nchi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Haki na utu zimefukiwa, ubinafsi unatamalaki taifa likitapatapa

    Wakuu kwa heshima na taadhima nawasalimu wote kwa unyenyekevu mkubwa sana! Ndugu zangu kama umewahi kumuona mtu anayetaka kufa kwenye maji , mtu aliyezidiwa na maji unaweza kujua maana ya neno kutapatapa. Kama tunavyojua mtu akitaka kufa lazima ajitahidi kujitetea lakini ndani ya maji hilo ni...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi zenye speed kali ya internet duniani

    Singapore ndio nchi yenye speed kali ya internet ina wastani wa 60.39Mbps. Taarifa hizi zilikusanya na M-Lab, ikiwa ni ushikiano wa New America's Open Technology Institute, Google Open Source Research, Princeton University's PlanetLab na wabia wengine, Kumi bora ya Nchi kumi zenye speed ni: 1...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi serikali inapata kodi kwa manunuzi ya nje ya nchi yanayofanywa na Watanzania?

    Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa, kwa mfano, nikilipia kitu Google Playstore au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle? Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Afrika yaongoza kumpenda Trump licha ya kauli zake

    Utafiti umeonesha nchi za Afrika zinamkubali Rais Trump kuliko Marekani yenyewe hata baada ya Trump kuzitukana nchi za Afrika kwa tusi kubwa “shithole countries “. Ndio maana hata viongozi wabovu kabisa Afrika husujudiwa na Waafrika. Tuna kazi kubwa.
  5. JamiiForums Tanzania Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

    Ambao mpo kwenye mitandao ya kijamii,youtube au sky news Rais wa marekani yupo live kuzungumzia mgogoro wa Marekani na Iran. Pia kama una tv unaweza kuangalia CNN,Aljezira . Tupeane updates ***** UPDATE Baada ya Iran kushambulia Kambi mbili za Jeshi za Marekani huko Iraq, Rais Trump...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

    Amani iwe kwenu!! Tutumie thread hii kupendekeza wale wanaofaa kugombea 2020, Tetesi za watu watakaogombea Mimi naanza na Dr. Tulia, Huyu dada amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ili Tanzania iendelee, nchi hii igawanywe mara tatu zipatikane nchi tatu tofauti, au tuwe na sera ya majimbo yenye kujitegemea

    Nchi hii ina resources nyingi sana ambazo kama zingetumika vizuri, basi kila eneo la nchi hii lingeweza kufaidika na utajiri wa maliasili unaolizunguka ila bahati mbaya nchi hii imekuwa kubwa na mgawanyo wa kinachopatikana kutokana na maliasili zetu huamuliwa katika mji mmoja (Dar-es-Salaam)...
  8. JamiiForums Tanzania Mauzo ya bidhaa nje ya nchi yapaa

    BAADA ya Tanzania kusuasua kwa muda mrefu katika mauzo ya bidhaa nje ya nchi, hatimaye sasa mambo yameanza kubadilika, ambapo mauzo hayo yameongezeka kwa kiasi kikubwa, huku dhahabu ikitajwa kuchangia kupanda huko. KwaB mujibu wa Ripoti iliyotolewa na Benki Kuu Tanzania (BoT) kwa kipindi cha...
  9. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Kuna wanasiasa wanaouza heshima zao kwa sababu ya pesa. Ukiwapa pesa watatukana kweli kweli, wako tayari kusaliti nchi

    Hawa watu huwa wanapewa pesa kwa masharti ya kuongea maneno waliyoandikiwa na wafadhili wao. Hii nimeifananisha na tabia ya jamaa mmoja wa nchi ya Tanzania alikuwa akilipwa na ACACIA kuitukana Serikali. Jamaa waliomtuma kuongea yale maneno walimchagulia hata matusi ya kutukana. Kama ilivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Idadi ya watoto wanaozaliwa kwenye kambi za wakimbizi yahatarisha usalama wa nchi

    ZAIDI ya watoto 600 wanazaliwa kila mwezi kwenye makambi ya wakimbizi wa Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) yaliyopo mkoani Kigoma. Hali hiyo imetia hofu wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa Kigoma, ambao wameeleza kutishwa na kasi kubwa ya kuzaliana kwa wakimbizi hao. Hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Mtanzania ukitaka kununua hisa kwenye masoko ya hisa ya nje ya nchi taratibu zikoje?

