Maandamano ya amani ambayo baadae yaligeuka yenye vurugu yafanywa na wananchi wa Irani hasa wanafunzi wa vyuo kulaumu kitendo cha kudungua ndege ya abiria ya ukraine kimakosa., Wanahoji ni kwa nini kiongozi wa kidini wa nchi hiyo Ayatollah Ali Khamenei asiachie ngazi.
Balozi wa United...
Wakuu kwa heshima na taadhima nawasalimu wote kwa unyenyekevu mkubwa sana!
Ndugu zangu kama umewahi kumuona mtu anayetaka kufa kwenye maji , mtu aliyezidiwa na maji unaweza kujua maana ya neno kutapatapa. Kama tunavyojua mtu akitaka kufa lazima ajitahidi kujitetea lakini ndani ya maji hilo ni...
Singapore ndio nchi yenye speed kali ya internet ina wastani wa 60.39Mbps. Taarifa hizi zilikusanya na M-Lab, ikiwa ni ushikiano wa New America's Open Technology Institute, Google Open Source Research, Princeton University's PlanetLab na wabia wengine,
Kumi bora ya Nchi kumi zenye speed ni:
1...
Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa, kwa mfano, nikilipia kitu Google Playstore au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle?
Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
Utafiti umeonesha nchi za Afrika zinamkubali Rais Trump kuliko Marekani yenyewe hata baada ya Trump kuzitukana nchi za Afrika kwa tusi kubwa “shithole countries “. Ndio maana hata viongozi wabovu kabisa Afrika husujudiwa na Waafrika. Tuna kazi kubwa.
Ambao mpo kwenye mitandao ya kijamii,youtube au sky news Rais wa marekani yupo live kuzungumzia mgogoro wa Marekani na Iran.
Pia kama una tv unaweza kuangalia CNN,Aljezira .
Tupeane updates
*****
UPDATE
Baada ya Iran kushambulia Kambi mbili za Jeshi za Marekani huko Iraq, Rais Trump...
Amani iwe kwenu!!
Tutumie thread hii kupendekeza wale wanaofaa kugombea 2020, Tetesi za watu watakaogombea
Mimi naanza na Dr. Tulia, Huyu dada amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule...
Nchi hii ina resources nyingi sana ambazo kama zingetumika vizuri, basi kila eneo la nchi hii lingeweza kufaidika na utajiri wa maliasili unaolizunguka ila bahati mbaya nchi hii imekuwa kubwa na mgawanyo wa kinachopatikana kutokana na maliasili zetu huamuliwa katika mji mmoja (Dar-es-Salaam)...
BAADA ya Tanzania kusuasua kwa muda mrefu katika mauzo ya bidhaa nje ya nchi, hatimaye sasa mambo yameanza kubadilika, ambapo mauzo hayo yameongezeka kwa kiasi kikubwa, huku dhahabu ikitajwa kuchangia kupanda huko.
KwaB mujibu wa Ripoti iliyotolewa na Benki Kuu Tanzania (BoT) kwa kipindi cha...
Hawa watu huwa wanapewa pesa kwa masharti ya kuongea maneno waliyoandikiwa na wafadhili wao.
Hii nimeifananisha na tabia ya jamaa mmoja wa nchi ya Tanzania alikuwa akilipwa na ACACIA kuitukana Serikali.
Jamaa waliomtuma kuongea yale maneno walimchagulia hata matusi ya kutukana.
Kama ilivyo...
ZAIDI ya watoto 600 wanazaliwa kila mwezi kwenye makambi ya wakimbizi wa Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) yaliyopo mkoani Kigoma.
Hali hiyo imetia hofu wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa Kigoma, ambao wameeleza kutishwa na kasi kubwa ya kuzaliana kwa wakimbizi hao. Hivyo...
LINAPOKUJA SWALA LA KUTISHIA MASLAHI NA USALAMA WA MAREKANI, HUWA HAIHITAJI KUOMBA USHAURI, KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU WALA KUTII SHERIA ZA KIMATAIFA:
Ukiitazama nchi ya Marekani katika taswira ya macho, unaweza kudhani kwamba, ni taifa la kidemokrasia linalofuata utawala wa sheria na kulinda...
Imesikika mara kadhaa kwamba viongozi (Wengi wa Kiafrika) wanaovunja haki za binadamu nchini mwao, au wale wanaorudisha utawala wa kitumwa kwenye nchi zao, ambao umeambatana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, utesaji na mauaji ya wanaowapinga ikiwa ni pamoja na usiginaji mkubwa wa katiba...
Nimewaza tu.
Urusi pale walipo isingekua vikwazo vya Marekani ingekua iko mbali sana ila miaka na miaka Moscow imekua ikiishi kwa vikwazo.
Juzi Rais Putin ametangaza silaha mpya ya supersonic ila akasema wanategemea mfulululizo wa vikwazo kutoka Washington na wamejiandaa, watakabiliana navyo...
Happy new year 2020 to y'all members of JF
Hakika tumeuanza mwaka muhimu katika nchi yetu, mwaka ambao tunakwenda kufanya maamuzi ya nani kutoka chama gani aongoze nchi na kuivusha Tanzania kutoka umasikini uliotopea mpaka uchumi wa kiwango cha kati
Bila kutafuna maneno, CCM hawawezi kututoa...
Hakuna haja ya maneno mengi, kichwa cha habari kinajieleza.
Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya:
Viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu ...
Wakuu,
TAKUKURU kwa kushirikiana na DPP mchana huu wanatarajia kumfungulia kesi mhasibu wa moja ya ubalozi wa Tanzania nje ya nchi.
Bado jina la Mtuhumiwa na Ubalozi anaofanyia kazi haujawekwa wazi.
Stay tuned.
Sekta ya biashara nchini Uganda imepata pigo kubwa sana mwaka huu kwa kuandikisha upungufu wa shilingi trilioni 3.4. Hii inatokana na mizozo ya kibiashara na mataifa jirani.
Kwa mujibu wa ripoti ya ufanisi wa kibiashara ya mwaka 2018/2019, shughuli za kibiashara kati ya Uganda na mataifa...
Kichwa kinajieleza.
Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.
- Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
- Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.