nchi

  1. JamiiForums Tanzania Nasikitika kutangaza kuwa CHADEMA na ACT hawana uwezo wa kuongoza nchi.

    Nasikitika kwasababu ukweli ni kuwa mabadiliko kwenye hii nchi yanaweza kuletwa na kiongozi wa CCM tu kama alivyojaribu JPM kwa muda alio hudumu kama Rais. Nje ya CCM hakuna chama chenye uwezo wala mpango wa kuchukua hii nchi, hakipo labda kama kitatokea huko mbele. Kwahiyo watanzania poleni...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii. Watu hatupo serious na maisha yetu

    Yaani watz tunavyoishi ni kama vile bado tunajifunza kuishi. Ni kama vile tupo mafunzoni yaani hata ukikosea mara mia kwa kufanya makosa yale yale utajirekebisha kwenye maisha yenyewe haya yakipita. Hatupo sirias kabisa. Kila kitu kimepanda bei kasoro mazao ya mkulima tu yaliyo shambani. Yaani...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yazitisha nchi za Afrika zisinunue mafuta ya Urusi

    Marufuku Afrika kununua Mafuta Urusi Kupitia ziara ya Balozi wa Marekani Linda Thomas katika mahojiano kuhusu nchi za Afrika alitaka kutafuta masuluisho ya migogoro bila kutoa lawama kwa nchi za Afrika ambapo zimeathirika na vita ya Urusi zidi ya Ukraine. Baada ya kufika Uganda aliziionya nchi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yazitisha nchi za Afrika zisinunue mafuta ya Urusi, nchi inayokaidi itashughulikiwa

    Marekani imezitisha nchi za afrika zisinunue kabisa mafuta ya urusi!. Zinaruhusiwa kununua ngano na mbolea lakini ziachane na mafuta maana marekani imeyawekea vikwazo. Swali: Je kuna nchi ya afrika itakayoweza kushupaza shingo na kununua mafuta ya Urusi? Labda Afrika ya kusini inaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi kuanza ukaguzi wa mabasi ya Wanafunzi nchi nzima

    Idara ya Trafiki Barabarani imetangaza kuanza ukaguzi wa kitaifa wa mabasi ya shule ili kuhakikisha shule zitakapofunguliwa, wanafunzi wasafiri salama kwenda na kurudi mashuleni. Haya yanajiri siku chache baada ya ajali iliyoua wanafunzi 8 wa Shule ya Msingi King David na watu wazima huko...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Kwanini vijana wa Tanzania wenye ndoto za kupata fursa za kiuchumi, elimu, kujitolea katika nchi za Umoja wa Mataifa huishia kutapeliwa

    KWANINI VIJANA WA TANZANIA WENYE NDOTO ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA,ELIMU,KUJITOLEA KATIKA NCHIZA ZA UMOJA WA MATAIFA( NCHI ZA NJE) HUISHIA KUTAPELIWA,KUPATA VYUO VYA UCHOCHORONI AU KUKOSA NAFASI KABISA? Tanzania ina vijana wasomi Tena wengi sana kutokana na wimbi la kukosekana ajira wanajikuta...
  7. JamiiForums Tanzania Ipi gari maarufu (wengi wanamiliki) mkoani kwako? Ipi gari maarufu kwenye nchi uliotembelea?

    Tujuzane, huku tukiendelea kusubiri sherehe za namba E mwezi huu mwishoni August ama September, 2022.
  8. JamiiForums Tanzania Tuuseme tu Ukweli. Nchi imepakwa Makeup ila Uhalisia sio kabisa

    Wana JF. Naamini sote huko tuliko tunaendelea kusikilizia maumivu ya hari ya maisha ilivyo. Nirudi kwenye mada. Kwa sasa hii nchi ni kama mwanamke aliye pakwa makaup na pindi tu anapofuta makeup anarudi kwenye uharisia wake. Hivi sasa mambo hata hayaeleweki, serikali inakamua hadi tone la...
  9. JamiiForums Tanzania Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  10. JamiiForums Tanzania Sheria ya mapori tengefu (game controlled areas) imekaa kikoloni, imekaa kinyanyasaji; kama nchi tusiitumie