    Mtanzania uliye Tanzania ukitaka kununua hisa za makampuni kwenye masoko ya hisa mfano Ulaya au Marekani, taratibu zake zikoje?
  12. JamiiForums Tanzania Linapokuja suala la kulinda maslahi ya nchi Marekani haina msamaha. Watanzania jifunzeni kwa Marekani

    LINAPOKUJA SWALA LA KUTISHIA MASLAHI NA USALAMA WA MAREKANI, HUWA HAIHITAJI KUOMBA USHAURI, KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU WALA KUTII SHERIA ZA KIMATAIFA: Ukiitazama nchi ya Marekani katika taswira ya macho, unaweza kudhani kwamba, ni taifa la kidemokrasia linalofuata utawala wa sheria na kulinda...
  13. JamiiForums Tanzania Ni madhara gani huwapata viongozi wa Kiafrika wanaopigwa marufuku kusafiri kwenda nchi za Ulaya?

    Imesikika mara kadhaa kwamba viongozi (Wengi wa Kiafrika) wanaovunja haki za binadamu nchini mwao, au wale wanaorudisha utawala wa kitumwa kwenye nchi zao, ambao umeambatana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, utesaji na mauaji ya wanaowapinga ikiwa ni pamoja na usiginaji mkubwa wa katiba...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani anaweza kuziwekea nchi zote duniani vikwazo?

    Nimewaza tu. Urusi pale walipo isingekua vikwazo vya Marekani ingekua iko mbali sana ila miaka na miaka Moscow imekua ikiishi kwa vikwazo. Juzi Rais Putin ametangaza silaha mpya ya supersonic ila akasema wanategemea mfulululizo wa vikwazo kutoka Washington na wamejiandaa, watakabiliana navyo...
  15. JamiiForums Tanzania CCM imejichokea, upinzani hawajajipanga kuchukua nchi

    Happy new year 2020 to y'all members of JF Hakika tumeuanza mwaka muhimu katika nchi yetu, mwaka ambao tunakwenda kufanya maamuzi ya nani kutoka chama gani aongoze nchi na kuivusha Tanzania kutoka umasikini uliotopea mpaka uchumi wa kiwango cha kati Bila kutafuna maneno, CCM hawawezi kututoa...
  16. JamiiForums Tanzania Nawatakia heri ya Mwaka mpya wa 2020 Viongozi, wanachama na wapenzi wote wa Chadema nchi nzima. Mungu yuko pamoja nanyi

    Hakuna haja ya maneno mengi, kichwa cha habari kinajieleza. Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya: Viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu ...
  17. JamiiForums Tanzania Kisutu: Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania nje ya Nchi, kupandishwa Kizimbani

    Wakuu, TAKUKURU kwa kushirikiana na DPP mchana huu wanatarajia kumfungulia kesi mhasibu wa moja ya ubalozi wa Tanzania nje ya nchi. Bado jina la Mtuhumiwa na Ubalozi anaofanyia kazi haujawekwa wazi. Stay tuned.
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yapata hasara ya matrilioni ya pesa kibiashara kutokana na mizozo yake na nchi jirani

    Sekta ya biashara nchini Uganda imepata pigo kubwa sana mwaka huu kwa kuandikisha upungufu wa shilingi trilioni 3.4. Hii inatokana na mizozo ya kibiashara na mataifa jirani. Kwa mujibu wa ripoti ya ufanisi wa kibiashara ya mwaka 2018/2019, shughuli za kibiashara kati ya Uganda na mataifa...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Magufuli ataendelea na Urais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitaacha kazi nikalime

    Kichwa kinajieleza. Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti. - Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada - Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara...
  20. JamiiForums Tanzania Askofu Shoo akemea utekaji na utesaji wa raia, uvunjifu wa haki na kiburi kilichopo kwa viongozi wa nchi

    Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo TABIA ya utekaji, utesaji, unyongaji haki, dhuluma na kiburi inayolalamikiwa nchini, imekemewa vikali na Dk. Frederick Shoo, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT). Anaripoti Mwandishi Wetu, Moshi … (endelea). Kiongozi huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…