nchi yenye roho nzuri (most generous country) Duniani, ikifuatiaa na Myanmar na New Zeeland huku nchi zenye watu wachoyo zaidi ikiwa ni China, Yemen na Ugiriki. Kwa Afrika nchi kama Kenya, Zambia na Sierra Leoni zikishika...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Balozi Augustine Mahiga akana Tanzania kujitoa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga amekanusha taarifa za Serikali kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) Akifafanua zaidi kuhusu dai hilo, Dkt. Mahiga anasema serikali haijajitoa katika Mahakama hiyo isipokuwa imeiandikia barua Mahakama hiyo kuondoa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Nchi yetu kubadilisha Katiba ya nchi na kuwa ya chama kimoja cha siasa?

    Kutokana na mienendo ya kisiasa inavyokwenfa nchini kwetu, kuna tetesi kuwa watawala wetu wako mbioni kurejesha mfumo wa chama kimoja Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inatamka kuwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itaendeshwa katika mfumo wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tunapokwenda tunaweza kuja kuwa na sheria zitakazotungwa kwa lengo la kuwazuia baadhi ya watu tishio kugombea nafasi nyeti hapa nchini

    Huu ni mtazamo wangu, na mfano wa sheria kama hiyo inaweza kuwa ni kuwazuia wale wote waliokaa nje ya nchi mfululizo kwa kipindu fulani kabla ya tarehe ya uchaguzi, kugombea nafasi kama ya urais au ubunge. Sheria za aina hiyo zinaweza kutungwa hata kuwabana watu kugombea nafasi za uongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…