    Habari za jioni wana JF wenzangu. Mtakumbuka kwamba kulikuwa na mada moto moto katika Bunge lililopita, ambalo lilikuwa maalum kwa ajili ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023, kwa maana nyingine ni Bunge Maalum kwa ajili ya kujadili utekelezaji wa mipango ya serikali kwa mwaka wa...
  11. JamiiForums Tanzania Sielewi ni kwanini Rwanda nchi ndogo ichukue wakimbizi kutoka UK

    Heshima sana wanajamvi, Rwanda imeingia mkataba wa kuwachukua wakimbizi waliokimbilia UK kutafuta fursa mbali mbali za kiuchumi na wengine wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe. Rwanda ni nchi ndogo sana kwa maana ya eneo huku ikiwa na idadi kubwa sana ya watu.Rwanda ni nchi ya tano kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Chanzo cha matatizo nchi hii ni CCM na vibaraka wake

    Sina uhakika kama nitaweza kuielezea mada hii vizuri ila nianze kwa kusema kuwa nimefuatilia muundo wa jamii ya kitanzania, nimegundua unaweza kutugawanya katika makundi mawili kulingana na mitazamo yetu. Upande mmoja ni wale watu ambao wanapenda kutafuta ukweli wa mambo, hawaogopi kukosolewa...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi inaongozwa na CCM, kwanini wanalaumiwa CHADEMA?

    Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikilaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano; Wakati wa Bunge la katiba CHADEMA iliongoza vyama vingine kutoka kwenye vikao vilivyokuwa vinaendelea vya Bunge la...
  14. JamiiForums Tanzania Idadi ya Nchi zinazoongozwa na Rais mwanamke Africa

    Ninaomba kupatiwa Idadi ya nchi Za africa zinazoongozwa na Mara is wanawake.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kinana please ongelea suala la bando, wewe pekeee ndiye unayesikilizwa nchi hii kwa sasa

    Kwa kuwa wewe ndiye ukiongea kitu kesho yake kinafanyiwa kazi tusaidie hili la wizi wa makampuni ya simu kuibia watu data/bundle wanapandisha na hata ukikubali kulipia kiasi wanachotaka mb zinafyekwa kibabe Kwa kifupi ni wezi ,malalamiko yakitolewa waziri husika Nape nnauye kazi yake ni...
  16. JamiiForums Tanzania Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

    ORODHA YA WATU WANAOJIONA WAJANJA NCHI HII! Anaandika, Robert Heriel! Nchi hii inamambo Sana. Leo sina mengi ya kusema, nijikite kwenye Uzi. Ifuatayo ni orodha ya Watu wanaojiona ni wajanja na Werevu. 1. Wasanii wa Muziki, BongoFleva Kundi hili ndilo linaongoza Kwa kudhani kuwa wao ndio...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Tabasamu ya nchi yangu

    Naitwa Kendrick de hustle ningependa kuchangia mawazo yangu ili kiweza kuboresha mabadiliko kwenye Nchi yangu🇹🇿. Kwenye sketa ya ELIMU. Ningependa kuona mabadiliko ya kuongezwa mishara kwa WALIMU kutokana wao ndio kiini kikubwa kwenye kukuza huelewa wa wanafunzi kwenye sketa nyingine kama...
  18. JamiiForums Tanzania Je, wajua tatizo kubwa sana kwenye nchi yetu ni lipi?

    Wakuu, Nakubali tatizo kubwa ni katiba iliyopo na najua muda si mrefu tutaipata! Tatizo kubwa zaidi hapa kwetu ni kwamba;-tuliamua kama Taifa , kuwepo mishahara MIKUBWA sana, posho kubwa sana na mafao makubwa Sana yawepo kwenye siasa kuliko kada nyingine zenye mashiko na maendeleo kwa wote...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa US akiri uchumi wa nchi yake waporomoka

    Thursday’s reading is a blow to the Biden administration, which many have blamed for record-high inflation and soaring interest rates that have caused consumers to tighten their purse strings. Reacting to the second quarter GDP report, Biden avoided addressing the recession issue. Instead, he...
  20. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sera za kodi, ushuru na miundombinu bandarini zinavyozorotesha uchumi wa nchi

    Habari wana JF Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za kikodi na ushuru ambazo zinawavunja moyo wawekezaji na wafanyabiashashara wengi kupelekea kudorora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…