Habari zenu wakuu.
Kwa wale wenye uelewa wa hili naomba mnifahamishe kama inawezekana.
Kuna hela kutoka Canada natakiwa nitumiwe. Mtumaji amejaribu kunitumia kupitia bank account yangu hapa nchini.
Hela kaituma toka tarehe 10, siku ya Jumanne lakini hela haikuweza kufika kwenye account yangu...
Wakati baadhi ya nchi za wenzetu sasa zimefikia hatua ya kudhibiti raia wake kwa kuwataka wabakie majumbani, kufunga mashule na vyuo, kupiga marufuku mikusanyiko ya michezo kama soka, kufunga mipaka n.k zikiwa ni hatua za kudhibiti kusambaa kwa Corona, sisi tume-relax tukiamini udhibiti...
Yes! Hili ni janga kwa kuwa watu wanakufa, production zimepungua kwa nchi zilizoendelea kwa baadhi ya vitu. Kama wanavyosema development is freedom then uhuru umepungua kwa watu kufungiwa
Lakini bado ziko fursa kwa nchi zinazoendelea kuweza kukuza uchumi wa nchii zao ka kipindi hiki kifupi...
Anahamasisha Vita kila anakopita anasema damu itamwagika
Anahubiri vita kila anakopita anataka hata watanzania wanyonge wauae kwa vita
Anahubiri nchi yetu iwekewe vikwazo vya kiuchumi bila kujua watakaoumia ni watanzania wa Chini ndugu zake wa Singida watakosa madawa
Huyu mtu ni hatari sana
Mpaka sasa Marekani wameshaonya zaidi ya mara moja ila wahusika wametia pamba masikioni na kuendeleza matendo yao ya unyanyasaji na ukiukaji wa haki za binadamu hasa kwa wanasiasa wa upinzani.
Kwa sababu hiyo,msishangae wakati wowote kuanzia sasa serikali ya Marekani ikatangaza hatua kadhaa...
IMF wameshampongeza mzee Magufuli kwa kazi nzuri anayofanya unapoeleza ujinga wako wanakuona mwehu.
World Bank tayari wametembelea miradi mbalimbali ya ujenzi unaoendelea Tanzania wa Reli ya kisasa na bwawa la mwalimu Nyerere.
Ukija huku Tanzania utaiona mpya tuna mfugale Flyover, Ubungo...
Huu ndio ukweli uliotamalaki nchini Tanzania na nje ya nchi na hasa Ulaya na Marekani , Hakika kila penye giza iko namna ya kupata mwanga .
Kwa wale tuliopita vijijini kuna wakati tunachelewa mahali fulani hadi usiku lakini tunalazimika kuendelea na safari kwenye usiku huo wa giza nene...
Hii nyimbo nilikuwa naisikia nikiwa mdogo,kwa akili yangu nikaelewa kama anaimbwa chatu kweli kwani ni mnyama hatari tuliambiwa anameza watu
Lakini leo hii nimesisikia tena lakini mashairi yake yanaonyesha kama haimbwi chatu kweli, ni kama anaimbwa mtu ambaye anapoteza watu maana kuna sehemu...
Hello Tanzania na kando ya Tanzania
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kutimua vumbi leo Jumapili ya March 8, 2020 kwa kuwakutanisha watani wa Jani katika jiji la Dar es salaam, ambapo Yanga African SC, Wananchi wa Jangwani wanawakaribisha Simba SC, Wekundu...
Watakao baki chadema ndio watu wa kuaminiwa na kupewa nchi toka 2015 tayari tumejua wapi wanaipenda Tanzania na wapi ni wasaliti. watu wanaopata misuko suko kipindi cha miaka 5 na bado wakagoma kuhongwa na Magufuli hakika awa watu itabidi tuwaheshimu.
Wale wanaoelewa mambo ya kiusalama watakuwa...
Hawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao?
Kwamba wahalifu hao kama watatiwa hatiani amani ya nchi itatoweka?
What a nonsense?
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimewataka wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania kuanzia leo...
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya.
Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao baada ya ghasia zilizozuka kati ya wanajeshi wa Somalia dhidi ya wanajeshi wa eneo la Jubaland...
Luxembourg on Saturday became the first country in the world to offer free public transport, as the small and wealthy EU country tries to help less-well-off workers and reduce road traffic. Some cities elsewhere have already taken similar, partial measures. But the transport ministry said it was...
Kufikia 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 duniani zenye watu wengi zaidi. Viongozi wetu wanatakiwa wawe wanaweka malengo ya maendeleo ya miaka 100 mbele. Pongezi kwa JPM kwa kuliona hilo na kuanzisha ujenzi wa SGR na bwawa la umeme la Rufiji.
Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima!
Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia...
Ni hivi tangu suala la siasa growth basi hata vijana tumepata athari ndani ya ubongo wetu leo, hii baadhi ya vijana na ni wimbi kubwa wa nchini kwetu hatuwezi kukaa na kufikiria au kuchukua hatua juu ya ''mutakabali'' wa maisha yetu hususani kwenye kufanya maendeleo tulichokiweka mbele ni siasa...
Dunia imezoea kuona wakimbizi wa kivita.
Sasa hivi wachina wengi wenye pesa kutoka miji ambayo haijaathirika na huo ugonjwa wameanza kukimbia china kukimbilia nchi zingine duniani kuukimbia huo ugonjwa
Shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa lianze kujiandaa kukabiliana na hili wimbi jipya la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.